Thursday, 28 July 2016

Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

Mikutano ya kikatiba inaruhusiwa, mikutano ya wabunge majimboni mwao inaruhusiwa!
Enyi watu mnataka kafara za damu zetu za nini? Hamtosheki?

On 28 Jul 2016 16:52, "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com> wrote:
Isn't this wholesale/blanket labelling? Nani anayeona huu mkutano ni "maji taka" unazuia na ule "si wa maji taka" unaruhusiwa maana mikutano au shughuli hizi huwa zinazuiwa kabla ya kufanyika. Hebu twambie.

2016-07-28 16:41 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Sijawahi kusikia zuio lolote la shughuli za kisiasa. Nilichosikia ni siasa za maji taka ndizo zimezuiliwa ili kuwapa mtu kufanya siasa ya maana.
--------------------------------------------
On Thu, 7/28/16, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Thursday, July 28, 2016, 4:09 PM

 Kuwajibu
 Joseph na Mihingo ni kupoteza muda wako. Aidha wametumwa au
 wanatumika. Sielewi mantiki ya kuzuia shughuli za kisiasa
 mimi? Anayeunga mkopo hilo nadhani anatakiwa
 .......

 Sent from Samsung
 Mobile

 -------- Original message
 --------
 From: Telesphor Magobe
 <tmagobe@gmail.com>
 Date:
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa
 jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

 Kuna propaganda za ajabu sana humu! Siwezi kuamini
 kwamba kuzuia mikutano ya vyama vya siasa au kuzuia watu
 wasiseme kero zao hadharani ndiko kuleta maendeleo Tanzania.
 Ni dhana mbaya na hatari.

 2016-07-28 11:26 GMT+03:00
 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:

 You are attacking the wrong point
 Joseph! Come back to your senses! Walau katika uzi huu
 sijatamka neno maandamano! Ninachokiamini na ninachokisema
 ni kwamba, vyama vya siasa viruhusiwe kufanya shughuli za
 kisiasa kwani viko kihalali na ndizo shughuli zao. Ni vigumu
 kelewa hilo nalo katika yale niliyoandika ??? Nasema tena:
 si vyema kwa mamlaka yoyote ile kukataza shughuli za vyama
 za kisiasa zinazofanywa kistaarabu na  zenye kuzingatia
 sheria nchi! Au basi vifutwe. Kwa sababu vyama vya siasa
 lazima vinadi sera zao, vitafute wafuasi na vikue. Hili
 ndilo ninaloamini na ninaloweza kulisimamia even at the
 gun point. Mengine ya Mbowe na watoto wake hayo ni yako
 siwezi kuzuia yakazunguka kichwani kwako. Die Gedanken
 sind frei!!!! punto e basta!!!!

 Date: Thu, 28 Jul
 2016 07:15:22 +0300
 Subject: Re: [wanabidii]
 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
 From: josephludovick@gmail.com
 To: wanabidii@googlegroups.com

 Edgar

 Ninao ushauri mmoja Tu kwako. Siku hiyo vaa joho, tangulia
 mbele ya hayo maandamano!. Pamoja nawe awe Mbowe na watoto
 wake ili kama kutakuwa na mauaji wewe na watoto wa Mbowe
 mfe! Labda mtapata fundisho. Hamkumbuki VIJANA waliotolewa
 kafara na CHADEMA Arusha? Hamkumbuki kafara za morogoro?
 Hamkumbuki? CHADEMA wakati ule walisitisha vurugu zao kwamba
 wameona maisha yanapotea! Leo kuna zuio rasmi tena la Rais
 wanatangaza maandamano. Maana yake sasa hawaoni shida watu
 wakifa?

    Hata hivyo najua wametafuta kiki Tu! Hakuna tena
 watanzania mazoba ama nyumbu wa kuunga mkono majizi na
 wapiga dili! Mama Kiwasila husema walewale
 On 27 Jul 2016 22:45,
 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Malika.

 Kuna kazi kubwa ya kuielewa CHADEMA:

 Natamani wanavyuo wanaosoma Political Science wakafanya
 study kuhusu myenendo ya vyama fulani na mfano ukachukuliw
 wa CHADEMA.

 nataka kutoa Hypothesisi ya kufanyia kazi: mwelekeo wa
 chadema hutegemea na mfadhili anayetoa fedha:

 Na mimi niliwahi kukiamini chama hicho kama chama cha
 kutumiwa na watanzania kuiondoa CCM madarakani. Ni kipindi
 ilipoacha reli na kuanza kutembelea vichakani.

 Nilifikiri ninaielewa vizuri CHADEMA  wakati wa mgogoro
 wake na Zitto. Huenda nilikuwa mkosaji.

 Nikaanza kuielewa ilipomtelekeza Dr. Slaa na kumkaribisha
 Lowasa. Alipoingia  CHADEMA ikatelekeza na serayake ya
 kutetea wanyonge na kumkumbatia Lowasa na ikaendesha kampeni
 za uchaguzi bila sera au mwelekeo unaoeleweka.

 Funga kazi ni ''buyanga buyanga''
 inayoendelea sasa. Vitiko vya wabunge wake,mpaka kupewa
 adhabu kila leo. Kususia bunge bila sababu na mpango wa
 maana na kiujumla kujifanya chama cha wanaharakati ni vigumu
 kujua kama sasa CHADEMA haitekjelezi mkakati wa
 ''mfsdhili''anayelenga kuhqkikisha tanzania
 inavuruga amani yake.

 Ukiwauliza wanachama wa CHADEMA kupambana na Polisi
 mnatekeleza kipengele gani cha ilani yenu? Hawawezi kuwa na
 jibu. nani anakiburuza chama.

 Ninafikiri kuwa kama kweli CHADEMA ina wanachama
 wanaokipenda basi waanze kuandamana kumkataa Mbowe maana
 huenda analipwa kukihujumu na kulihujumu taifa, kwa kujua au
 bila kujua. Wakichelewea watakuja kugundua wakati chama
 kimekufa

 --------------------------------------------

 On Wed, 7/27/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

  Subject: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati
 la Mbowe na CHADEMA

  To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Wednesday, July 27, 2016, 4:34 PM

  Nilifikiri

  nakutarajia kuwa kuwa Mbowe atatangaza kuwa kuanzia
 tarehe

  01-09-2016 ni siku ya kwenda katika kila kona ya majimbo
 ya

  Chadema yote

   na kata na mitaa walizoshinda katika uchaguzi mkuu
 uliopita

  kushiriki

  na wananchi masuala ya maendeleo ikiwemo kuendeleza na

  kukusanya nguvu

  ya pamoja katika kuboresha na kujenga miundombinu mipya
 ya

  kuchochea

  maendeleo.

  Ikiwa ni pamoja kupiga vita umasikini kwa kuhakikisha

  wanafunzi wanapata

   vyumba vya madarasa, vyoo safi, vifaa vya mashuleni
 ili

  waweze kusoma

  na kuelewa vizuri katika kuleta maendeleo na demokrasia

  zaidi ndani ya

  chama ambayo bado ipo chini sana katika chadema ili

  kukifanya chama kije

   kuwa na wanamainduzi na viongozi wazuri wa baadaye.

  Badala yake Mbowe anataka kuendelea kupambana na polisi
 na

  serikali ya

  Rais Magufuli jambo amabalo litakipotezea muda mwingi

  chadema na mwisho

  wa siku hakuna jipya ndani ya chama na kubakia kuitwa
 chama

  cha vurugu

  na maandamano nyasiyo na tija kwa wananchi.

  Mwisho niwahusie Mbowe na chadema, wanachotaka kufanya
 ni

  kosa la pili

  la kimkakati badala ya kosa la awali walilolifanya la

  kukimbia bungeni

  amabalo halina tija kwa wananchi wala waoi wenyewe.

  Mbowe na chadema badala ya kuendelea kufanya makosa ya

  kimkakati zaidi

  amabayo hayana tija kwa wananchi waliowachagua na
 badala

  yake wanataka

  kuendelea na maigizo wanayotarajia kuyafanya, Chadema

  haiwezi kufanikiwa

   kwa kutunishiana misuri na jeshi la polisi pamoja na

  serikali,

  watafanikiwa kwa kuleta mabadiliko katika majimbo na
 kata

  wanazoziongoza

   ili mradi tu kuonekanane tofauti ya kiuongozi baina yaoi
 na

  ccm tu.

  Katika hili wanalotarajia kutaka kufanya, hakika sasa
 pengo

  la Dr. Slaa

  limeanza kuonekana live ndani ya chadema na ni bora
 Lowassa

  akatafuta

  njia ya kutoka humo kwa kuwa hawezi kuizuia chadema na
 siasa

  za

  uhanaharakati na hilo litamletea heshima zaidi kuliko
 kubaki

  ndani ya

  chama ambacho hawataki kubadilika.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment