Thursday 27 September 2012

Re: [wanabidii] MSONGAMANO DAR NA TRENI

Mbanano kama huu wa-China utakuwepo DSM maana nasi tumezaana na kujazana kama wao.
na huku bongo, wasafiri watataka kuingia na viroba vya biashara, matenga ya bidhaa sijui watakataza mizigo ya biashara na ya abiria-magodoro etc. Maana daladala au bus za mjini zina pa kuning'iniza magodoro etc.
 
Je, tumejiandaa vipi na ajali za treni kama zitatokea behewa kuanguka, moto kuwaka ndani?
 
Je, tumeweka njia mbadala kando ya barabara ya treni ya kupita gari mbio za zimamoto au tingatinga la kuja kuinua mabehewa yaliyoanguka.Fire extinguishers-xipo nyingi kila behewa na zimefungwa vizuri vibaka wasifungue na kuiba kwa urahisi? Milango itajifunga na kujifungua automatically kupungua vibaka kuvamia behewa kupora na kuruka nje wakati treni ipo ktk mwendo. Wezi wa namna hii hata ulaya upo na msongamano upo sio tu ktk mabasi ya mtaani hata underground na above ground trains inategemea na peak hours. Na vibaka-vipo.unaweza upone kuibiwa Manzeseau kariakoo ukapora Ulaya mitaani hujui mitaa ipi au mapito yepi ni dangerous mchana au usiku.
 
Je, wamefanya link kati ya kituo cha treni na cha bus za mjini mtu asitembee mbali kupata connection akishuka kutoka train hasa usiku? Itakuwa tatizo kwa wanafunzi na wafanyakazi kupita vichochoroni ndio apate bus la kwendaKimara-Tegeta.kwani vibaka hawatokwenda mbali. Ingefurahisha pia kama shule za sekondari nazo zingeacha mchezo wao wa kufundisha hadi saa 12 za jioni badala ya saa 8.30 mchana kuwa mwisho-eti wanaongeza kufaulu, tuition wakati watoto wanafika saa 3 ya usiku plus majumbani mwao kutokana na usafiri mgumu.Wanawaweka watoto katika hatari hasa wanafunzi wakike. Afike 3 usiku, kesho anaamka saa 11 ya asubuhi -hoi mwendo tena shule na msongamano na njaa kama mzazi hajiwezi hela ya lunch shule mtoto anateseka atafaulu vipi? Hata akisoma hadi saa moja ya usiku hawezi maana ana njaa na uchofu!! Wapige marufuku Tanganyika kama walivyopiga marufuku tuisheni ZNZ mzazi ajipange mwenyewe nyumbani.Maana wanafundisha hivi na kufundisha mtaala hata wakati walikizo watoto wanateseka. wafundishemtaala tu muda husika sio wakafundishe private school asubuhi jioni ndio pale alipoajiriwa GVT school wanafunzi wanachelewa kurudi home. Hiyo train imekuja iwasaidie wanafunzi warudi na kufika mapema makwao.

From: Emmanueley Mgongo <emmanueley@gmail.com>
To:
Sent: Thursday, 27 September 2012, 10:01
Subject: [wanabidii] MSONGAMANO DAR NA TRENI

NIMEPATA HII NIKAONA NIKUJUZE NAWE


Siku si nyingi zijazo tutaanza kutumia treni kwa usafiri ndani ya jiji la Dar. Ni muda muafaka kuanza kujiuliza maswali mengi: je, mfumo umejiandaaje kuukabili msongamano utakaotokea Ubungo baada ya treni hizo kumwaga watu kwa mamia toka mjini? Kwa wenzangu waendao Kimara, Mbezi, n.k. wameandaliwa vipi kupokea dhahama itakayowapata kutokana na "mlundikano" (juu ya msongamano!) huo hapa Ubungo?

Ili kutafakari vizuri na labda kujaribu kuchukua hatua hatua, hebu angalia shughuli ilivyo kwa wenzetu huko China ambako tayari wanatumia treni za mitaani! Je, hayatatupata haya?

KAMA KWAO NDIO HIVI WALIOENDELEA JE SISI??

--
"No matter how far down the wrong road you've gone, TURN BACK."

"I would like to live as POOR MAN with lots of MONEY"

"By the the time a MAN is wise enough to watch his step, he is too old to go anywhere"

"TODAY IS TOMORROW YOU WORRIED ABOUT YESTERDAY"




MGONGO EMMANUELEY P. 
P.O.BOX 3746
DAR  ES SALAAM
MOBILE:0784-740487
             0715-388883
             0755-388883
             
emmanueley@iwayafrica.com
emmanueley@in.com
emmanueley@ecommtz.com
chandling@ecommtz.com
sales@ecommtz.com
WEB: http://www.ecommtz.com/




--
"No matter how far down the wrong road you've gone, TURN BACK."

"I would like to live as POOR MAN with lots of MONEY"

"By the the time a MAN is wise enough to watch his step, he is too old to go anywhere"

"TODAY IS TOMORROW YOU WORRIED ABOUT YESTERDAY"




MGONGO EMMANUELEY P. 
P.O.BOX 3746
DAR  ES SALAAM
MOBILE:0784-740487
             0715-388883
             0755-388883
             
emmanueley@iwayafrica.com
emmanueley@in.com
emmanueley@ecommtz.com
chandling@ecommtz.com
sales@ecommtz.com
WEB: http://www.ecommtz.com/

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment