1) huo ni ukweli kuwa wabunge wengi wataanguka.
2) Hicho kiwango ni kikubwa mno. Huenda basi ikawa 60% lakini 95 ni nyingi mmno. Tukubali wapo wabunge wanaochapa kazi nao si haba kiasi hicho
From: 'amon mkoga' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, August 25, 2017 12:20 PM
Subject: [wanabidii] (Wanabidii) Asilimia 95% ya Wabunge kuangushwa 2020,hii nikutokana na Ma-DC na Ma-RC kuchapa kazi majimboni zaidi yao
Salaam Wanabidii
Utafiti wetu umeonyesha kuwa 95% ya Wabunge wasasa wataangushwa 2020,hii nikutokana na Ma-DC na Ma-RC kuchapa kazi majimboni zaidi yao.
Yaani unakuta wananchi wanamfahamu zaidi DC au RC kuliko Mbunge wao.
Nawaklilisha
AMON MKOGA
TANZANIA
Mdau wa Maendeleo Mwandamizi
0755 638 004/0655 638 004
DAR ES SALAAM TANZANIA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment