Wednesday 19 September 2012

Re: [wanabidii] Lake Manyara National Park eti iko Kenya ? ! ! !

HK
Umejikita kwenye kuitetea serikali
 
Michango ya wananchi na watu binafsi  kama ulivyofanya ni muhimu na inafanyika
 
Kumbuka kuwa serikali ikitekeleza wajibu wake michango ya watu binafsi na wananchi itakuwa mirahisi zaidi na malengo ya maendeleo kufikiwa kirahisi
 
Mfano, tumegundua rasilimali ya gesi zaidi ya miaka 15 iliyopita na mpaka leo hatuna sera mathubuti, katika hali kama hiyo ni vigumu kufikia malengo ya maendeleo kwa wakati

2012/9/19 Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>
Shedrack,

Mimi msimamo wangu kwenye suala la kuleta maendeleo ni sawa na wa kwako...sioni kwa nini tunaendelea kulalamika tu..tena dhidi ya serikali na miundombinu? saa nyingine na sisi wenye nchi wenyewe tuamke tujipange kutoa mchango wetu kwenye kuleta mabadiliko kwenye nchi...tuache kulalama sana...serikali itajenga miundombinu yote kwa siku moja kwa hela zipi? kwa kipato kipi? Ndiyo maana mimi nilijiongeza kule nzega nikatazama nikaona kuna fursa kwenye uwepo wa mgodi na kuna pesa za kudai nikasema nitaisaidia serikali kuzidai na leo tumepata 2.34bn, ambazo zitatumika kuleta maendeleo Nzega, nimedai maji, nimedai mashule na kituo cha afya, barabara za lami...hebu shime tuamke watanzania tuanze kuhamasishana kufanya kazi ipasavyo pale tulipo ili tuikimbize mbele nchi yetu kwa nguvu zaidi...

leo Matinyi huko majuu uliko hebu changia kuleta watalii, leo Yona Maro na taaluma yako ya mawasiliano ya laini tangaza nchi yetu, leo Mghamba na kalamu yako adhimu (the pen is always almighty!) hebu andika kuhusu vivutio vyetu...

Mimi kwa mwaka huwa naleta watalii kutoka nje wasiopungua 30 (kama volunteers) na wakija hapa huwa nawahamasisha na kuwawezesha wakatalii...hii inaitangaza nchi yetu na kuvitambulisha zaidi vivutio vyetu...

Tujikite kwenye kutoa mchango wetu kwa nchi yetu kwa vitendo zaidi na huo ndiyo uzalendo na unchi uliotukuka! Pure statemanship 

HK wa MpandaMoto 

2012/9/19 Catherine Mbena <nawinaus@yahoo.com>
Mr. Richard I couldn't agree more. Ni nyanja nyingi sana zinahusika ili kufanikisha hili. Moja ikilega zingine zote zinakwama.

  Sent from my iPhone

On 19 Sep 2012, at 09:48, pricekelly@yahoo.com wrote:

Richard this is a very useful insight. Nina Hasira sana na miundombinu hii, Airport Ya Mbeya inajengwa kwa miaka 4 sasa na wala haivutii.

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
Date: Tue, 18 Sep 2012 23:43:04 -0700 (PDT)
Subject: RE: [wanabidii] Lake Manyara National Park eti iko Kenya ? ! ! !

Brother Matinyi,

Sikia hii. Juzi tuko kwenye ndege toka kuja Nairobi. Tukiwa angani rubani akasema maneno yafuatayo, "From the cockpit, this is your captain speaking, we have just crossed the Tanzanian-Kenya boarder and we are in the Kenyan airspace. From your left side you can see mount Kilimanjaro—the pride of Africa. Shortly we shall commence our descend to Jomo Kenyatta International Airport. Thank you for choosing Kenya Airways."

 Mda wote tukiwa upande wa Tanzania tunapita karibu kabisa na Mlima Kilimanjaro hakusema chochote, lakini tulipoingia kwenye anga ya Kenya, akaanza kuwaaambia abiria mlima ulipo. Maana yake ni kwamba unaweza kuuona huu mlima hata ukiwa upande wa Kenya. Hili limetokea mara nyingi tu.

 Matinyi na wengine, sisi hatuna national airline wall the well equipped airports za kutoa huduma kwa watalii. Unashangaa sans kusikia kwamba sisi ni wa kwanza kwa vivutio lakini taiga haling shirika la uhakika la ndege sambamba na miundo mbinu ya uhakika. Leo hii unaporuka toka Oliva Tambo airport, kuja Dar au kwenda popote, wanakuonyesha video kama dakika ishirini hivi juu ya Afrika Kusini, historia yake na vivutio huku wakikwambia kwa nini unapaswa kutembelea nchi hiyo.

 Leo hii Rwanda in a national airline lakini sisi tuna magofu ya ATC. Kuna link kubwa sana kati ya vivutio vya utalii, national airline, miundo mbinu ya uhakika na hoteli za kisasa.

 Ukifika Julius Nyerere International airport saa nane au tisa ambapo KQ, Ethiopia, Emirate, SA na Qatar zinatua, utangundua tatizo la miundo mbinu. Joto wakati unaposubiri uhamiaji, vyoo vyenyewe havitoshi na mambo mengi. 

Kumbuka ndege zote hizo zinashusha kama abiria 1000 hivi kwa mara moja. Sasa unashangaa nchi inazungumza kuleta watalii milioni moja mpaka milioni mbili kwa mwaka, kwa miundo mbinu ipi?

Katika kutangaza utalii ni watu gani wanachukua tenda kutangaza nchi? Kumbuka sakata la kujitangaza London na South Africa 2010 waliochukua tenda walishindana na nani na walikuwa na uelewa ghani kuhusu utalii?

Nitaendelea

--- On Tue, 9/18/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Subject: RE: [wanabidii] Lake Manyara National Park eti iko Kenya ? ! ! !
To: "Wanabidii googlegroups" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, September 18, 2012, 8:35 AM

Dokta, tatizo ni kubwa zaidi - hao waliotangaza hapo ni Waafrika Kusini. Yaani mambo yamefikia kwamba yeyote tu anaweza kusema kitu fulani ni cha Kenya - ingawa nahisi hawa watu waliokota hizi habari Kenya. Na kwa ubwege tunaendelea kufungua milango ya utalii.
 
Mawakala wote wa Afrika Kusini wanatumia uwanja wa Nairobi kufikia na kuondokea. Kuna faida gani ya sisi kuwapigania hawa watu kupata uhuru?
 
Cha ajabu ni kwamba KIA ipo pale.
 
Subject: Re: [wanabidii] Lake Manyara National Park eti iko Kenya ? ! ! !
To: wanabidii@googlegroups.com
From: hkigwangalla@gmail.com
Date: Tue, 18 Sep 2012 20:21:13 +0000

Duh! They are just smarter business people these 'aggressive' Kenyans unlike 'slow' Tanzanians (as they always call us)...nobody in the Kenyans gov would actually tell the business people in the tourist sector to advertise as they do but they improvise to attract more clientele towards Kenya...

Tanzanians have to change our mindsets...and promote and nurture talents than kill and discourage them...eti sisi tunadhani vipaji vipo kwenye sanaa tu kumbe hata kwenye uongozi na ujasiriamali - na hivi ni vya muhimu zaidi given their impact esp kwenye multiplier effect!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

Date: Tue, 18 Sep 2012 17:11:33 +0000 (UTC)
Subject: Re: [wanabidii] Lake Manyara National Park eti iko Kenya ? ! ! !

Mi nashaa tunakazana eti tupo tayari kupigana na Malawi kugombania Ziwa Nyasa wakati kuna vitu tunavyo tayari ni vya kwetu wala si vya utata wa mpaka tunawaacha walio nje ya nchi waangie na kufaidi. Nilitarajia kwa njisi wakenya wanavyotumia vibaya ujirani mwema Waziri Membe angekwisha kutoa kauli kukemea tabia hii ya nchi ya jirani kudai baadhi ya rasilimali zetu eti ziko nchini kwao.

Tukitoa kauli ya kulaani hiyo tabia najua itawasumbua na watafikiria mara mbili kabla ya ku-claim na kuwatapeli watalii kwa kuwavusha mipaka bila wao kujua

William Kihigwa

Mobhare Matinyi wrote:

Jamani Watanzania tunazidi kuwa nchi ya mabwege huku wenzetu wakivuna tu...............

.......Soma hapo chini eti Lake Manyara National Park iko Kenya? Hii safari inaanzia Nairobi na kuishia Nairobi na hawa watu wanaletwa Tanzania na kuambiwa kuwa Lake Manyara iko Kenya.............................................

8 day Majestic Wildlife Migration Safari Package

Amboseli Serena Safari Lodge, Kenya.

Places you will visit: This East Africa package includes: Amboseli Serena Lodge, Amboseli National Park, Lake Manyara Lodge, Lake Manyara National Park - Kenya, Serengeti Sopa Lodge, Serengeti National Park, Ngorongoro Sopa Lodge, Ngorongoro Crater - Tanzania.
Suitability: This package is excellent for guests wanting to enjoy a full, rewarding safari through the highlights of Kenya and Tanzania.
Note: Based on arrival and departure from Nairobi.

http://www.eastafrica.co.za/Vacation_Packages-travel/8-day-wildlife-migration-safari-package.html

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment