Friday, 29 July 2016

Re: [wanabidii] VODACOM NI MAJIZI WA KUTUPWA!

Ni jambo la kusikitisha sana kwamba ktk hili mlaji hana mtetezi. Binafsi nimepata hasara siyo chini ya mara nne:
Nimelipa luku na sikupata majibu, transaction haikukamilika, hela haikurudishwa na vodacom, na ukipiga customer care unakutana na usumbufu wa ajabu!!!

Nimehamisha hela kutoka mtandao mwingine, kwa usahihi kabisa, mtandao unaonyesha hela imeenda, ktk voda haikufika!!!!

Kwa hili nawapa big up Airtel; mara moja kama transaction haikukamilika hela yako inarudi, almost instantenously. Ikishindikana ukienda customer care, ndani ya saa 24 hela yako inarudi, siyo siku 7 za kazi kama ilivyo vodacom.

Inakera sana unapoona unaibiwa waziwazi na huna ulinzi wowote! Badala ya kutumia hela nyingi ktk matangazo wangeboresha mifumo ya huduma, ili kuhakikisha dhulma za aina hii zinawaondokea wateja.

Sent from my Samsung mobile

From: emalosha84 via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: 'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] VODACOM NI MAJIZI WA KUTUPWA!
Sent: Thu, Jul 28, 2016 3:20:37 AM

Hilo  tatizo  lipo Sana.  Kwakuwa  makampuni  mengi  yanafanya  hivyo  na hatuna  mbadala  tunalazimika  kuibiwa.  Hii sio Mr Peke  yake hata  muda  wa maongezi.  Nadhani FCC(time ya ushindani)  na tcra  wanapashwa  kutussidia  Sana kwa hilo.  Tujipe  pole waTz

On Jul 27, 2016 10:38 PM, 'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hizi kampuni za simu baada ya kubanwa na Dr Makufuri walipe kodi, hasira zao wamezihamishia kwa wateja wasiokuwa na hatia. Tazama jinsi hizi kampuni zinavyowaibia wateja waziwazi:

Nimetumiwa meseji hii kutoka Vodacom nikiwa online lakini nikiwa si-upload chochote kile kwenye laptop yangu:

*******************
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 37.3. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:54:57 PM
*******************************************************************************
Nikiwa bado naendelea kusoma meseji hiyo na nikiwa sija-upload kitu chochote, nikatumiwa meseji nyingine hii:

*******************
Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 18.2. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:56:33 PM
*****************************************************************************
Mwisho nimetumiwa hii hapa ndani ya muda huo mfupi:
*************************
Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
Umefika mwisho wa matumizi. Endelea kutumia intaneti kwa Tsh.0.2 kwa KB. Kununua tena, bonyeza http://vda.cm/JazaIntaneti
Time: 7/27/2016 9:59:03 PM
************************
Hii mana yake ni nini? Ina maana ndani ya dakika 4 (9:54:57 PM hadi 9:59:03 PM) nimetumia MB 37.3. Hii inawezekanaje? Hakuna uwezekano kama huo zaidi ya wizi wa mchana kweupe. Hata kama nilikuwa naplay youtube isingewezekana kumaliza 37.3 MB ndani ya dakika 5! Moja kwa moja huu ni wizi wa KIJINGA. Inawezekana hizi meseji zimetegwa tu kwenye system kwamba baada ya muda fulani wa matumizi ya internet zirushwe kwa mteja hata kama bundle yake haijaisha inafyekwa juu kwa juu. Hii ni biashara KICHAA, na hakuna mteja yeyote anayeweza kuvumilia WIZI huu wa KIBWEGE! Sikutegemea UJINGA huu kutoka kwenye kampuni kubwa kama Vodacom. When you grow horns, you also need to grow up! I didn't expect such a foolish theft from Vodacom.

N.B
Huu WIZI unanitokea mara kwa mara ila leo uvumilivu  umefika tamati. Nina hakika wateja wengine wa Vodacom mliomo humu mmeishashuhudia huu wizi UCHWARA. Siwezi kuwa adui kwa usema ukweli.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment