Sunday, 31 July 2016

Fwd: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA CHADEMA SEPTEMBER 1: Polisi wangapi wanatakiwa kulinda maandamano hayo?

-------- Original Message --------
Subject: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA CHADEMA SEPTEMBER 1: Polisi wangapi wanatakiwa kulinda maandamano hayo?
From: Lesian <aramakurias@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
CC:

Hunaga kz kama umekodiwa mzee kuandikaga unachoona ww na upeo wako mdogo, unatumia mda wako vibaya kama huna kaz kalima mh Rais kashajaza nafasi zoote, ulitakiwa ungeanza zamani kama kina pole pole ww kakusahau.....na acha dharau wavuta bangi hata mwanao huend nae yumo humo.......maana ww adui mkubwa ni mbowe na lowasa tu na sio chadema......na ingekua una akili timamu ungewaona kua ndio wanaofanya mabadiliko haya yanayotekelezwa na Rais ndio waliokua wakipiga kelele bungeni kila siku, wkt hao unaowaona safi waliua wakishangilia na kusinzia tu na kuuunga mkono hoja...au hufuatiliagi nn, kati ya upinzani na ccm nani wanaoongoza kwa kuraise issues wee mzee...escrow...iptl,ishu za ufisadi kwenye halmashaur, zoote hiz nadhan utasema ndio upinzani....hv sasa ww mnapowaona sio nakushangaeni.....
Upinzani ndio pekee inayowatetea watanzania ccm wao ni kuunga mkono hoja regardless hiw it is, hata kama ni mkataba fake watagonga meza ndioooo,hata kama ni wa kinyonyaji utasikia ndiooooo.....hv leo kuna mikodi kibao imekua imposed ktk budget hii ambayo ni mzgo mkubwa kwa kua washaur wa serikali wameshindwa kushaur vizur, wanashindwa kwenda kwenye madini na ma hotel makubwa kupeleka kodi huko.....kodi ya madini...mrahaba hadi leo bado haulete faida kwetu, bado migodi inawanufaisha wawekezaji....wkt mi nilijua ndio eneo la kwenda kurediscuss kupatkane kodi ambayo itakua sawa...refer botwasana wawekezaji wana share 30 na 60 ni share za serikali.....why not sisi
Haya masuala kwakua ccm wanasinziaga tu ndio maana hatunufaik na migodi yetu na kwa kua wapinzani wapo watafanyia kaz hadi kieleweke......mambo ni mengi
Sasa nashangaa et wao adui mkubwa ni upinzani......anywa y mikutano ya sept itakuwepo kama kawa

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment