Bwana Elisha Muhingo,Nimemsikiliza Lisu kwenye Utube siona ubaya wake,Yeye anachosema kuwa makini serikali inapoingia mikataba na wakubwa wa Dunia.Sasa katika mikataba ya serikali na wakubwa hawa mara nyingi kunakuwa na mauzauza sana,kama ulimsikia Mheshimiwa Raisi wetu akihutubuia siku ile Ikulu alisema Marehemu Kigoda akiwa waziri wa madini aliingia mkataba na hawa wakubwa wa dunia sisi watanzania tukiambulia ZERO profit.Nafikiri kila mtu alisikia.Sasa Lissu kama mwana sheria ni lazima aongeree mikataba.
--------------------------------------------
On Thu, 8/17/17, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Re: TABIA HII YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA TAIFA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>, "prudence karugendo" <prudencekarugendo@yahoo.com>, "hussein siyovelwa" <uhalisi@yahoo.co.uk>
Cc: "stanley.nshange@nsn.com" <stanley.nshange@nsn.com>, "innokahwa@yahoo.com" <innokahwa@yahoo.com>, "akiobya@yahoo.com" <akiobya@yahoo.com>, "tkiobya@yahoo.com" <tkiobya@yahoo.com>, "hkahyoza@yahoo.com" <hkahyoza@yahoo.com>, "emmanuelelias2005@yahoo.com" <emmanuelelias2005@yahoo.com>, "repeatitagency@yahoo.com" <repeatitagency@yahoo.com>, "stanley.nshange@nokia.com" <stanley.nshange@nokia.com>, "tundu.lissu@gmail.com" <tundu.lissu@gmail.com>, "pkarugendo@yahoo.com" <pkarugendo@yahoo.com>, "mbowe2008@gmail.com" <mbowe2008@gmail.com>, "bilhuda2006@yahoo.co.uk" <bilhuda2006@yahoo.co.uk>, "davidkafulila@yahoo.com" <davidkafulila@yahoo.com>, "muddy.kiobya@gmail.com" <muddy.kiobya@gmail.com>, "emmanuelelisa46@yahoo.com" <emmanuelelisa46@yahoo.com>, "wilfredlwakatare@gmail.com" <wilfredlwakatare@gmail.com>
Date: Thursday, August 17, 2017, 10:20 PM
This message is eligible for Automatic Cleanup!
(wanabidii@googlegroups.com)
Add cleanup
rule
| More info
Nimemuelewa. Hujajichanganya.
Soma tena mada ya msingi na coment yangu kwa karugendo. na
alilomaanisha Kalugendo. nami ninalomaanisha. Vyote
viangaliwe. Lisu si Mfalme kwa nilichosema? Kuna mwenye
ubavu wa kumwambia nilichosema? Hawakioni kuwa anapotoka?
Mbona yeye tu kama ni sahihi? Ni mfalme na hajavaa. Basi ni
Makusudi Koku.
From: 'Lutgard
Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>; prudence karugendo
<prudencekarugendo@yahoo.com>; hussein siyovelwa
<uhalisi@yahoo.co.uk>
Cc:
"stanley.nshange@nsn.com"
<stanley.nshange@nsn.com>;
"innokahwa@yahoo.com" <innokahwa@yahoo.com>;
"akiobya@yahoo.com" <akiobya@yahoo.com>;
"tkiobya@yahoo.com" <tkiobya@yahoo.com>;
"hkahyoza@yahoo.com" <hkahyoza@yahoo.com>;
"emmanuelelias2005@yahoo.com"
<emmanuelelias2005@yahoo.com>;
"repeatitagency@yahoo.com"
<repeatitagency@yahoo.com>;
"stanley.nshange@nokia.com"
<stanley.nshange@nokia.com>;
"tundu.lissu@gmail.com"
<tundu.lissu@gmail.com>;
"pkarugendo@yahoo.com"
<pkarugendo@yahoo.com>;
"mbowe2008@gmail.com" <mbowe2008@gmail.com>;
"bilhuda2006@yahoo.co.uk"
<bilhuda2006@yahoo.co.uk>;
"davidkafulila@yahoo.com"
<davidkafulila@yahoo.com>;
"muddy.kiobya@gmail.com"
<muddy.kiobya@gmail.com>;
"emmanuelelisa46@yahoo.com"
<emmanuelelisa46@yahoo.com>;
"wilfredlwakatare@gmail.com"
<wilfredlwakatare@gmail.com>
Sent:
Thursday, August 17, 2017 4:10 PM
Subject: Re:
[wanabidii] Re: TABIA HII YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA
TAIFA
Elisa,
Ni
makusudi au hujamwelewa Bwana Prudence? Au mimi ndo
najichanganya?
LKK
On Thursday, August
17, 2017 3:36 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Naam ndugu kalugendo. makala hii
ni mtoto anauambia umma kuwa Mfalme (in this case Lisu) yuko
uchi. sasa anasidiwe asijiaibishe au kuliaibisha kundi
linaoogopa kumwambia kuwa una\aibisha
From: prudence
karugendo <prudencekarugendo@yahoo.com>
To: hussein siyovelwa
<uhalisi@yahoo.co.uk>; ELISA MUHINGO
<elisamuhingo@yahoo.com>;
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Cc:
"stanley.nshange@nsn.com"
<stanley.nshange@nsn.com>;
"innokahwa@yahoo.com" <innokahwa@yahoo.com>;
"akiobya@yahoo.com" <akiobya@yahoo.com>;
"tkiobya@yahoo.com" <tkiobya@yahoo.com>;
"hkahyoza@yahoo.com" <hkahyoza@yahoo.com>;
"emmanuelelias2005@yahoo.com"
<emmanuelelias2005@yahoo.com>;
"repeatitagency@yahoo.com"
<repeatitagency@yahoo.com>;
"stanley.nshange@nokia.com"
<stanley.nshange@nokia.com>;
"tundu.lissu@gmail.com"
<tundu.lissu@gmail.com>;
"pkarugendo@yahoo.com"
<pkarugendo@yahoo.com>;
"mbowe2008@gmail.com" <mbowe2008@gmail.com>;
"bilhuda2006@yahoo.co.uk"
<bilhuda2006@yahoo.co.uk>;
"davidkafulila@yahoo.com"
<davidkafulila@yahoo.com>;
"muddy.kiobya@gmail.com"
<muddy.kiobya@gmail.com>;
"emmanuelelisa46@yahoo.com"
<emmanuelelisa46@yahoo.com>;
"wilfredlwakatare@gmail.com"
<wilfredlwakatare@gmail.com>
Sent: Wednesday, August
16, 2017 6:08 PM
Subject: Re: TABIA HII
YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA TAIFA
Ila msisahau kwamba wakati
mfalme amevaa nguo aliyoambiwa haitaonekana tu kwa wenye
dhambi, watu wote walibaki kumtazama mfalme akitembea uchi
wa mnyama, wakabaki wakicheka kimoyomoyo, wakihofia
kujulikana wamemuona mfalme akitembea uchi, kwahiyo
wakaonekana wenye dhambi na kunyongwa, ni mtoto mdogo peke
yake aliyesema mfalme yuko uchi!
From: hussein siyovelwa
<uhalisi@yahoo.co.uk>
To: ELISA MUHINGO
<elisamuhingo@yahoo.com>;
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>; prudence karugendo
<prudencekarugendo@yahoo.com>
Cc:
"stanley.nshange@nsn.com"
<stanley.nshange@nsn.com>;
"innokahwa@yahoo.com" <innokahwa@yahoo.com>;
"akiobya@yahoo.com" <akiobya@yahoo.com>;
"tkiobya@yahoo.com" <tkiobya@yahoo.com>;
"hkahyoza@yahoo.com" <hkahyoza@yahoo.com>;
"emmanuelelias2005@yahoo.com"
<emmanuelelias2005@yahoo.com>;
"repeatitagency@yahoo.com"
<repeatitagency@yahoo.com>;
"stanley.nshange@nokia.com"
<stanley.nshange@nokia.com>;
"tundu.lissu@gmail.com"
<tundu.lissu@gmail.com>;
"pkarugendo@yahoo.com"
<pkarugendo@yahoo.com>;
"mbowe2008@gmail.com" <mbowe2008@gmail.com>;
"bilhuda2006@yahoo.co.uk"
<bilhuda2006@yahoo.co.uk>;
"davidkafulila@yahoo.com"
<davidkafulila@yahoo.com>;
"muddy.kiobya@gmail.com"
<muddy.kiobya@gmail.com>;
"emmanuelelisa46@yahoo.com"
<emmanuelelisa46@yahoo.com>;
"wilfredlwakatare@gmail.com"
<wilfredlwakatare@gmail.com>
Sent: Wednesday, August
16, 2017 1:10 PM
Subject: Re: TABIA HII
YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA TAIFA
Hongera, MR. MUHINGO kwa
makala yako nzuri kuhusu Tundu Lissu. Kwa bahati mbaya
nilichelewa kuisoma. Tatizo la Lissu ni ujinga uliofunikwa
blanketi la weledi. anapinga kuliko aliowakuta katika
upinzani. Shida ni kwamba anapinga ili kuthibitisha uaminifu
wake kwa wakuu wake na si kwa ajili ya maslahi ya nchi. MI
NADHANI HATALIABISHA TAIFA ISIPOKUWA ATAJIABISHA MWENYEWE NA
WANAOMSHABIKIA. mfano katika suala la makinikia
alijidhihirisha mwenyewe kwamba uzalendo wake ni wa kutiliwa
mashaka. NI JUKUMU LETU WAZALENDO KUMZOMEA KWA HOJA KILA
ANAPOTOA UONGO WAKE ILI AJUE KWAMBA ANAJIDHARAULISHA.
On Monday, 24 July
2017, 23:14, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
wrote:
Toka rais Magufuli alipoingia madarakani kumekuwa na
sura mbili
duniani.
Nje
mataifa mengi yanamuunga mkono. Baadhi ya wananchi
wanatamani
angekuwa rais wa nchi zao.
Ndani
ya nchi wananchi walio wengi wanamuunga mkono. Wanaanza
kuona
adha walizolalamikia zimepungua, au kuna matumaini kuwa
mbele kuna matumaini.
Makundi
haya mawili ni sehemu ya sura moja. Yote yana sababu
zinazofanana.
Mataifa
mengi hasa ya uchumi mdogo, yaani mataifa maskini
wamechoshwa
na Rushwa, ufisadi, wizi, ukosefu wa uwajibikaji
nakadhalika. Viongozi walio
wengi wamekuwa wakijilimbikiza mali na kwa kweli
wakishaingia madarakani
wanaanza kuishi kama wale walio katika mataifa tajiri huku
wananchi wao
wakiumia. Wanaumia kwa kubeba serikali kubwa na zenye
marupurupu yasiyoneneka
huku huduma za kijamii zikibaki chini na watawala
wakisingizia hali mbaya ya
umaskini.
Tanzania
hatukupona hilo. Nisamehewe kwa kutaja mifano ya karibu.
Serikali ya awamu ya nne ilipoingia madarakani ilionekana
kugawa vyeo si kwa
manufaa ya wananchi bali waliopata vyeo. Tukumbushane
mgawanyo wa Wizara ya
mambo ya ndani kwa kuanzisha wizara ya usalama wa raia.
Mpaka tulipopiga kelele
kwa usikivu wa rais akazirudisha zikawa moja. Lakini
tumeshuhudia mgawanyo wa
wilaya na mikoa huku hayo hayaleti tija bali mzigo kwa
walipa kodi.
Tumeshuhudia utumbuaji wa mali ya umma kupitia misafara
mirefu na safari za
mara kwa mara za viongozi. Tumeshuhudia watu Fulani wakiwa
na uhakika kwamba
hawawezi kuguswa na vyombo vya dola. Tumeshuhudia kashfa
zinatokea, uchunguzi
unafanyika, inaonekana wazi kuwa Fulani na Fulani wana kesi
ya kujibu lakini
hawashtakiwi. Ikafika mahala wengine wakataka kugombea na
kutaka kulitawala
taifa. Ukweli tulifika mahala maneno ya kuchochea maasi
yakaanza kutoka. Nakumbuka
kusoma mahala mtu akitania (au akimaanisha) kuwa kama
Mwamnyange akiingia ikulu
atashangilia. Tulifika mahala pabaya. Ukweli tulifika mahala
watu wakadhani
uchaguzi hauwezi kutusaidia kutoka kwenye shida hizi. Hayo
yakiwa hapa nchini
ndivyo ilivyo kwenye mataifa yote yanayomshangilia na
kumpongeza magufuli.
Mataifa
na mashirika yanayotufadhili katika miradi mbalimbali
walifika
mahala wakaamua kuacha kutusaidia. Ikawa viongozi watoke nje
kubembeleza
misaada. Wakawa wanakwenda nchi kumi wanaahidiwa sehemu
mbili tu.
Baada
ya uchaguzi, 2015 na Dr. John Magufuli kushinda Tanzania na
ulimwengu tulishuhudia mabadiliko. Mtu aweza kuandika mengi;
lakini napenda
kuyaandika kwa muhtasari:
=
Tumeshuhudia
Serikali ikipunguza kwa kiasi kikubwa matumizi yasiyo ya
lazima. Safari ziliachwa
na sasa zinadhibitiwa. Vikao visivyo vya lazima havifanyiki
na vinavyofanyika
havitumii posho za ajabu au kutumia matumizi ya anasa huku
tukiwa maskini.
=
Wizi wa ajabu
umedhibitiwa. Wafanyakazi hewa wameondolewa na kama wamebaki
basi ni kwa kiwango
kidogo sana. Mikataba iliyokuwa inatuibia imerekebishwa na
kwa kweli rais
amethubutu kuifumua mikataba.
=
Mafisadi, wala
rushwa, na waharibifu wa mali za umma vimedhibitiwa kwa
kiwango kikubwa.
=
Biashara na
matumizi ya madawa ya kulevya vimeshughulikiwa kwa kiwango
cha hali ya juu na
si muda mrefu kuna watu watakuja kujifunza Tanzania
ilifanyaje katika vita hii.
=
Nidhamu imerejea. Nani
angetegemea watu kama Singasinga wa IPTL angelala rupango?
Nani angefikiri
Manji angelala lockup? Wafanyakazi serikalini na ofisi za
umma kwa ujumla sasa
ukifika unahudumiwa kwa nidhamu sana. Kuna wanaosema watu
hawako huru. Nani alitarajia
watu waliokuwa wanaingia ofisini na kutoka, waache tabia
hiyo kwa uhuru? Ni
halali walazimishwe kufika kazini na kuifanya kwa ufanisi.
Kama wanalazimika
sawa. Si wanalazimika kwa mujibu wa mikataba tu? Lakini
nidhamu imerudi.
Kazi
hii kubwa iliyofanywa na rais Magufuli imefanikiwa na kuonwa
ndani na nje. Viongozi badala ya kusubiri rais aende kwao
kuomba sasa wanakuja
wenyewe na kuahidi misaada. Tumeshuhudia majuzi waziri mkuu
wa India anaamua
kujiunga na rais magufuli alipotembelea kibaha huku akiwa
kwao. Akakatisha
shughuli zake na kuhutubia mkutano wa magufuli kwa njia ya
mtandao. Lini
uliisikia hiyo. Tena anafanya hivyo kueleza shkrani zake na
kuahidi kuisaidia Tanzania
kuondokana na tatizo la maji..
Kwa
wale waliokuwa wanafaidika wanaona hakuna mtu mbaya kama
Magufuli.
Wako tayari kufanya lolote na hii ilitarajiwa. Wako tayari
kutumia mbinu yoyote
ili kumyumbisha au kuyumbisha umma wa Tanzania. Wako tayari
kugharimia kwa
namna yoyote ile ikiwa ni pamoja na kuangalia kati yetu kuna
nani wanaoweza
kulipwa wakafanya wanaloweza kufanya. Nitaeleza huko mbele
lakini siamini kama
Tundu Lisu, kwa mfano; hayuko kwenye Pay roll ya mtu
Wakati
hilo kundi hilo likiyaona anayoyafanya Magufuli kuna kundi
la
pili lililokataa si kuona tu anayofanya Magufuli bali haliko
tayari kusikia
ulimwengu unamsemaje. Kama watu wasio na akili wakati
wengine wanamsifu wao
wanakazana kuwaelimisha wengine kuwa Magufuli hafanyi
chochote. Kuna mambo
mengine kama unaona kitu Fulani na walio wengi wanaona
kingine lazima utafute
mkakati wa kuwaelimisha unachoona na namna bora ni kunyamaza
kwanza. Hivi watu
waliokandamizwa na hayo yote niliyoyataja wawezaje kusimama
mbele za watu
ukasema tunateseka kwa kukosa kibali cha kuandamana? Una
akili kweli? Watu walikandamiza
na rushwa na ufisadi, mzigo wa serikali kubwa, makusanyo
makubwa ya kodi
isiyoonekana inafanya nini. Sasa hayo yameondoka. Unasema
hatuna kibali cha
kuandamana. Kuandamana kudai nini? Mambo ya kufanya watu
waandamane
yameondolewa. Kwanza hata bila kupiga marufuku kuandamana
utaandamana kupinga
nini? Badala ya kwenda shambani kulima ili upitishe mazao
kwenye barabara nzuri
unataka utumie barabara nzuri kuandamana tena bila kudai
chochote? Hii nayo
inakutwa Tanzania tu.
Angalau
wengine wamejirudi. Wanasema Magufuli anafanya vizuri lakini
======. Angalau hao unaweza kupata cha kujadiliana nao
Lakini
tunaye mwenzetu Tundu Lisu. Sehemu ninayomfahamu ni
mwanaharakati. Kwa kidogo nikijuacho anapenda kutetea haki.
Hana historia ya
kuhusika na Rushwa. Niliwahi kuambiwa kuwa kama angekuwa
mtoa rushwa
angeishakuwa mbunge zamani. Kwa sababu hiyo nilitokea
kumpenda. Wakati CHADEMA
Ikiwa na kiongozi (Dr. Slaa) kulikuwa na udhibiti. Mambo ya
kipuuzi tunayoyaona
sasa angekuwepo tusingeyaona. Wabunge wake walitamka mambo
yaliyohaririwa kwa
mantiki. Sasa hayupo ndipo tunashuhudia madhara yake.
Tundu
lisu, mbunge wa Singida anatamka mambo mpaka UNAULIZA kama
huyu
alilelewa na bibi yake au alilelewa msituni tu na nyani kwa
hiyo utamaduni wa
binadamu anajifunza kadri anavyowazoea binadamu. Ni kweli
anamchukia Dr Magufuli.
Huenda ana sababu. Huwezi kujua aliahidiwa nini kama chama
chake kingeshinda. Anaweza
kuumia kuliko wengine. Kuna matamshi anayatamka juu ya
Magufuli ukiyapima
unaona yako nje ya mlolongo wa siasa. Sipendi kutamka maneno
yoyote anayoyasema
ili kila anayetaka atafute. Lakini matamshi yake unaweza
kujiuliza taaluma yake
ina maadili ya kazi? Yeye ni Rais wa TLS. Hivi humo TLS
ndivyo wanavyojibizana
wakitofautiana? Au hawatofautiani? Watu wengi
waliitahadhalisha TLS kuhusu Lisu
kuchaguliwa kuwa rais wa taasisi hiyo. Kwa ushabiki sijui
niuiteje wakamchagua.
Bila shaka walidhani wanamkomesha aliyewatahadhalisha. Sasa
tunajiuliza TLS ina
Codes of Conduct? Zinaruhusu hayo tunayoyaona Lisu akifanya?
Sasa nina uhakika
kuwa TLS iko njia panda: Kuendelea kukubaliana na Lisu,
heshima yake ikashuka
machoni pa jamii au kuamua kujitenga na Lisu. Kama Codes of
Conduct zinaruhusu
hayo basi ndiyo hivyo. TLS inafutika. Inajifuta.
Mwenendo
huu wa Lisu usipodhibitiwa basi taifa litaingia pabaya. Mimi
ninadhani hatutafika huko. Kama Serikali itashindwa, wapo
wazalendo wa nchi hii
watamdhibiti Tundu.
Subiri
kidogo.
Elisa
Muhingo
0767
187 507
elisamuhingo@yahoo.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment