Ikitokea Magufuli akamaliza urais bila kuacha hizo institutins ambazo zitaudhibiti Ukikwete mwingine kutakuwa kushindwa kwake nami nitamuaga kwa kumwita msanii (ajiandae kuitwa hivyo kama hataacha katiba bora nyuma yake)
Nakumbuka kusoma article fulani kuhusu Putin. Aliamua kufanyua mabadiliko ya kunyoosha yaliyolemazwa na mtangulizi wake bila kumgusa. Kama Magufuli akifanya hivyo nitamlinganisha na Putin. Hata hivyo sidhani kama hajaguswa. Huenda hatujasikia jina tu likitajwa.
--------------------------------------------
On Fri, 7/29/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA: Kwerea kwerea wa kisiasa???
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, July 29, 2016, 4:04 AM
CCM bado
ni ile ile. Haijabadilika. Ni Magufuli tu ametafuta njia ya
kuwadanganya waliotaka mabadiliko kuwa atawaletea hayo
mabadiliko. Wakati huo huo akamtulizafisadi aliyekubuhu
na familia yake kwamba hawataguswa kwa hiyo watulie tu. You
can fool some of the people some of the time and some of you
have been fooled.Akiondoka Magufuli ataingia
Kikwete mwingine na itakuwa business as usual kwa ari mpya
na kasi mpya. As long as hatuna institutions za kuwadhibiti
viongozitutaendelea kutapeliwa na
maCCMem
2016-07-28 5:10 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ninajua
kuwa Tanzania ni nchi maskini. Kwa maneno ya kistaarabu ni
nchi inayoendelea. Ni lazima tushukuru msukumo uliojitokeza
myaka ya 1990 iliyoleta mageuzi ya vyama vingi. Kwa kusema
waziwazi kama sio CHADEMA na vyama vingine, CCM haikuwa na
mpango wa kubadilika. Ni CHADEMA iliyoitia adabu CCM mpaka
(CCM) ikauvunja mtandao ulioanza kutengeneza mkakati wa
uongozi kiasi cha kufikia watu kuamini kuwa 'baada ya
fulani mimi ndiye nafuata kwa urais'. Jeuri ya mtu kuaga
jimboni mwake kuwa ''Naacha ubunge nakwenda kuwa rais.
Wewe ndiwe utakuwa mbunge baada yangu na fulani nitakupa
cheo Fulani baada ya kuwa rais''. CCM ili kuepukaa
kuanguka ikalazimika kuuvunja mtandao. Ni CHADEMA
iliyoifanya CCM kuwarudia wanyonge. Ilishakuwa ya matajiri.
Ufisadi; rushwa; uholela kwa watendaji yalielekea kuwa mila
ya/utamaduni wa Tanzania. CHADEMA iliyashupalia mpaka sasa
tunaona neema. Hongera CHADEMA.
Sasa baada ya CCM kuwaaminisha watanzania kuwa inabadilika,
na kwa kweli ikaanza kuonyesha mabadiliko hayo, watanzania
wa ngeli zote tunahitaji kuungana na kujikomboa kutoka
umaskini. Tunaiona mikakati ya Serikali iliyopo madarakani.
Imeanza kuyaondoa magogo yaliyoziba barabara ya maendeleo;
yaani Rushwa, ufisadi nakadhalika. Tunahitaji kule mwishoni
tuishinikize serikali kutuongoza kutengeneza Katiba
inayotufaa kwa wakati huo angalau kwa myaka 30-50. Baada ya
hapo tutakuwa tumejijenga kiuchumi na kijamii kiasi cha
kutengeneza katiba nyingine kukabiliana na hali ya myaka
hiyo. Ndiyo. Demokrasia inakua kadri uchumi unavyokua.
Hatuwezi kutaka kuwa na demokrasia ilivyo katika nchi
zilizoendelea tukiwa bado hatujaendelea.
Kitu cha kushangaza ni mwenendo wa CHADEMA wa sasa. Mtu
unashindwa kuelewa. CHADEMA ya kabla ya 2015 May imekwenda
wapi? Kama serikali inashughulikia ufisadi na rushwa kiasi
hiki, CHADEMA inataka nini? Kama ilikuwa inatetea wanyonge,
sasa wanapoanza kuhudumiwa inapinga nini? Tunajua pamoja na
uchumi wetu mdogo bado tunaigarimia demokrasia. Jiji la Dar
Es Salaam liliwahi kuongozwa na tume badala ya baraza la
madiwani. Lilisonga mbele kiasi cha kufikiri kuwa mabaraza
yote ya madiwani yavunjwe. Lakini ili kuongeza
ushirikishwaji wananchi tunaendelea na mabaraza hayo.
Tunagarimia demokrasia kwa kulilisha bunge. Majuzi wabunge
wachache walifanya maamuzi muhimu wakati wenzao wamegoma.
Hiyo ni kipimo kuwa kumbe tunaweza kupunguza ukubwa wa
bunge.
CHADEMA inataka nini? Na uchumi wetu mdogo. Walitaka
tusimamishe mijadala ya bunge ili kushughulikia mambo
yanayoshughulikiwa na serikali. Kwa kupitia taratibu za
kawaida wakakataliwa. Wakasusia Bunge. Wamekaa nje ya bunge
huku wakilipwa posha na uchumi wetu wa kimaskini.
Wamevumiliwa. (Najua kuwa janga Fulani likitokea, ambalo
liko out of Control inaweza kusababusha kuahirishwa mijadala
bungeni ili kulijadili. Sio kila kitu). Wakakwama licha ya
kufanya vitimbwi mara wafunge midomo na bandage, mara wavae
mavazi meusi. Wakakwama. Mwaka 2008 walipogoma bungeni kwa
sababu zinazogusa maslahi ya wananchi walipotoka bungeni
walipokelewa kama mashujaa. Zamu hii wamerudi kama wachezaji
wa timu iliyofungwa. Wananchi wakawaangalia kama sanamu ya
'Bunena'.
Sasa ETI wanaanzisha operation UKUTA. Mtu mzima wa myaka na
sifa nyingine anasimama na kuwahimiza watu wa aina zote.
Wakulima, wafanyakazi, wanasiasa, waandishi wa habari,
wanasheria, wavivi, wote. Waache kufanya kazi ili kuingia
maandamano ya kuipinga serikali inayowaondolea vikwazo ili
wajiendeleze, kupinga serikali inayopiga vita rushwa na
ufisadi. Kupinga serikali inayopunguza matumizi ya kipuuzi.
Kupinga serikali iliyoamua kupunguza ukubwa wake na matumizi
ya anasa. Watu watoke kupinga serikali hiyo!?!
Astafurlahi!!! Sababu ya kupinga serikali hiyo: 'Inaziba
demokrasia'. Yaani waliotaka serikali isifuje mali. Sasa
imeamua kupunguza fujo. Eti sasa tuwaunge mkono kuilazimisha
serikali ifuje mali. Tunahitaji kutumia uchumi wetu kidogo
kujenga demokrasia au tunahitaji kutumia demokrasia kujenga
uchumi??
Kwa kweli CHADEMA imegeuka kuwa kwerea kwerea. Makundi ya
kwerea kwerea yakivamia mashamba hayaachi jani kwenye mti au
mmea. Na CHADEMA wanataka kusimamisha nchi isiendelee na
hawana sababu ya kitanzania. Kama makundi ya ndege wa kwerea
kwerea yanamiminiwa sumu iki kuokoa janga la njaa, ipo haja
ya makundi ya kwerea kwerea hawa kuwamiminia upupu. Na
katika hili ni kazi ndogo. Hakuna kushughulika na mayai.
Hayana hatia. Matetea tu ndiyo yashughulikiwe. Mbowe
amesimama na kuagiza wote niliowataja kuandamana. Inafaa
kumsaidia atangaze yeye kuwaomba wanaoandamana warudi
manyumbani. Inawezekana. Magari mapya ya
''zimamoto'' kuelekeza kwake na kumuwekea kipaza
saiti karibu. Atasema tu.
Elisa Muhingo
0767 187 507
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment