Friday 27 November 2015

Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

Elisa, nilisikia wiki hii kuwa kuna mkuu mmoja wa wilaya amezuia pombe kunywewa wakati wa kazi na kabla ya saa 10 jioni na zaidi ya saa mbili usiku (kama sikusikia vizuri ndivyo nilivyosikia kwenye taarifa moja ya habari). Nadhani ameona watu kuacha hadi saa 5 usiku kama ilivyo utaratibu wa sehemu zote Tz kwake ni kutofanya kazi. Watakuwepo wengi tu wataenda mbali zaidi na kuanza kulalamikiwa.

2015-11-27 9:58 GMT+03:00 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kumbuka rais Magufuli, alisema mwenyewe kuwa kuna kiporo cha katiba.
Tumwache asonge mbele lakini tukimkumbusha kila mara hiki kiporo tukikamilishe wote taifa zima. Taifa zima bila vinyongo ,ghadhabu, chuki nk.
Domin

On Thursday, November 26, 2015 10:01 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Muganda ilipotea kwa sababu ya kuwa na viongozi waliopotosha dira na bila kuweka dira nyingine. Si kuwa tulikaa kimya. Tumeandika tumesema na kadhalika. Umesoma humu kuwa Magufuli anatekeleza ilani ya ACT Wazalendo, CHADEMA etc. Kwa hiyo ni kutokana na kusema huko haya yanaanza kutokea. Tuendelee kusmema mpaka tupate katiba ambayo sasa haitategemea rais bali katiba
--------------------------------------------
On Thu, 11/26/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, November 26, 2015, 8:20 PM

Suali ninalojiuliza, hiyo heshima ya Tanzania
inarudi kutoka wapi? And why and how did we get ourselves in
this mess ya heshima kupotea?And why were we so quiet
about it all this time?em
2015-11-26 7:51 GMT-05:00
Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
Ni sawa kabisa Elisa, lakini hatutakiwi kuwa nyuma
ya watendaji wa serikali wanao 'over do it' ili
waonekane wanatekeleza kauli mbiu ya "hapa kazi
tu" maana kwa kufanya hivyo watawaumiza wananchi, ambao
mara nyingi hawana mtetezi.

2015-11-26 15:23 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Tunahitaji kuwa nyuma ya
magufuli katika haya anayoyafanya na kuwa tayari ukabiliana
naye pale tutakapoona haendi tunakotaka. wapi Kuweka mifumo
ambayo hata akija mwingine hataifumua. Mfano katiba. lazima
tanzania iwe na katiba nzuri. isiyomruhusu mathalan rais
kuwa na kijiji cha mawaziri. Isiyomruhusu rais kuchagua mtu
yeyote kuwa Mkuu wa EWilaya au Mkoa ili mradi amemfurahisha
mama Ngina au kacheza ngoma rais akaburudika.

Katika hilo hatuhitaji kukubali kila kitu. hapo tutajua kuwa
aje yeyote atalipeleka taifa linakostahili.

--------------------------------------------

On Thu, 11/26/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA
TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Thursday, November 26, 2015, 3:04 PM

 Elisa kweli kabisa

 ndio maana wengi wetu tumeipa kura ccm uchaguzi huu
baada

 kuona jembe limepata nafasi na tulikuwa tunampinga
lowassa

 kwa kujua kuwa ni mpigaji.

 On Nov 26, 2015 3:01 PM,

 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 Magobe.

 ko sahihi kabisa. Nadhani kazi imenza. haijamalizika.
na

 kichwa kinasema 'Kwa mwendo huu -----------.

 Tunatarajia mifumo ifumuliwe. Ona sasa Aliyezuia
kuchapisha

 kadi za Xmas si Rais. Ni katibu mkuu Kiongozi. Huo ni
mwendo

 mzuri. Tunatarajia mambo mengine yawe kwenye katiba.

 Inakuja. tukingali na safari tunahitaji kutiana moyo.

 --------------------------------------------

 On Thu, 11/26/15, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>

 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA

 TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

  To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Thursday, November 26, 2015, 2:41 PM

  1. Heshima ya Tanzania itarudi endapo

  kinachofanyika ndicho kitakachokuwa kinafundishwa

 shuleni

  ili watoto wakue wakijua kuwajibika.

  2. Heshima ya Tanzania itarudi endapo

  sehemu zote za kazi (sekta rasmi na zisizo rasmi)

  zitawezeshwa kuwa na work ethic inayoeleweka na

 kufuatwa.

  3. Vinginevyo, itabaki kuwa 'one man

  show' na the rest watafanya tu kwa vile
wanatakiwa

  kufanya, lakini haitakuwa sehemu ya utamaduni wao.

  2015-11-26 14:33 GMT+03:00

  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

  Toka Rais

  magufuli aingie madarakani amefanya mambo ambayo kama

  kawaida wabezaji hawakosi. Wanasema na wakati wa JK

 ilikuwa

  hivyo. Huenda wanadanganya au wamesahau. anayebisha

 atoe

  mfano tulinganishe. Heri angemtaja Mkapa alijaribu
japo

 si

  kama Magufuli.

  Tumechoka kusaidiwa jamani na pedngine misaada

  inatudhalilisha. Kuna misaada mingine iliyokataliwa
na

 nchi

  jirani sisi tunasema leta tu.

  Utasikia hata tangazo dogo la tahadhali linamalizia
kwa

 :

  Imetolewa kwa msaada wa watu wa Marekani.

  Nyerere aliwahi kusema 'Mtu kama anafikiri nje
kuna

  mjomba wetu amlete. akinionyesha nitachekatu'.
Sasa

  Tanzania yenye utajili wa ajabu namna hii lakini

 inaishia

  kuomba. Tanzania ina matumizi ya ajabu lakini huku

 inaomba

  misaada tu. hapana. hapana. hapana jamani. Tumefikia

 mahala

  tunaaibisha.

  Sasa Ona: Kuvunja sherehe moja muhimbili hakuna
mgonjwa

  analala chini.

  Hela alizookoa Magufuli zikipelekwa kumaliza tatizo
la

  madawati huenda tutaanza kutafuta madawati hayo baada

 ya

  miaka mitano. Inasaidia nini watu kufanya makongamano

 ambayo

  baadi wataondoka na ukimwi na makongamano hayo

  yanashughulikia kuzuia ukimwi. Kuuzuia si elimu kwa
umma

 tu.

  lazima aje waziri kusherehesha?

  Ni kweli tarehe 9 December ni siku ya uhuru wa

 tanganyika.

  Watanganyika wako huru kama bado wana njaa? Kama ni

 mazoezi

  ya kijeshi yanaendelea tu. Kama ni wananchi kuona
ulinzi

 wa

  nchi yao ipo siku.

  Hiki ni kipindi cha dharura. Kimedumu muda mrefu.

 Tulikuwa

  tutaona fedha zinatumika ovyo. hatukuwa na mtu wa

 kuliona

  hilo. Sasa tumempata.

  Tunataka siku rais wa Tanzania akienda nje watu

 wakusanyike

  kumuona. Sio wanaulizana nani huyo Rais wa tanzania

 Ahaaa.

  halafu waendelee kana kwamba ni mtu mdogo anapita.
Baba

 wa

  Taifa alifanya ziara za kiserikali mara mbili
marekani

  katika myaka yake yote. Moja wakati wa Rais Kenedy na

  nyingine wakati wa Rais Jimy Cater. basi. nani

 hakumbuki

  jinsi watu walivyokusanyika toka majimbo yote kuja

 kumuona

  mtu huyu waliyemsikia siku nyingi?

  lakini kiongozi anakwenda mahala inafika mahala

 unaambiwa

  'subiri nakuja?'

  Twaweza kujitegemea katika mambo mengi. Tukliomba

 msaada

  watajisikia fahari kutusaidia.

   --

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya

   kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

   Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility

   for any legal consequences of his or her postings,

 and

  hence

   statements and facts must be presented responsibly.

  Your

   continued membership signifies that you agree to
this

   disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

   ---

   You received this message because you are
subscribed

 to

  the

   Google Groups "Wanabidii" group.

   To unsubscribe from this group and stop receiving

  emails

   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

   For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence

  statements and facts must be presented responsibly.

 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed

 for any legal consequences of his or her postings, and

 You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment