Saturday 28 November 2015

Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

a katika hili tuwe macho sana. Kuna mtu anaweza kuamua kuwafanya watu wawe attention katika jambo linalopita au lililokwisha maana ili wasione anayoyafanya rais. au kutaka kuumua jambo dogo. Hao ni wa hatari zaidi kwa sababu wanakuwa na 'sababu' ambazo sio sababu hasa.
--------------------------------------------
On Sat, 11/28/15, 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, November 28, 2015, 9:15 AM

Kwa
Watanzania wote wanaoipenda nchi hii, ni lazima tuwe makini
sana tumuunge mkono rais Magufuli wakati uo huo kwa pamoja
tuwe walinzi wake kwa maombi na kwa vitendo. Tukisikia na
kujua yuko mtu ana njama za kupinga kazi njema ya serikali
tujue huyo ni adui wa taifa hili tusichelewe kumbomoa haraka
sana.DR

On Friday, November
27, 2015 9:43 PM, 'Ipyana Mwakasege' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hakika safari nzuri
imeanza kuonekana hapo hapana ubishi tena ,nikweli maombi ni
muhimu hayo ndio mambo muhimu watanzania walikuwa wanalia
nayo, nadhani  mh amejipanga sawasawa  kuanza Kazi kabla
hajawaingiza  wavulugaji Wa mipango mzuri  na kama mwendo
ni huu  mategemeo yapo
On 27 Nov 2015 20:52,
'Sylvanus Kessy' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hakika ni kiini  macho. Ma kontena
300 yapotee bandarini. Containa zima moja mpaka 300 yanatoka
yanapitia ma gate mangapi na wasimamizi wangapi wakiona.
Ujue haya yalifanyika miaka 10 au zaidi huko nyuma. Hakika
Tanzania hii kuna walioneemaka mara Milioni na waliopigika
mara milioni 2. Mungu amlinde Magufuli. Wasije
mfanya asusa! 

From: 'Dominick
Rukokelwa' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, November
27, 2015 7:49 PM
Subject: Re:
[wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU
KURUDI

Msisahau
kumuombea mnapopata nafasi au tenga muda kidogo kila siku
kumuombea.DR

On Thursday, November 26, 2015 2:34
PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Toka
Rais magufuli aingie madarakani amefanya mambo ambayo kama
kawaida wabezaji hawakosi. Wanasema na wakati wa JK ilikuwa
hivyo. Huenda wanadanganya au wamesahau. anayebisha atoe
mfano tulinganishe. Heri angemtaja Mkapa alijaribu japo si
kama Magufuli.

Tumechoka
kusaidiwa jamani na pedngine misaada inatudhalilisha. Kuna
misaada mingine iliyokataliwa na nchi jirani sisi tunasema
leta tu.
Utasikia hata tangazo dogo la
tahadhali linamalizia kwa : Imetolewa kwa msaada wa watu wa
Marekani.
Nyerere aliwahi kusema 'Mtu
kama anafikiri nje kuna mjomba wetu amlete. akinionyesha
nitachekatu'. Sasa Tanzania yenye utajili wa ajabu namna
hii lakini inaishia kuomba. Tanzania ina matumizi ya ajabu
lakini huku inaomba misaada tu. hapana. hapana. hapana
jamani. Tumefikia mahala tunaaibisha.
Sasa
Ona: Kuvunja sherehe moja muhimbili hakuna mgonjwa analala
chini.
Hela alizookoa Magufuli zikipelekwa
kumaliza tatizo la madawati huenda tutaanza kutafuta
madawati hayo baada ya miaka mitano. Inasaidia nini watu
kufanya makongamano ambayo baadi wataondoka na ukimwi na
makongamano hayo yanashughulikia kuzuia ukimwi. Kuuzuia si
elimu kwa umma tu. lazima aje waziri kusherehesha?
Ni kweli tarehe 9 December ni siku ya uhuru wa
tanganyika. Watanganyika wako huru kama bado wana njaa? Kama
ni mazoezi ya kijeshi yanaendelea tu. Kama ni wananchi kuona
ulinzi wa nchi yao ipo siku.
Hiki ni kipindi
cha dharura. Kimedumu muda mrefu. Tulikuwa tutaona fedha
zinatumika ovyo. hatukuwa na mtu wa kuliona hilo. Sasa
tumempata.
Tunataka siku rais wa Tanzania
akienda nje watu wakusanyike kumuona. Sio wanaulizana nani
huyo Rais wa tanzania Ahaaa. halafu waendelee kana kwamba ni
mtu mdogo anapita. Baba wa Taifa alifanya ziara za
kiserikali mara mbili marekani katika myaka yake yote. Moja
wakati wa Rais Kenedy na nyingine wakati wa Rais Jimy Cater.
basi. nani hakumbuki jinsi watu walivyokusanyika toka
majimbo yote kuja kumuona mtu huyu waliyemsikia siku
nyingi?
lakini kiongozi anakwenda mahala
inafika mahala unaambiwa 'subiri nakuja?'
Twaweza kujitegemea katika mambo mengi.
Tukliomba msaada watajisikia fahari kutusaidia.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.

---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment