Wednesday, 27 July 2016

Re: [wanabidii] SERIKALI YAILIPA BHARTI AITEL BILIONI 14.9, TTCL SASA KAZI TU

 Mac.
Salaam. Nashukuru kwa jitihada unazofanya kuniwezesha nikamilishe hili jambo. Mwenyezi Mungu akubariki wewe pamoja na familia yako.

Baba Doreen
 
Donald J. Kamori Cel: +255 (744) 378 361


On Wednesday, July 27, 2016 7:12 PM, Joachim Mushi <mushijoa@gmail.com> wrote:


SERIKALI YAILIPA BHARTI AITEL BILIONI 14.9, TTCL SASA KAZI TU


[caption id="attachment_73745" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_1211.jpg" alt="Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (kulia) akizungumza kwenye mkutano wake na Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam." width="800" height="477" class="size-full wp-image-73745" /> Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (kulia) akizungumza kwenye mkutano wake na Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam.[/caption]


[caption id="attachment_73742" align="alignnone" width="600"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_1175.jpg" alt="Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akizungumza kwenye mkutano wake na Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam." width="600" height="633" class="size-full wp-image-73742" /> Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akizungumza kwenye mkutano wake na Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam.[/caption]


[caption id="attachment_73741" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_1147.jpg" alt="Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Profesa Tolly Mbwete (kulia) akizungumza kwenye mkutano wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa pamoja na Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam." width="800" height="503" class="size-full wp-image-73741" /> Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Profesa Tolly Mbwete (kulia) akizungumza kwenye mkutano wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa pamoja na Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam.[/caption]


[caption id="attachment_73737" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_1125.jpg" alt="Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia aliyesimama) akizungumza kwenye mkutano wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa pamoja na Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam." width="800" height="417" class="size-full wp-image-73737" /> Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia aliyesimama) akizungumza kwenye mkutano wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa pamoja na Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam.[/caption]


[caption id="attachment_73738" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_1128.jpg" alt="Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam wakiwa katika mkutano wao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam." width="800" height="547" class="size-full wp-image-73738" /> Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam wakiwa katika mkutano wao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam.[/caption]



[caption id="attachment_73739" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_1140.jpg" alt="Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam wakiwa katika mkutano wao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam." width="800" height="475" class="size-full wp-image-73739" /> Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam wakiwa katika mkutano wao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam.[/caption]



[caption id="attachment_73740" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_1142.jpg" alt="Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam wakiwa katika mkutano wao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam." width="800" height="469" class="size-full wp-image-73740" /> Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam wakiwa katika mkutano wao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam.[/caption]



[caption id="attachment_73743" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_1185.jpg" alt="Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam wakiwa katika mkutano wao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam." width="800" height="391" class="size-full wp-image-73743" /> Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam wakiwa katika mkutano wao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam.[/caption]



[caption id="attachment_73744" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_1188.jpg" alt="Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam wakiwa katika mkutano wao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam." width="800" height="491" class="size-full wp-image-73744" /> Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam wakiwa katika mkutano wao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam.[/caption]



[caption id="attachment_73746" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_1223.jpg" alt="Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (kulia) akizungumza kwenye mkutano wake na Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam." width="800" height="490" class="size-full wp-image-73746" /> Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (kulia) akizungumza kwenye mkutano wake na Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam.[/caption]



[caption id="attachment_73747" align="alignnone" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/IMG_1224.jpg" alt="Baadhi ya maofisa wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam pamoja na maofisa kutoka wizara ya Ujezi, Uchukuzi na Mawasiliano wakiwa katika mkutano wao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam." width="800" height="495" class="size-full wp-image-73747" /> Baadhi ya maofisa wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam pamoja na maofisa kutoka wizara ya Ujezi, Uchukuzi na Mawasiliano wakiwa katika mkutano wao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ulofanyika leo katika Ukumbi wa Azania Front jijini Dar es Salaam.[/caption]



[caption id="attachment_73748" align="alignnone" width="1000"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/300dcd8a-751c-45c9-bcb8-946cd339d932-1024x683.jpg" alt="Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (kulia) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za Kampuni ya TTCL Makao makuu kabla ya kuzungumza na wafanyakazi." width="1000" height="667" class="size-large wp-image-73748" /> Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (kulia) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za Kampuni ya TTCL Makao makuu kabla ya kuzungumza na wafanyakazi.[/caption]



[caption id="attachment_73749" align="alignnone" width="1000"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/07/695732b4-4645-413b-9f8a-0d2a8f9b1b3a-1024x683.jpg" alt="Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (kushoto) akishirikishwa jambo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) katika ofisi za Kampuni ya TTCL Makao makuu kabla ya kuzungumza na wafanyakazi." width="1000" height="667" class="size-large wp-image-73749" /> Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (kushoto) akishirikishwa jambo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) katika ofisi za Kampuni ya TTCL Makao makuu kabla ya kuzungumza na wafanyakazi.[/caption]


<strong>WAZIRI</strong> wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Profesa Makame Mnyaa Mbarawa amesema, Serikali imemalizana kimalipo na kampuni mbia wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) hivyo anataka kuiona TTCL ikizaliwa upya na kutoa ushindani wa hali ya juu katika soko la Mawasiliano nchini.
 

Waziri Mbarawa ameyasema hayo Jijini Dar Es Salaam leo alipokuwa akizungumza na Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wa Makao Makuu na Ofisi za Mkoa wa Dar Es Salaam. Akizungumza katika mkutano huo alisema serikali imefanya mengi katika kuiwezesha TTCL kuwepo na kuendelea kuhudumia Watanzania. "...Siku chache zilizopita, tumeilipa Bharti Airtel shilingi bilioni 14.9 na kuachana rasmi na kampuni hiyo," alisema Waziri Prof. Mbarawa.

"Ndugu Wafanyakazi, sasa ni wakati wa kufanya kazi. Hatuna tena muda wa kupoteza, muda tulionao ni wa kuwajibika, kuwatumikia Wananchi. Serikali inafanya kila jitihada kuwawezesha. Tunachotaka kwenu ni uadilifu, hatuna nafasi kwa wabadhirifu, wavivu na wanaovujisha siri za kampuni kwa washindani. Ni lazima mbadilike na mfanye kazi kwa juhudi kubwa sana, Wananchi waridhike," alisisitiza Prof. Mbarawa.


Awali akitoa taarifa fupi kwa Waziri, Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura alisema, kampuni hiyo inashukuru mchango mkubwa wa Serikali katika kuiwezesha ili kuendelea kutimiza vyema wajibu wake. "...Mhe Waziri, tunaishukuru sana Serikali na wewe binafsi kwa jitihada kubwa ambazo zimetufikisha hapa tulipo," alisema Dk. Kazaura katika taarifa yake. 

Akitaja baadhi ya jitihada za Serikali, alisema imefanikisha kuiondosha Kampuni ya Bharti Airtel ndani ya TTCL, kuisamehe TTCL madeni ya takribani shilingi bilioni 100,  Serikali kuipatia TTCL masafa ya Mawasiliano na kibali cha kutumia rasilimali zake kama dhamana ili kupata fedha za kufanikisha mipango na mikakati yake ya kibiashara.


Aidha Dk. Kazaura alisema, kutokana na mchango huu mkubwa wa Serikali, Kampuni hiyo imeongeza kwa kiasi kikubwa ufanisi wake ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa huduma za 4G LTE ambazo hadi sasa zimesambaa katika maeneo 33 Jijini Dar Es Salaam huku mpango ukiwa ni kufikisha huduma hizo Jiji zima la Dar es salaam na mikoa mingine mitatu ifikapo mapema mwakani.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Profesa Tolly Mbwete akizungumza katika mkutano huo alisema kampuni hiyo imejipanga kikamilifu katika kutoa huduma bora na za kiwango cha juu kabisa katika huduma za Mawasiliano nchini ikiwa ni pamoja na kukabiliana na changamoto zilizopo katika sekta hiyo kwa weledi na ububifu wa hali ya juu.

--
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment