Monday 23 January 2017

[wanabidii] UZINDUZI WA HUDUMA YA 4G LTE MKOANI MWANZA

TTCL YAZINDUWA HUDUMA YA 4G LTE MKOANI MWANZA


[caption id="attachment_77152" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-77152" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/01/df97abd5-cd1a-4489-ad56-67a1a7b54831.jpg" alt="Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella (kulia) pamoja na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri W. Kindamba (kushoto) wakionesha mabango kuashiria uzindizi wa huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza akizungumza." width="800" height="459" /> Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella (kulia) pamoja na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri W. Kindamba (kushoto) wakionesha mabango kuashiria uzindizi wa huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza akizungumza.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_77146" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-77146" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/01/105dd11b-c51c-421d-9463-12c27b385e10.jpg" alt="Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella (kulia) wakipongezana na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri W. Kindamba." width="800" height="600" /> Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella (kulia) wakipongezana na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri W. Kindamba.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_77151" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-77151" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/01/c71e20ed-6093-4309-8ce2-e587cb2709fc.jpg" alt="Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella (kulia) na mgeni rasmi katika uzinduzi wa Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza akizungumza." width="800" height="525" /> Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella (kulia) na mgeni rasmi katika uzinduzi wa Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza akizungumza.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_77149" align="aligncenter" width="795"]<img class="size-full wp-image-77149" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/01/7169e7e5-1952-467e-a751-87e89e24c7fc.jpg" alt="Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri W. Kindamba akizungumza katika uzinduzi huo" width="795" height="600" /> Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri W. Kindamba akizungumza katika uzinduzi huo[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_77144" align="aligncenter" width="1000"]<img class="size-large wp-image-77144" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/01/75cfafa0-f479-49e8-945d-7d6c459ccf9b-1024x768.jpg" alt="Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella akitembelea huduma mbalimbali zinazotolewa na TTCL katika uzinduzi huo." width="1000" height="750" /> Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella akitembelea huduma mbalimbali zinazotolewa na TTCL katika uzinduzi huo.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_77145" align="alignnone" width="1000"]<img class="size-large wp-image-77145" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/01/95b79d72-259a-4e54-9565-e6242ee30b63-1024x768.jpg" alt="Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella akitembelea huduma mbalimbali zinazotolewa na TTCL katika uzinduzi huo." width="1000" height="750" /> Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella akitembelea huduma mbalimbali zinazotolewa na TTCL katika uzinduzi huo.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_77147" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-77147" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/01/2997eb90-b1a3-4718-b422-ac23819527b9.jpg" alt="Picha ya pamoja na Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella" width="800" height="504" /> Picha ya pamoja na Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_77150" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-77150" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/01/b734902d-5fbf-46cb-bbce-8ec15500af2c.jpg" alt="Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella (kushoto) akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamanda, Ahmed Msangi katika uzinduzi huo." width="800" height="600" /> Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongella (kushoto) akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamanda, Ahmed Msangi katika uzinduzi huo.[/caption]

&nbsp;

<strong>KAMPUNI</strong> ya Simu Tanzania TTCL, imezindua Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza siku ya Jumatatu, Januari 23, 2017. Mgeni rasmi katika tukio hilo alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe John Mongela alieongozana na Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mhe. Mary Tesha Onesmo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamanda, Ahmed Msangi.

Uzinduzi huo unaifanya Mwanza kuwa miongoni mwa Mikoa ya awali kabisa kupata huduma za 4G LTE ya TTCL yenye kiwango cha juu kabisa cha Ubora, kasi na gharama nafuu kupita kiasi. Mikoa mingine ambayo tayari kampuni hiyo imepeleka huduma za 4G LTE ya TTCL ni pamoja na Dar Es Salaam, Dodoma, Arusha, Mbeya,Morogoro, Pwani na Zanzibar.

Akizungumza katika uzinduzi huo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongera alisema TTCL ni kampuni Mama wa Mawasiliano nchini, iliyopewa jukumu la kuwaunganisha Wananchi popote walipo, inabeba jukumu la kufanikisha utendaji wa Sekta nyingine zote zikiwemo shughuli za ulinzi na Usalama wa nchi.

"Watanzania tunataka kuiona TTCL yetu ikichukua nafasi yake ya kuwa moja ya mashirika muhimu ya Umma yanayochangia Pato la Taifa na ukuaji wa sekta nyingine na hivyo kufanikisha mpango mkakati wa Nchi yetu kuwa Nchi ya Uchumi wa kati, Nchi ya Uchumi wa Viwanda," alisema Mkuu wa Mkoa, Mh. John Mongera.

Kwa upande wake Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri W. Kindamba akizungumza katika uzinduzi huo aliwahakikishia Watanzania na wateja wetu wote wa ndani na nje ya Nchi kuwa, kwa juhudi hizi tunazochukua na kwa ushirikiano mkubwa tunaopata kutoka Serikalini na kwa Wadau wetu, TTCL itafanya mapinduzi makubwa na kwa hakika itarejea katika nafasi yake ya kuwa kinara wa utoaji huduma za Mawasiliano nchini Tanzania.

"TTCL 4G LTE MWANZA TUMEWAFIKIA"






KAWAIDAA


KAMPUNI ya Simu Tanzania TTCL, imezindua Huduma za TTCL 4G LTE katika Jiji la Mwanza siku ya Jumatatu, Januari 23, 2017. Mgeni rasmi katika tukio hilo alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe John Mongela alieongozana na Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mhe. Mary Tesha Onesmo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamanda, Ahmed Msangi.

Uzinduzi huo unaifanya Mwanza kuwa miongoni mwa Mikoa ya awali kabisa kupata huduma za 4G LTE ya TTCL yenye kiwango cha juu kabisa cha Ubora, kasi na gharama nafuu kupita kiasi. Mikoa mingine ambayo tayari kampuni hiyo imepeleka huduma za 4G LTE ya TTCL ni pamoja na Dar Es Salaam, Dodoma, Arusha, Mbeya,Morogoro, Pwani na Zanzibar.

Akizungumza katika uzinduzi huo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. John Mongera alisema TTCL ni kampuni Mama wa Mawasiliano nchini, iliyopewa jukumu la kuwaunganisha Wananchi popote walipo, inabeba jukumu la kufanikisha utendaji wa Sekta nyingine zote zikiwemo shughuli za ulinzi na Usalama wa nchi.

"Watanzania tunataka kuiona TTCL yetu ikichukua nafasi yake ya kuwa moja ya mashirika muhimu ya Umma yanayochangia Pato la Taifa na ukuaji wa sekta nyingine  na hivyo kufanikisha mpango mkakati wa Nchi yetu kuwa Nchi ya Uchumi wa kati, Nchi ya Uchumi wa Viwanda," alisema Mkuu wa Mkoa, Mh. John Mongera.

Kwa upande wake Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri W. Kindamba akizungumza katika uzinduzi huo aliwahakikishia Watanzania na wateja wetu wote wa ndani na nje ya Nchi kuwa, kwa juhudi hizi tunazochukua na kwa ushirikiano mkubwa tunaopata kutoka Serikalini na kwa Wadau wetu, TTCL itafanya mapinduzi makubwa na  kwa hakika itarejea katika nafasi yake ya kuwa kinara wa utoaji huduma za Mawasiliano nchini Tanzania.

"TTCL 4G LTE MWANZA TUMEWAFIKIA"              
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment