Friday, 18 August 2017

Re: [wanabidii] NINI MAANA YAKE: MALOFA NA TANZANIA MPYA?

Nadhani ni wakati muafaka ukisome hicho kitabu. Kenya ilipata uhuru 1963 na Jaramogi alikiandika mwaka 1966. Halafu jiulize kama walipata uhuru1963 iwekwe miaka mitatu baadaye Odinga alalamike. Muktadha wake unaapply pia kwetu
em

Sent from my iPhone

On Aug 17, 2017, at 4:36 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kitabu hicho niliwahi kukinunua lakini sikukisoma. Nitakitafuta kwenye maktaba yangu.
Niejiuliza maswali kadhaa nikaona nilete mjadala humu.
Kama kuna Tanzania mpya je hakukuwa na ukombozi?
Kama kulikuwa na ukombozi malofa ni akina NANI SASA?
Majibu yake yatapatikana kwa Odinga nayo?

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, August 17, 2017 11:17 PM
Subject: Re: [wanabidii] NINI MAANA YAKE: MALOFA NA TANZANIA MPYA?

Unamzungumzia Mkapa, kiongozi anayejiona kuwea CCM iliwekwa hapa na mwenyezi Mungu kutawala. Soma kitabu cha Jaramogi Odinga, not yet uhuru, kujipatia jibu kwa swali lako.
em

On Thu, Aug 17, 2017 at 4:01 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kama kuna watu wanaweza kujadili basi jadili hili.
Wakati wa kampeni za uchaguzi 2015 Upinzani ulizindua kampeni zake kwa kusema wanataka kuikomboa Tanzania.

Katika kuzindua kampeni za chama tawala kiongozi mmoja aliwaita wanaosema Tanzania inahitaji ukombozi ni malofa na wapumbavu. Alijenga hoja yake katika ukweli kuwa Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961.

Sasa kila mara tunakutana (kwenye vyombo vya habari) na neon "TANZANIA MPYA".
Basi jadili.
Elisa Muhingo
0767 187 507
 
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment