Elisa, sijui wewe unaishi sayari gani! Kwani uchumi Tanzania umeanza kujengwa lini, ni mwaka huu na katika awamu hii tu? Katiba na sheria ya yama vya siasa inaruhusu shughuli/mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa. Shughuli/mikutano hizi/hii ndiyo inayotoa majibu kwa maswali ya wanachama/wananchi, inapokea wanachama wapya, inawaandaa viongozi na ndiyo pia inayowapa wanachama/wananchi kusikia kauli za viongozi wao kwa mambo ambayo wameahidi. Kwa kifupi mikutano/shughuli za vyama vya siasa ndiyo uhai wa vyama vyenyewe. Chama cha siasa kikiacha kufanya hizo shughuli/mikutano ndiyo mwisho wa chama chenyewe. Labda tuseme hili ndilo lengo la hao wanaozuia shughuli/mikutano ya vyama vya siasa. Pili, kila chama kinaongozwa na katiba na sera. Na ndani ya katiba/sera ndimo kuna utaratibu wa kuitisha hizo shughuli na mikutano ya vyama vya siasa inayokatazwa. Je, sasa vyama vitatumia katiba/sera ipi kujiendesha? Tatu: Rais aliapa kuilinda katiba na sheria za nchi. Katiba na sheria vinaruhusu vyama vingi na mikutano inayokatazwa. Je, justification ya kukataza hiyo mikutano inatoka wapi?
2016-07-28 14:59 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Edgr. Hebu fikiria hili:
Wakati wa kampeni vyma vilikuwa vinatoa ahadi kujenga uchumi na kuendeleza nchi.
Sa kazi zimeanza ufanyika.
Mu aamue kuitishamikutano na maandamano ka myaka mitan unafikiri ahadi zilizoahidwa zitatimizwa?? Watu ndiyo machinary ya kutekeleza yaliyoahidiwa. Ipo haa a kuangalia agenda ya mktano au mandamano na kama hisiddii klupeeka tunakokwenda hakuna njia. i kuzuia matendo hayo.
--------------------------------------------
On Thu, 7/28/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, July 28, 2016, 12:47 PM
Kuna propaganda za
ajabu sana humu! Siwezi kuamini kwamba kuzuia mikutano ya
vyama vya siasa au kuzuia watu wasiseme kero zao hadharani
ndiko kuleta maendeleo Tanzania. Ni dhana mbaya na hatari.
2016-07-28 11:26
GMT+03:00 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:
You are attacking the wrong point
Joseph! Come back to your senses! Walau katika uzi huu
sijatamka neno maandamano! Ninachokiamini na ninachokisema
ni kwamba, vyama vya siasa viruhusiwe kufanya shughuli za
kisiasa kwani viko kihalali na ndizo shughuli zao. Ni vigumu
kelewa hilo nalo katika yale niliyoandika ??? Nasema tena:
si vyema kwa mamlaka yoyote ile kukataza shughuli za vyama
za kisiasa zinazofanywa kistaarabu na zenye kuzingatia
sheria nchi! Au basi vifutwe. Kwa sababu vyama vya siasa
lazima vinadi sera zao, vitafute wafuasi na vikue. Hili
ndilo ninaloamini na ninaloweza kulisimamia even at the
gun point. Mengine ya Mbowe na watoto wake hayo ni yako
siwezi kuzuia yakazunguka kichwani kwako. Die Gedanken
sind frei!!!! punto e basta!!!!
Date: Thu, 28 Jul 2016 07:15:22 +0300
Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la
kimkakati la Mbowe na CHADEMA
From: josephludovick@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Edgar
Ninao ushauri mmoja Tu kwako. Siku hiyo vaa joho, tangulia
mbele ya hayo maandamano!. Pamoja nawe awe Mbowe na watoto
wake ili kama kutakuwa na mauaji wewe na watoto wa Mbowe
mfe! Labda mtapata fundisho. Hamkumbuki VIJANA waliotolewa
kafara na CHADEMA Arusha? Hamkumbuki kafara za morogoro?
Hamkumbuki? CHADEMA wakati ule walisitisha vurugu zao kwamba
wameona maisha yanapotea! Leo kuna zuio rasmi tena la Rais
wanatangaza maandamano. Maana yake sasa hawaoni shida watu
wakifa?
Hata hivyo najua wametafuta kiki Tu! Hakuna tena
watanzania mazoba ama nyumbu wa kuunga mkono majizi na
wapiga dili! Mama Kiwasila husema walewale
On 27 Jul 2016 22:45, "'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Malika.
Kuna kazi kubwa ya kuielewa CHADEMA:
Natamani wanavyuo wanaosoma Political Science wakafanya
study kuhusu myenendo ya vyama fulani na mfano ukachukuliw
wa CHADEMA.
nataka kutoa Hypothesisi ya kufanyia kazi: mwelekeo wa
chadema hutegemea na mfadhili anayetoa fedha:
Na mimi niliwahi kukiamini chama hicho kama chama cha
kutumiwa na watanzania kuiondoa CCM madarakani. Ni kipindi
ilipoacha reli na kuanza kutembelea vichakani.
Nilifikiri ninaielewa vizuri CHADEMA wakati wa mgogoro
wake na Zitto. Huenda nilikuwa mkosaji.
Nikaanza kuielewa ilipomtelekeza Dr. Slaa na kumkaribisha
Lowasa. Alipoingia CHADEMA ikatelekeza na serayake ya
kutetea wanyonge na kumkumbatia Lowasa na ikaendesha kampeni
za uchaguzi bila sera au mwelekeo unaoeleweka.
Funga kazi ni ''buyanga buyanga''
inayoendelea sasa. Vitiko vya wabunge wake,mpaka kupewa
adhabu kila leo. Kususia bunge bila sababu na mpango wa
maana na kiujumla kujifanya chama cha wanaharakati ni vigumu
kujua kama sasa CHADEMA haitekjelezi mkakati wa
''mfsdhili''anayelenga kuhqkikisha tanzania
inavuruga amani yake.
Ukiwauliza wanachama wa CHADEMA kupambana na Polisi
mnatekeleza kipengele gani cha ilani yenu? Hawawezi kuwa na
jibu. nani anakiburuza chama.
Ninafikiri kuwa kama kweli CHADEMA ina wanachama
wanaokipenda basi waanze kuandamana kumkataa Mbowe maana
huenda analipwa kukihujumu na kulihujumu taifa, kwa kujua au
bila kujua. Wakichelewea watakuja kugundua wakati chama
kimekufa
--------------------------------------------
On Wed, 7/27/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati
la Mbowe na CHADEMA
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, July 27, 2016, 4:34 PM
Nilifikiri
nakutarajia kuwa kuwa Mbowe atatangaza kuwa kuanzia
tarehe
01-09-2016 ni siku ya kwenda katika kila kona ya majimbo
ya
Chadema yote
na kata na mitaa walizoshinda katika uchaguzi mkuu
uliopita
kushiriki
na wananchi masuala ya maendeleo ikiwemo kuendeleza na
kukusanya nguvu
ya pamoja katika kuboresha na kujenga miundombinu mipya
ya
kuchochea
maendeleo.
Ikiwa ni pamoja kupiga vita umasikini kwa kuhakikisha
wanafunzi wanapata
vyumba vya madarasa, vyoo safi, vifaa vya mashuleni ili
waweze kusoma
na kuelewa vizuri katika kuleta maendeleo na demokrasia
zaidi ndani ya
chama ambayo bado ipo chini sana katika chadema ili
kukifanya chama kije
kuwa na wanamainduzi na viongozi wazuri wa baadaye.
Badala yake Mbowe anataka kuendelea kupambana na polisi
na
serikali ya
Rais Magufuli jambo amabalo litakipotezea muda mwingi
chadema na mwisho
wa siku hakuna jipya ndani ya chama na kubakia kuitwa
chama
cha vurugu
na maandamano nyasiyo na tija kwa wananchi.
Mwisho niwahusie Mbowe na chadema, wanachotaka kufanya ni
kosa la pili
la kimkakati badala ya kosa la awali walilolifanya la
kukimbia bungeni
amabalo halina tija kwa wananchi wala waoi wenyewe.
Mbowe na chadema badala ya kuendelea kufanya makosa ya
kimkakati zaidi
amabayo hayana tija kwa wananchi waliowachagua na badala
yake wanataka
kuendelea na maigizo wanayotarajia kuyafanya, Chadema
haiwezi kufanikiwa
kwa kutunishiana misuri na jeshi la polisi pamoja na
serikali,
watafanikiwa kwa kuleta mabadiliko katika majimbo na kata
wanazoziongoza
ili mradi tu kuonekanane tofauti ya kiuongozi baina yaoi
na
ccm tu.
Katika hili wanalotarajia kutaka kufanya, hakika sasa
pengo
la Dr. Slaa
limeanza kuonekana live ndani ya chadema na ni bora
Lowassa
akatafuta
njia ya kutoka humo kwa kuwa hawezi kuizuia chadema na
siasa
za
uhanaharakati na hilo litamletea heshima zaidi kuliko
kubaki
ndani ya
chama ambacho hawataki kubadilika.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment