TTCL Yatwaa Ushindi wa Tatu Sekta ya Mawasiliano na Tehama
[caption id="attachment_72953" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/HERM7530.jpg" alt="Rais wa Rwanda, Paul Kagame (wa pili kulia) akimkabidhi tuzo ya Mshindi wa Tatu Sekta ya Mawasiliano na Tehama (ICT) Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Prof. Tolly Mbwette (kushoto) kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage (wa pili kushoto)" width="800" height="533" class="size-full wp-image-72953" /> Rais wa Rwanda, Paul Kagame (wa pili kulia) akimkabidhi tuzo ya Mshindi wa Tatu Sekta ya Mawasiliano na Tehama (ICT) Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Prof. Tolly Mbwette (kushoto) kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage (wa pili kushoto)[/caption]
[caption id="attachment_72954" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0028.jpg" alt="Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura (kulia) akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wanaoshiriki kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. " width="800" height="483" class="size-full wp-image-72954" /> Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura (kulia) akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wanaoshiriki kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. [/caption]
[caption id="attachment_72955" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0040.jpg" alt="Kulia ni baadhi ya wateja na wageni anuai wanaotembelea banda la kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. " width="800" height="521" class="size-full wp-image-72955" /> Kulia ni baadhi ya wateja na wageni anuai wanaotembelea banda la kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. [/caption]
[caption id="attachment_72956" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0047.jpg" alt="Kulia ni baadhi ya wateja na wageni anuai wanaotembelea banda la kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. " width="800" height="592" class="size-full wp-image-72956" /> Kulia ni baadhi ya wateja na wageni anuai wanaotembelea banda la kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. [/caption]
[caption id="attachment_72957" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0057.jpg" alt="Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura (kulia) akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wanaoshiriki kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. " width="800" height="561" class="size-full wp-image-72957" /> Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura (kulia) akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wanaoshiriki kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. [/caption]
[caption id="attachment_72959" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0177.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. " width="800" height="533" class="size-full wp-image-72959" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. [/caption]
[caption id="attachment_72960" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0178.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Prof. Tolly Mbwette (kulia)" width="800" height="598" class="size-full wp-image-72960" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Prof. Tolly Mbwette (kulia)[/caption]
[caption id="attachment_72961" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_0214.jpg" alt="Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. " width="800" height="492" class="size-full wp-image-72961" /> Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. [/caption]
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment