Niliwahi kusema na sasa nakumbusha: CHADEMA litakayoshindwa mgombea wake akiwa Lowasa ni mbovu kuliko ile itakayoshindwa ikiwa na Dr. Slaa. ndilo linaloonekana sasa na kwa ambao bado si muda mrefu wataona.
Majenzi ya CHADEMA uanastahili kuanz kwa kuisafisha. Kuondoa wote wanaoharibu akiwemo Mbowe. na hili twaweza kusubiri kuliona ama kuligundua tukalifanya.
--------------------------------------------
On Fri, 7/29/16, 'Godfrey Obonyo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, July 29, 2016, 9:30 AM
Nilikaribia kuiamini chadema kama chama cha siasa lakini
palipo piga Sera yao ya uchaguzi chini na kufuata hisia za
mtu mmoja, niligundua kumbe wanafanya mchezo Wa panya na
mwenye nyumba kwa Wa TZ, mwisho nilipo sikia mwenyekiti wao
TaiTaifa akisema....''nimefikiria sanaaa,! Nikahamua
kupiga gear hewani" alipoamua kutupa agenda zote za
CHADEMA na kumkaribisha asimu mkuu Wa agenda hizo
....Lowassa kukiongoza chama hicho akipeperusha bendera ya
CDM kwenye uchaguzi mkuu mwaka Jana.Baadae
maneno ya mkosa Sera kama....bora hata jiwe.... Duh! Eti
bora hata kisiki, hats mbwa aongoze nchi yetu, alivotaka
Mbowe.
Kweli
Mimi CDM .......mmmh!..hats ukuta Wa mikono si itabomolewa
kwa gear ya mkate..?
Sent
from Yahoo Mail on Android
On Thu, Jul
28, 2016 at 18:51, J L
Kamala<jlkamala@gmail.com> wrote:
Waambie hao.
On Jul 28, 2016 4:59
PM, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> wrote:
Mikutano ya kikatiba inaruhusiwa, mikutano ya
wabunge majimboni mwao inaruhusiwa!
Enyi watu mnataka kafara za damu zetu za nini?
Hamtosheki?
On 28 Jul 2016 16:52,
"Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com> wrote:
Isn't this wholesale/blanket labelling? Nani
anayeona huu mkutano ni "maji taka" unazuia na ule
"si wa maji taka" unaruhusiwa maana mikutano au
shughuli hizi huwa zinazuiwa kabla ya kufanyika. Hebu
twambie.
2016-07-28 16:41
GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Sijawahi kusikia zuio lolote la
shughuli za kisiasa. Nilichosikia ni siasa za maji taka
ndizo zimezuiliwa ili kuwapa mtu kufanya siasa ya maana.
--------------------------------------------
On Thu, 7/28/16, 'jbifabusha' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la
kimkakati la Mbowe na CHADEMA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, July 28, 2016, 4:09 PM
Kuwajibu
Joseph na Mihingo ni kupoteza muda wako. Aidha
wametumwa au
wanatumika. Sielewi mantiki ya kuzuia shughuli za
kisiasa
mimi? Anayeunga mkopo hilo nadhani anatakiwa
.......
Sent from Samsung
Mobile
-------- Original message
--------
From: Telesphor Magobe
<tmagobe@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa
jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
Kuna propaganda za ajabu sana humu!
Siwezi kuamini
kwamba kuzuia mikutano ya vyama vya siasa au kuzuia
watu
wasiseme kero zao hadharani ndiko kuleta maendeleo
Tanzania.
Ni dhana mbaya na hatari.
2016-07-28 11:26 GMT+03:00
Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:
You are attacking the wrong point
Joseph! Come back to your senses! Walau katika uzi
huu
sijatamka neno maandamano! Ninachokiamini na
ninachokisema
ni kwamba, vyama vya siasa viruhusiwe kufanya shughuli
za
kisiasa kwani viko kihalali na ndizo shughuli zao. Ni
vigumu
kelewa hilo nalo katika yale niliyoandika ??? Nasema
tena:
si vyema kwa mamlaka yoyote ile kukataza shughuli za
vyama
za kisiasa zinazofanywa kistaarabu na zenye
kuzingatia
sheria nchi! Au basi vifutwe. Kwa sababu vyama vya
siasa
lazima vinadi sera zao, vitafute wafuasi na vikue.
Hili
ndilo ninaloamini na ninaloweza kulisimamia even at
the
gun point. Mengine ya Mbowe na watoto wake hayo ni
yako
siwezi kuzuia yakazunguka kichwani kwako. Die
Gedanken
sind frei!!!! punto e basta!!!!
Date: Thu, 28 Jul
2016 07:15:22 +0300
Subject: Re: [wanabidii]
01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na
CHADEMA
From: josephludovick@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Edgar
Ninao ushauri mmoja Tu kwako. Siku hiyo vaa joho,
tangulia
mbele ya hayo maandamano!. Pamoja nawe awe Mbowe na
watoto
wake ili kama kutakuwa na mauaji wewe na watoto wa
Mbowe
mfe! Labda mtapata fundisho. Hamkumbuki VIJANA
waliotolewa
kafara na CHADEMA Arusha? Hamkumbuki kafara za
morogoro?
Hamkumbuki? CHADEMA wakati ule walisitisha vurugu zao
kwamba
wameona maisha yanapotea! Leo kuna zuio rasmi tena la
Rais
wanatangaza maandamano. Maana yake sasa hawaoni shida
watu
wakifa?
Hata hivyo najua wametafuta kiki Tu!
Hakuna tena
watanzania mazoba ama nyumbu wa kuunga mkono majizi
na
wapiga dili! Mama Kiwasila husema walewale
On 27 Jul 2016 22:45,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Malika.
Kuna kazi kubwa ya kuielewa CHADEMA:
Natamani wanavyuo wanaosoma Political Science
wakafanya
study kuhusu myenendo ya vyama fulani na mfano
ukachukuliw
wa CHADEMA.
nataka kutoa Hypothesisi ya kufanyia kazi: mwelekeo
wa
chadema hutegemea na mfadhili anayetoa fedha:
Na mimi niliwahi kukiamini chama hicho kama chama cha
kutumiwa na watanzania kuiondoa CCM madarakani. Ni
kipindi
ilipoacha reli na kuanza kutembelea vichakani.
Nilifikiri ninaielewa vizuri CHADEMA wakati wa
mgogoro
wake na Zitto. Huenda nilikuwa mkosaji.
Nikaanza kuielewa ilipomtelekeza Dr. Slaa na
kumkaribisha
Lowasa. Alipoingia CHADEMA ikatelekeza na
serayake ya
kutetea wanyonge na kumkumbatia Lowasa na ikaendesha
kampeni
za uchaguzi bila sera au mwelekeo unaoeleweka.
Funga kazi ni ''buyanga buyanga''
inayoendelea sasa. Vitiko vya wabunge wake,mpaka
kupewa
adhabu kila leo. Kususia bunge bila sababu na mpango
wa
maana na kiujumla kujifanya chama cha wanaharakati ni
vigumu
kujua kama sasa CHADEMA haitekjelezi mkakati wa
''mfsdhili''anayelenga kuhqkikisha
tanzania
inavuruga amani yake.
Ukiwauliza wanachama wa CHADEMA kupambana na Polisi
mnatekeleza kipengele gani cha ilani yenu? Hawawezi
kuwa na
jibu. nani anakiburuza chama.
Ninafikiri kuwa kama kweli CHADEMA ina wanachama
wanaokipenda basi waanze kuandamana kumkataa Mbowe
maana
huenda analipwa kukihujumu na kulihujumu taifa, kwa
kujua au
bila kujua. Wakichelewea watakuja kugundua wakati
chama
kimekufa
--------------------------------------------
On Wed, 7/27/16, 'mpombe mtalika' via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la
kimkakati
la Mbowe na CHADEMA
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, July 27, 2016, 4:34 PM
Nilifikiri
nakutarajia kuwa kuwa Mbowe atatangaza kuwa
kuanzia
tarehe
01-09-2016 ni siku ya kwenda katika kila kona ya
majimbo
ya
Chadema yote
na kata na mitaa walizoshinda katika uchaguzi
mkuu
uliopita
kushiriki
na wananchi masuala ya maendeleo ikiwemo
kuendeleza na
kukusanya nguvu
ya pamoja katika kuboresha na kujenga
miundombinu mipya
ya
kuchochea
maendeleo.
Ikiwa ni pamoja kupiga vita umasikini kwa
kuhakikisha
wanafunzi wanapata
vyumba vya madarasa, vyoo safi, vifaa vya
mashuleni
ili
waweze kusoma
na kuelewa vizuri katika kuleta maendeleo na
demokrasia
zaidi ndani ya
chama ambayo bado ipo chini sana katika chadema
ili
kukifanya chama kije
kuwa na wanamainduzi na viongozi wazuri wa
baadaye.
Badala yake Mbowe anataka kuendelea kupambana na
polisi
na
serikali ya
Rais Magufuli jambo amabalo litakipotezea muda
mwingi
chadema na mwisho
wa siku hakuna jipya ndani ya chama na kubakia
kuitwa
chama
cha vurugu
na maandamano nyasiyo na tija kwa wananchi.
Mwisho niwahusie Mbowe na chadema, wanachotaka
kufanya
ni
kosa la pili
la kimkakati badala ya kosa la awali
walilolifanya la
kukimbia bungeni
amabalo halina tija kwa wananchi wala waoi
wenyewe.
Mbowe na chadema badala ya kuendelea kufanya
makosa ya
kimkakati zaidi
amabayo hayana tija kwa wananchi waliowachagua
na
badala
yake wanataka
kuendelea na maigizo wanayotarajia kuyafanya,
Chadema
haiwezi kufanikiwa
kwa kutunishiana misuri na jeshi la polisi
pamoja na
serikali,
watafanikiwa kwa kuleta mabadiliko katika
majimbo na
kata
wanazoziongoza
ili mradi tu kuonekanane tofauti ya kiuongozi
baina yaoi
na
ccm tu.
Katika hili wanalotarajia kutaka kufanya, hakika
sasa
pengo
la Dr. Slaa
limeanza kuonekana live ndani ya chadema na ni
bora
Lowassa
akatafuta
njia ya kutoka humo kwa kuwa hawezi kuizuia
chadema na
siasa
za
uhanaharakati na hilo litamletea heshima zaidi
kuliko
kubaki
ndani ya
chama ambacho hawataki kubadilika.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment