Friday 27 November 2015

Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

Na hapa bado Railway.. si unajua ile hadithi ya vichwa feki mabehewa feki engine feki zimepigwa rangi lakini mkwanja modern uliolipia...sasa huku nako si kuna watendaji? Huwezi kuja relini bila kuanzia bandarini... Ziko skendo za UDA sijui hata wao wamejipangaje..hii nchi watu wamechangamka siku nyingi sana.. hapo bandarini tenda hizo namna zinavyotoka ni Mungu tu ajuaye hadi kwenye taasisi nuingi nyeti.. huu ufagio  bado sana kuna pahala pengi haujagusa.. Kwenyewe Tanesco pako salama???

Omukunirwa Ireneus 


 

2015-11-28 4:31 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Haikuwahi kusahaulika hiyo toka aliposema hivyo siku anarudisha form ya uteuzi ndani ya chama. matokeo yanaonekana hatusemi zaidi.
--------------------------------------------
On Fri, 11/27/15, 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Friday, November 27, 2015, 7:49 PM

 Msisahau
 kumuombea mnapopata nafasi au tenga muda kidogo kila siku
 kumuombea.DR




    On Thursday, November
 26, 2015 2:34 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


  Toka
 Rais magufuli aingie madarakani amefanya mambo ambayo kama
 kawaida wabezaji hawakosi. Wanasema na wakati wa JK ilikuwa
 hivyo. Huenda wanadanganya au wamesahau. anayebisha atoe
 mfano tulinganishe. Heri angemtaja Mkapa alijaribu japo si
 kama Magufuli.

 Tumechoka
 kusaidiwa jamani na pedngine misaada inatudhalilisha. Kuna
 misaada mingine iliyokataliwa na nchi jirani sisi tunasema
 leta tu.
 Utasikia hata tangazo dogo la
 tahadhali linamalizia kwa : Imetolewa kwa msaada wa watu wa
 Marekani.
 Nyerere aliwahi kusema 'Mtu
 kama anafikiri nje kuna mjomba wetu amlete. akinionyesha
 nitachekatu'. Sasa Tanzania yenye utajili wa ajabu namna
 hii lakini inaishia kuomba. Tanzania ina matumizi ya ajabu
 lakini huku inaomba misaada tu. hapana. hapana. hapana
 jamani. Tumefikia mahala tunaaibisha.
 Sasa
 Ona: Kuvunja sherehe moja muhimbili hakuna mgonjwa analala
 chini.
 Hela alizookoa Magufuli zikipelekwa
 kumaliza tatizo la madawati huenda tutaanza kutafuta
 madawati hayo baada ya miaka mitano. Inasaidia nini watu
 kufanya makongamano ambayo baadi wataondoka na ukimwi na
 makongamano hayo yanashughulikia kuzuia ukimwi. Kuuzuia si
 elimu kwa umma tu. lazima aje waziri kusherehesha?
 Ni kweli tarehe 9 December ni siku ya uhuru wa
 tanganyika. Watanganyika wako huru kama bado wana njaa? Kama
 ni mazoezi ya kijeshi yanaendelea tu. Kama ni wananchi kuona
 ulinzi wa nchi yao ipo siku.
 Hiki ni kipindi
 cha dharura. Kimedumu muda mrefu. Tulikuwa tutaona fedha
 zinatumika ovyo. hatukuwa na mtu wa kuliona hilo. Sasa
 tumempata.
 Tunataka siku rais wa Tanzania
 akienda nje watu wakusanyike kumuona. Sio wanaulizana nani
 huyo Rais wa tanzania Ahaaa. halafu waendelee kana kwamba ni
 mtu mdogo anapita. Baba wa Taifa alifanya ziara za
 kiserikali mara mbili marekani katika myaka yake yote. Moja
 wakati wa Rais Kenedy na nyingine wakati wa Rais Jimy Cater.
 basi. nani hakumbuki jinsi watu walivyokusanyika toka
 majimbo yote kuja kumuona mtu huyu waliyemsikia siku
 nyingi?
 lakini kiongozi anakwenda mahala
 inafika mahala unaambiwa 'subiri nakuja?'
 Twaweza kujitegemea katika mambo mengi.
 Tukliomba msaada watajisikia fahari kutusaidia.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma

   

  Disclaimer:


 Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences
 of his or her postings, and hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
 to this
  disclaimer and pledge to abide by
 our Rules and Guidelines.


 ---

  You received this
 message because you are subscribed to the

 Google Groups "Wanabidii" group.


  To unsubscribe from this group and stop
 receiving emails
  from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to
 this Forum bears the sole responsibility for any legal
 consequences of his or her postings, and hence statements
 and facts must be presented responsibly. Your continued
 membership signifies that you agree to this disclaimer and
 pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message
 because you are subscribed to the Google Groups
 "Wanabidii" group.
 To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails from it, send an
 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.




 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment