Kwa lifupi, Putin inalipiza kisasi cha kusabaratika kwa Soviet Union, kwani Marekani inadhaniwa ilifanya kazi kubwa katika kuvunja shirikisho hilo. Huu mpango ulianza siku nyingi wa kusabaratisha Soviet Union hasa baada Vita ya Pili ya Dunia. Wakati wa Rais Reagan ndipo Muungano huo ulipovunjika na ikawa matatizo makubwa ya kijamii na kiuchumi kwa nch iliyobakia -Urusi. Wakati wa kusabaritika huko Putin alikuwa afisa mkubwa wa KGB katika Ubalozi wa Soviet Union huko Ujerumani Mashariki hii ilimukwaza sana, na hasa alipotokea kuanguka ka ukuta wa Berlin. Putin ikambidi arudi Urusi kwa masikitiko sana, ilibidi ajiunge na siasa ili hatimaye aweze kutimiza lengo lake. Huu mkakati ni wa muda mrefu ndiyo maana unaona alimaliza kipindi cha kwanza cha Urais na baada ya mwenzake kumaliza kipindi chake Putin akarudi tena kwani kazi yake alikuwa baado hajaimaliza. Sasa alipoona kapata mwanya mzuri wa kumtumia Bw. Trump alifurahi sana kwani alikuwa anamuogopa Bi Clinton kuwa malengo yake ya kuchafua hali ya Marekani kisiasa haitaweza kufanikiwa. Ndio nia ya muiingilio huo na ili kufanya Marekani ipoteze dira na malego yake kidunia kiuchumi na kisiasa kama Soviet Union ilivyosambaratika.
Tuendele kujadiri.
2017-08-17 22:13 GMT+02:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Nadhani Urusi ilimwogopa Hillary kuliko kiongozi yoyote wa Marekani. Walijitahidi kuneutralize campaign ya Hillary wakidhani hiik itakuwa kwa manufaa yao.Trump ameshindwa kundoa vikwazo alivyoweka Obama baada ya Russia kuvamia Ukraine. Na katika anga za kimataifa kama Marekani itakabiliwa na migogoro kama tunavyoona na Korea kaskaziniUrusi itakuwa na afueni. Lakini wamesahau kuwa Korea kaskazini imekuwepo muda wote huu na wendawazimu wake.em--2017-08-17 15:58 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Fine. Sidhani kuwa Urusi ililenga kumnufaisha Trump. nafikiri ilidhani trump anaweza kulishusha taifa hilo mpaka masafa fulani. Urusi inafanikiwa? Mfano: nadhani kuna mataifa yalifikiri hayawezi kuwepo bila Marekani. sasa EU inaweza kujadili maswala ya mazingira bila marekani. Kuna nchi za Africa zilidhani haziwezi kuishi bila misaada ya Marekani. Korea Kaskazini inaitunishia misuri marekani. Yawezekana urusi ilitaka kulipeleka taifa hilo huko???
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, August 17, 2017 10:37 PM
Subject: Re: [wanabidii] URUSI ILIKUSUDIA NINI KUMSAIDIA TRUMP KWENDA MADARAKANI?
Kwanza, kabla sijajadili Urusi, ninaamini kuwa kufikia mwisho wa mwaka huu Trump atakuwa ameshajiuzulu au kufukuzwa kazi na bunge. Pili, Urusi na Marekani wamekuwa wakiingilianamambo yao ya ndani kwa kutumia CIA na KGB. Hapa ilikuwa ni nani amemzidi mwenzake kete. Pili kwa kutizama dynamics za siasa za ndani ya Marekani, Trump alipata traction, sijui kama alishauriwana Urusi, kwa kutumia ubaguzi wa rangi, Trump aliweza kujijenga kwa mabaguzi ambayo yalikuwa yameshakata tamaa katika siasa za nchi, na kuwahamasisha kujitokeza kumpa kura. Kwa makusudi ya Urusinadhani walijua wangeweza kumtumia Trump. Alipokosa mikopo kwenye benki za Marekani Warusi wamemkopesha zaidi ya dola millioni 500. Kiasi hicho ni kama wamemshika makende.em2017-08-17 15:25 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:--Haikuingia akilini mwa wengine iliposemwa Urusi inaingilia uchaguzi wa Marekani mwaka 2016. Nakumbuka kuandika katika Facebook kuwa "Kama Trump akishinda uchaguzi, (japo nadhani hawezi) nitampongeza Putin". Baadaye Trump alishinda na ushindi wake ulionekana pale FBI ilipopotoshwa na kutangaza kumchunguza Clinton.Inashangaza kuwa ilichukua muda mrefu kwa taasisi za marekani kugundua kuwa Urusi ilikuwa ikiingilia uchaguzi wa Marekani, na kuwa ilikuwa inasaidia Trump ashinde uchaguzi. Hii nayo si ishara nzuri kwa taifa kubwa.Sasa hakuna ubishi. Urusi iliuingilia uchaguzi wa Marekani ikukusudia kusaidia Trump ashinde uchaguzi. Nina swali moja. Tukiona uendeshaji wa Trump wa nchi hii hukosi kuona uwezo mdogo wa mheshimiwa huyu kuimudu kazi yake. Kutoa tamko likataka kusahihishwa baada ya masaa ndio mwendo. Kukurupuka kutishia na kurudi nyuma kesho yake ni kawaida; na mambo mengine. Akifanikiwa kumaliza mhula mmoja au miwili mataifa mengi yatakuwa yameweza kujimudu kuishi bila marekani, jambo ambalo ili taifa hili liweze kuendelea kuwa kubwa lilihitaji dhana hiyo.Sasa swali ni: Urusi (i) ilimsaidia Trump awe rais wa Marekani; AU (ii) ilimuweka Trump madarakani makusudi? Tujadili.Elisa Muhingo0767 187 507--Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

--

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .--

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment