Tabia yako inaliaibisha taifa mkuu. Jifunze kusema ukweli wakati wote
-- On Sat, 19 Aug 2017 at 12:15, 'Nickson ngajilo' via Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com> wrote:Bwana Elisha Muhingo,Nimemsikiliza Lisu kwenye Utube siona ubaya wake,Yeye anachosema kuwa makini serikali inapoingia mikataba na wakubwa wa Dunia.Sasa katika mikataba ya serikali na wakubwa hawa mara nyingi kunakuwa na mauzauza sana,kama ulimsikia Mheshimiwa Raisi wetu akihutubuia siku ile Ikulu alisema Marehemu Kigoda akiwa waziri wa madini aliingia mkataba na hawa wakubwa wa dunia sisi watanzania tukiambulia ZERO profit.Nafikiri kila mtu alisikia.Sasa Lissu kama mwana sheria ni lazima aongeree mikataba.--------------------------------------------On Thu, 8/17/17, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Subject: Re: [wanabidii] Re: TABIA HII YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA TAIFATo: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>, "prudence karugendo" <prudencekarugendo@yahoo.com>, "hussein siyovelwa" <uhalisi@yahoo.co.uk>Cc: "stanley.nshange@nsn.com" <stanley.nshange@nsn.com>, "innokahwa@yahoo.com" <innokahwa@yahoo.com>, "akiobya@yahoo.com" <akiobya@yahoo.com>, "tkiobya@yahoo.com" <tkiobya@yahoo.com>, "hkahyoza@yahoo.com" <hkahyoza@yahoo.com>, "emmanuelelias2005@yahoo.com" <emmanuelelias2005@yahoo.com>, "repeatitagency@yahoo.com" <repeatitagency@yahoo.com>, "stanley.nshange@nokia.com" <stanley.nshange@nokia.com>, "tundu.lissu@gmail.com" <tundu.lissu@gmail.com>, "pkarugendo@yahoo.com" <pkarugendo@yahoo.com>, "mbowe2008@gmail.com" <mbowe2008@gmail.com>, "bilhuda2006@yahoo.co.uk" <bilhuda2006@yahoo.co.uk>, "davidkafulila@yahoo.com" <davidkafulila@yahoo.com>, "muddy.kiobya@gmail.com" <muddy.kiobya@gmail.com>, "emmanuelelisa46@yahoo.com" <emmanuelelisa46@yahoo.com>, "wilfredlwakatare@gmail.com" <wilfredlwakatare@gmail.com>Date: Thursday, August 17, 2017, 10:20 PMThis message is eligible for Automatic Cleanup!Add cleanuprule| More infoNimemuelewa. Hujajichanganya.Soma tena mada ya msingi na coment yangu kwa karugendo. naalilomaanisha Kalugendo. nami ninalomaanisha. Vyoteviangaliwe. Lisu si Mfalme kwa nilichosema? Kuna mwenyeubavu wa kumwambia nilichosema? Hawakioni kuwa anapotoka?Mbona yeye tu kama ni sahihi? Ni mfalme na hajavaa. Basi niMakusudi Koku.From: 'LutgardKokulinda Kagaruki' via WanabidiiTo:<wanabidii@googlegroups.com>; prudence karugendo<prudencekarugendo@yahoo.com>; hussein siyovelwaCc:Sent:Thursday, August 17, 2017 4:10 PMSubject: Re:[wanabidii] Re: TABIA HII YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHATAIFAElisa,Nimakusudi au hujamwelewa Bwana Prudence? Au mimi ndonajichanganya?LKKOn Thursday, August17, 2017 3:36 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com> wrote:Naam ndugu kalugendo. makala hiini mtoto anauambia umma kuwa Mfalme (in this case Lisu) yukouchi. sasa anasidiwe asijiaibishe au kuliaibisha kundilinaoogopa kumwambia kuwa una\aibishaFrom: prudencekarugendo <prudencekarugendo@yahoo.com>To: hussein siyovelwa<uhalisi@yahoo.co.uk>; ELISA MUHINGOCc:Sent: Wednesday, August16, 2017 6:08 PMSubject: Re: TABIA HIIYA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA TAIFAIla msisahau kwamba wakatimfalme amevaa nguo aliyoambiwa haitaonekana tu kwa wenyedhambi, watu wote walibaki kumtazama mfalme akitembea uchiwa mnyama, wakabaki wakicheka kimoyomoyo, wakihofiakujulikana wamemuona mfalme akitembea uchi, kwahiyowakaonekana wenye dhambi na kunyongwa, ni mtoto mdogo pekeyake aliyesema mfalme yuko uchi!From: hussein siyovelwaTo: ELISA MUHINGO<wanabidii@googlegroups.com>; prudence karugendoCc:Sent: Wednesday, August16, 2017 1:10 PMSubject: Re: TABIA HIIYA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA TAIFAHongera, MR. MUHINGO kwamakala yako nzuri kuhusu Tundu Lissu. Kwa bahati mbayanilichelewa kuisoma. Tatizo la Lissu ni ujinga uliofunikwablanketi la weledi. anapinga kuliko aliowakuta katikaupinzani. Shida ni kwamba anapinga ili kuthibitisha uaminifuwake kwa wakuu wake na si kwa ajili ya maslahi ya nchi. MINADHANI HATALIABISHA TAIFA ISIPOKUWA ATAJIABISHA MWENYEWE NAWANAOMSHABIKIA. mfano katika suala la makinikiaalijidhihirisha mwenyewe kwamba uzalendo wake ni wa kutiliwamashaka. NI JUKUMU LETU WAZALENDO KUMZOMEA KWA HOJA KILAANAPOTOA UONGO WAKE ILI AJUE KWAMBA ANAJIDHARAULISHA.On Monday, 24 July2017, 23:14, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>wrote:Toka rais Magufuli alipoingia madarakani kumekuwa nasura mbiliduniani.Njemataifa mengi yanamuunga mkono. Baadhi ya wananchiwanatamaniangekuwa rais wa nchi zao.Ndaniya nchi wananchi walio wengi wanamuunga mkono. Wanaanzakuonaadha walizolalamikia zimepungua, au kuna matumaini kuwambele kuna matumaini.Makundihaya mawili ni sehemu ya sura moja. Yote yana sababuzinazofanana.Mataifamengi hasa ya uchumi mdogo, yaani mataifa maskiniwamechoshwana Rushwa, ufisadi, wizi, ukosefu wa uwajibikajinakadhalika. Viongozi waliowengi wamekuwa wakijilimbikiza mali na kwa kweliwakishaingia madarakaniwanaanza kuishi kama wale walio katika mataifa tajiri hukuwananchi waowakiumia. Wanaumia kwa kubeba serikali kubwa na zenyemarupurupu yasiyonenekahuku huduma za kijamii zikibaki chini na watawalawakisingizia hali mbaya yaumaskini.Tanzaniahatukupona hilo. Nisamehewe kwa kutaja mifano ya karibu.Serikali ya awamu ya nne ilipoingia madarakani ilionekanakugawa vyeo si kwamanufaa ya wananchi bali waliopata vyeo. Tukumbushanemgawanyo wa Wizara yamambo ya ndani kwa kuanzisha wizara ya usalama wa raia.Mpaka tulipopiga kelelekwa usikivu wa rais akazirudisha zikawa moja. Lakinitumeshuhudia mgawanyo wawilaya na mikoa huku hayo hayaleti tija bali mzigo kwawalipa kodi.Tumeshuhudia utumbuaji wa mali ya umma kupitia misafaramirefu na safari zamara kwa mara za viongozi. Tumeshuhudia watu Fulani wakiwana uhakika kwambahawawezi kuguswa na vyombo vya dola. Tumeshuhudia kashfazinatokea, uchunguziunafanyika, inaonekana wazi kuwa Fulani na Fulani wana kesiya kujibu lakinihawashtakiwi. Ikafika mahala wengine wakataka kugombea nakutaka kulitawalataifa. Ukweli tulifika mahala maneno ya kuchochea maasiyakaanza kutoka. Nakumbukakusoma mahala mtu akitania (au akimaanisha) kuwa kamaMwamnyange akiingia ikuluatashangilia. Tulifika mahala pabaya. Ukweli tulifika mahalawatu wakadhaniuchaguzi hauwezi kutusaidia kutoka kwenye shida hizi. Hayoyakiwa hapa nchinindivyo ilivyo kwenye mataifa yote yanayomshangilia nakumpongeza magufuli.Mataifana mashirika yanayotufadhili katika miradi mbalimbaliwalifikamahala wakaamua kuacha kutusaidia. Ikawa viongozi watoke njekubembelezamisaada. Wakawa wanakwenda nchi kumi wanaahidiwa sehemumbili tu.Baadaya uchaguzi, 2015 na Dr. John Magufuli kushinda Tanzania naulimwengu tulishuhudia mabadiliko. Mtu aweza kuandika mengi;lakini napendakuyaandika kwa muhtasari:=TumeshuhudiaSerikali ikipunguza kwa kiasi kikubwa matumizi yasiyo yalazima. Safari ziliachwana sasa zinadhibitiwa. Vikao visivyo vya lazima havifanyikina vinavyofanyikahavitumii posho za ajabu au kutumia matumizi ya anasa hukutukiwa maskini.=Wizi wa ajabuumedhibitiwa. Wafanyakazi hewa wameondolewa na kama wamebakibasi ni kwa kiwangokidogo sana. Mikataba iliyokuwa inatuibia imerekebishwa nakwa kweli raisamethubutu kuifumua mikataba.=Mafisadi, walarushwa, na waharibifu wa mali za umma vimedhibitiwa kwakiwango kikubwa.=Biashara namatumizi ya madawa ya kulevya vimeshughulikiwa kwa kiwangocha hali ya juu nasi muda mrefu kuna watu watakuja kujifunza Tanzaniailifanyaje katika vita hii.=Nidhamu imerejea. Naniangetegemea watu kama Singasinga wa IPTL angelala rupango?Nani angefikiriManji angelala lockup? Wafanyakazi serikalini na ofisi zaumma kwa ujumla sasaukifika unahudumiwa kwa nidhamu sana. Kuna wanaosema watuhawako huru. Nani alitarajiawatu waliokuwa wanaingia ofisini na kutoka, waache tabiahiyo kwa uhuru? Nihalali walazimishwe kufika kazini na kuifanya kwa ufanisi.Kama wanalazimikasawa. Si wanalazimika kwa mujibu wa mikataba tu? Lakininidhamu imerudi.Kazihii kubwa iliyofanywa na rais Magufuli imefanikiwa na kuonwandani na nje. Viongozi badala ya kusubiri rais aende kwaokuomba sasa wanakujawenyewe na kuahidi misaada. Tumeshuhudia majuzi waziri mkuuwa India anaamuakujiunga na rais magufuli alipotembelea kibaha huku akiwakwao. Akakatishashughuli zake na kuhutubia mkutano wa magufuli kwa njia yamtandao. Liniuliisikia hiyo. Tena anafanya hivyo kueleza shkrani zake nakuahidi kuisaidia Tanzaniakuondokana na tatizo la maji..Kwawale waliokuwa wanafaidika wanaona hakuna mtu mbaya kamaMagufuli.Wako tayari kufanya lolote na hii ilitarajiwa. Wako tayarikutumia mbinu yoyoteili kumyumbisha au kuyumbisha umma wa Tanzania. Wako tayarikugharimia kwanamna yoyote ile ikiwa ni pamoja na kuangalia kati yetu kunanani wanaowezakulipwa wakafanya wanaloweza kufanya. Nitaeleza huko mbelelakini siamini kamaTundu Lisu, kwa mfano; hayuko kwenye Pay roll ya mtuWakatihilo kundi hilo likiyaona anayoyafanya Magufuli kuna kundilapili lililokataa si kuona tu anayofanya Magufuli bali halikotayari kusikiaulimwengu unamsemaje. Kama watu wasio na akili wakatiwengine wanamsifu waowanakazana kuwaelimisha wengine kuwa Magufuli hafanyichochote. Kuna mambomengine kama unaona kitu Fulani na walio wengi wanaonakingine lazima utafutemkakati wa kuwaelimisha unachoona na namna bora ni kunyamazakwanza. Hivi watuwaliokandamizwa na hayo yote niliyoyataja wawezaje kusimamambele za watuukasema tunateseka kwa kukosa kibali cha kuandamana? Unaakili kweli? Watu walikandamizana rushwa na ufisadi, mzigo wa serikali kubwa, makusanyomakubwa ya kodiisiyoonekana inafanya nini. Sasa hayo yameondoka. Unasemahatuna kibali chakuandamana. Kuandamana kudai nini? Mambo ya kufanya watuwaandamaneyameondolewa. Kwanza hata bila kupiga marufuku kuandamanautaandamana kupinganini? Badala ya kwenda shambani kulima ili upitishe mazaokwenye barabara nzuriunataka utumie barabara nzuri kuandamana tena bila kudaichochote? Hii nayoinakutwa Tanzania tu.Angalauwengine wamejirudi. Wanasema Magufuli anafanya vizuri lakini======. Angalau hao unaweza kupata cha kujadiliana naoLakinitunaye mwenzetu Tundu Lisu. Sehemu ninayomfahamu nimwanaharakati. Kwa kidogo nikijuacho anapenda kutetea haki.Hana historia yakuhusika na Rushwa. Niliwahi kuambiwa kuwa kama angekuwamtoa rushwaangeishakuwa mbunge zamani. Kwa sababu hiyo nilitokeakumpenda. Wakati CHADEMAIkiwa na kiongozi (Dr. Slaa) kulikuwa na udhibiti. Mambo yakipuuzi tunayoyaonasasa angekuwepo tusingeyaona. Wabunge wake walitamka mamboyaliyohaririwa kwamantiki. Sasa hayupo ndipo tunashuhudia madhara yake.Tundulisu, mbunge wa Singida anatamka mambo mpaka UNAULIZA kamahuyualilelewa na bibi yake au alilelewa msituni tu na nyani kwahiyo utamaduni wabinadamu anajifunza kadri anavyowazoea binadamu. Ni kwelianamchukia Dr Magufuli.Huenda ana sababu. Huwezi kujua aliahidiwa nini kama chamachake kingeshinda. Anawezakuumia kuliko wengine. Kuna matamshi anayatamka juu yaMagufuli ukiyapimaunaona yako nje ya mlolongo wa siasa. Sipendi kutamka manenoyoyote anayoyasemaili kila anayetaka atafute. Lakini matamshi yake unawezakujiuliza taaluma yakeina maadili ya kazi? Yeye ni Rais wa TLS. Hivi humo TLSndivyo wanavyojibizanawakitofautiana? Au hawatofautiani? Watu wengiwaliitahadhalisha TLS kuhusu Lisukuchaguliwa kuwa rais wa taasisi hiyo. Kwa ushabiki sijuiniuiteje wakamchagua.Bila shaka walidhani wanamkomesha aliyewatahadhalisha. Sasatunajiuliza TLS inaCodes of Conduct? Zinaruhusu hayo tunayoyaona Lisu akifanya?Sasa nina uhakikakuwa TLS iko njia panda: Kuendelea kukubaliana na Lisu,heshima yake ikashukamachoni pa jamii au kuamua kujitenga na Lisu. Kama Codes ofConduct zinaruhusuhayo basi ndiyo hivyo. TLS inafutika. Inajifuta.Mwenendohuu wa Lisu usipodhibitiwa basi taifa litaingia pabaya. Mimininadhani hatutafika huko. Kama Serikali itashindwa, wapowazalendo wa nchi hiiwatamdhibiti Tundu.Subirikidogo.ElisaMuhingo0767187 507--Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwendawanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email yakudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibilityfor any legal consequences of his or her postings, and hencestatements and facts must be presented responsibly. Yourcontinued membership signifies that you agree to thisdisclaimer and pledge to abide by our Rules andGuidelines.---You received this message because you are subscribed to theGoogle Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emailsfrom it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwendawanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email yakudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibilityfor any legal consequences of his or her postings, and hencestatements and facts must be presented responsibly. Yourcontinued membership signifies that you agree to thisdisclaimer and pledge to abide by our Rules andGuidelines.---You received this message because you are subscribed to theGoogle Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emailsfrom it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwendawanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email yakudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibilityfor any legal consequences of his or her postings, and hencestatements and facts must be presented responsibly. Yourcontinued membership signifies that you agree to thisdisclaimer and pledge to abide by our Rules andGuidelines.---You received this message because you are subscribed to theGoogle Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emailsfrom it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwendawanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email yakudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibilityfor any legal consequences of his or her postings, and hencestatements and facts must be presented responsibly. Yourcontinued membership signifies that you agree to thisdisclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.---You received this message because you are subscribed to theGoogle Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emailsfrom it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwendawanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.---You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment