Siku moja nikiwa Kariakoo nilimuona mwendesha gari akikwepa nyanya, maparachichi na matunda mengine ya maskini (machinga) fulani waliokuwa wamepanga pembezoni mwa barabara biashara zao. Mwendesha gari huyo alijitahidi kuwakwepa ndugu zetu hao baadaye akaishiwa na subira. Akaendesha gari kwa mwendo zaidi na akaishia kukanyaga bidhaa za watu. Machinga hao walilalamika kwa uchungu. Pembeni nikaona hakuna wa kulaumu. Ukimsikiliza machinga huyo maskini, utaona mwendesha gari ana makosa. Ukimsikiliza mwenye gari, utaona maskini hao wana makosa.
Nalinganisha hali hiyo na ile inayoweza kujitokeza wakati wa maandamano yanayoandaliwa na CHADEMA n hi nzima.
Nimefikiria sana baada ya kusikia CHADEMA wanadhamiria kuendesha maandamano licha ya serikali kutoridhia. Nikawaza ni nini kinaweza kutokea upande wa CHADEMA ukishinda kwa hiyo maandamano yakafanyika.
Uzoefu unaonyesha kuna wakati mikoa huhitaji polisi kutoka mkoa jirani kudhibiti hali katika kulinda usalama wa raia. Kuna mambo ya kuzingatia katika maandamano yanayopangwa:
1) Maandamano hayo yatakuwa nchi nzima. Kwa hiyo hakuna cha Kagera kuazima Polisi wa Geita au Arusha kuazima wa Tanga.
2) Haiepukiki kuwa maandamano hayo yatashirikisha wote walioalikwa na mwenyekiti wa CHADEMA na wengine ambao hawakukusudiwa (au walikusudiwa, hatujiu) hao ni wavuta bangi; wabugia unga; vibaka na watumia viroba nakadhalika.
3) Kuna watu wamegundua kuwa serikali hii imeanza kushughulikia kero zao. Rushwa imepungua; kodi na tozo za kuudhi zinashughulikiwa; mikopo nafuu inaanza kupatikana kirahisi na masharti yamepungua. Walioona hayo wako bize kupitapita huku na huku kujiletea maendeleo kwa kuanzisha na kuendeleza miradi ya kiuchumi.
Siku ya maandamano makundi haya yatakuwa yanatumia barabara zilezile. Masoko yaleyale. Viwanja vilevile. Kama waandamanaji wakitanda toka Kyerwa mpaka Kayanga (Mkoani Kagera), na magari yakawa yanakimbiza ndizi kupeleka Kahama na Shinyanga; nani atapisha mwingine?
Kama magari na waandamanaji wakikutana barabara ya Makete Makambako. Hawa wanakimbiza mbao na viazi sokoni na wengine wanatii amri ya chama chao; nani atapisha mwenzake?
HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAWEZA KUPANGA MAANDAMANO BILA KUJADILI HAYO.
Ninachofahamu ni kuwa Taifa halina Polisi wa kutosha kusimamia maandamano hayo na shughuli za kawaida zinazofanywa na polisia ambao nilisikia majuzi Bungeni kuwa hawatoshi. Kinachoweza kutokea ni Taifa kuazima Polisi kutoka Rwanda, Uganda, Burundi na Sudani ya Kusini kuja kusaidia shughuli hii muhimu.
Natamani kupata management document ya maandamano hayo. Nikiipata nitakimbilia kusoma ukurasa wenye: Expected Output na Expected Outcome (matokeo tarajiwa).
Nitapenda kujua indicators of success (viashiria vya mafanikio) na means of verifications (namna ya kuhakiki mafanikio.
Kama Expected Output ni: Idadi ya watu walioumia na kufa barabarani.
Nikikuta jedwali linaonyesha matokeo tarajiwa ni Vifo vya watu barabarani; majeruhi wa kutosha; kujaza wahalifu vituo vya polisi na magereza na mwisho kutoweka kwa amani au taifa kutotawaliwa.
Nikikuta viashiria ni idadi ya majeruhi; Idadi ya vifo na idadi ya maduka yaliyovunjwa, na ongezeko la mahabusu, nitajua kuwa mpango huu umepangwa na watu makini. Nisipokuta kipengele hiki ndani ya andiko la mradi huu wa CHAMA KIKUU CHA UPINZANI nitaacha kuwakemea wanaowaita manyumbu.
Nisichotaka kusikia ni hiki: kuwa makala hii imesababisha kuahirishwa au kufutwa kwa maandamano hayo. Sitoi ushauri wa bure mimi. Itabidi walipie.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer
and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send
an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment