Sunday, 1 November 2015

Re: [wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI WA KUKABIDHI CHETI CHA/KWA RAIS MTEULE

Angalau kwa andishi hili la kicheere..chadema wameshakubali kushindwa.

On 1 Nov 2015 11:32, "'nyaronyo kicheere' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
mfungwa nimagufuli atakayekuwa kifungoni kwa miaka mitano bila uhuru wa kwenda anakotaka na kufanya anachotaka isipokuwa kwa itifaki tu. na anaweza kuongezewa kifungo kama ccm wataiba tena kura 2020 na kumtangaza kuwa rais kwa kipindi kingine cha miaka mitano tena baada ya kukamata komputa zingine za lhrc na chadema ili kuficha ukweli (ushahidi).
kicheere, tungi, kigamboni, tanganyika territory

On Friday, October 30, 2015 11:44 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Naomba uipende na ile ya kwanza. Ukweli kama tunafuatilia uchaguzi katika nchi jirani zetu ukalinganisha jinsi wagombea wa urais walivyokuwa wanainteract. Jinsi rais wetu alivyokuwa amekaa karibu sana na raia wa kawaida jambo hilo katika mataifa yanayotuzunguka ni hadithi. Hatuna budi kujivunia hilo. Unasemaje?
--------------------------------------------
On Fri, 10/30/15, 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI WA KUKABIDHI CHETI CHA/KWA RAIS MTEULE
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, October 30, 2015, 3:29 PM

Nimependa hoja ya pili. CCM
wajifunze ni wakati gani wa kuwa kijani na wakati gani wa
kuwa Watanzania.

    On Friday, October
30, 2015 2:53 PM, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:
   
  Du! mbona itakuwa
kazi kumfahamu?

2015-10-30 13:19 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mabadiliko bin bandia anaweza
kufungwa lakini mabadiliko bin Halisi hapana. lakini mfungwa
niliyemuona ukumbi wa Diamond siye huyo

--------------------------------------------

On Fri, 10/30/15, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI
WA KUKABIDHI CHETI CHA/KWA RAIS MTEULE

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Friday, October 30, 2015, 12:30 PM

 Mfungwa

 ninayemfahamu ni Mabadiliko au kuna mwingine?

 2015-10-30 12:24 GMT+03:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

  Naandika haya ukiwa ni mda mfupi baada ya sherehe ndogo
ya

 kumkabidhi Ndugu Magufuli cheti cha kumtambulisha kuwa
ndiye

 aliyeteuliwa na watanzania kuwa Rais wa Tanzania.

 Nimeona mambo matatu ambayo kama sikukosea
yanaitambulisha

 tanzania na demkrasia yetu na changomoto tulizo nazo.

 1) UPEO WA DEMOKRASIA TULIYO NAYO: Nimeona viongozi wa

 upinzani wakijumuika pamoja. Nimeona mgombea
akikabidhiwa

 cheti mbele ya hadhara na viongozi wa vyama mbalimbali

 wakishangilia na kusemezana. ni kama nimeona pia watu

 wengine wakishangaa. Nilioona wakishangaa ni marais
wastaafu

 wa Naigeria na Msumbiji. Nimeona na mabalozi
wakishangaa.

 Hili si jambo dogo. Dr. Magufuli kama hakuliona
akilissoma

 humu alikumbuke. Shughuli zinazoweza kuwakusanya
viongozi

 wetu wa vyama mbalimbali zikionekana watanzania
tutaujali

 ummoja. namuamini kwa ishara moja. Alipoambiwa aondoke

 ukumbini alichelewa kama dakika chache akiongea na
waliokuwa

 wagombea wenzake. Hii iendelee.

 2) Nimeona watu waliokuwa wamevalia sare za chama cha

 mapinduzi. Mimi ni mwanachama wa CCM nisiyependa kuvaa
sare

 hizi. Sare hizi ninafikiri ndani ya fikra zao huenda ni

 njema kwa sababu wagombea walioshinda ni wa CCM. Sijui
kama

 wanajua kuwa waliomchagua walio wengi si wana CCM. kwa
hiyo

 wangeujali utanzania na kuziacha sare hizo nyumbani
mpaka

 siku ya chama.

 3)Nimeona mfungwa. Mfungwa huyo alianza kutumikia
kifungo

 toka jana nadhani. Aliposimama kuwasalimia watanzania

 wenzake askari wasio na sare wakamzunguka. Nikaon asivyo
na

 uhuru kwenda anakotaka. Atabaki kifungoni kwa myakla
mitano

 na asipoangalia anaweza kuongezewa adhabu. Kifungo
chake

 hakina punguzo kama vilivyo vya wafungwa wengine. Wao
li;a

 siku hupunguziwa masaa kadhaa. nakumbuka mfungwa wa
kwanza

 hapa Tanzania alipoachiwa alisema amekuwa huru.

 Kitendawili: tega: Mfungwa huyo ni nani?

 Muhingo

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence

  statements and facts must be presented responsibly.

 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed
to

 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment