Friday 27 November 2015

Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

Kwa Watanzania wote wanaoipenda nchi hii, ni lazima tuwe makini sana tumuunge mkono rais Magufuli wakati uo huo kwa pamoja tuwe walinzi wake kwa maombi na kwa vitendo. Tukisikia na kujua yuko mtu ana njama za kupinga kazi njema ya serikali tujue huyo ni adui wa taifa hili tusichelewe kumbomoa haraka sana.
DR

On Friday, November 27, 2015 9:43 PM, 'Ipyana Mwakasege' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hakika safari nzuri imeanza kuonekana hapo hapana ubishi tena ,nikweli maombi ni muhimu hayo ndio mambo muhimu watanzania walikuwa wanalia nayo, nadhani  mh amejipanga sawasawa  kuanza Kazi kabla hajawaingiza  wavulugaji Wa mipango mzuri  na kama mwendo ni huu  mategemeo yapo
On 27 Nov 2015 20:52, 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hakika ni kiini  macho. Ma kontena 300 yapotee bandarini. Containa zima moja mpaka 300 yanatoka yanapitia ma gate mangapi na wasimamizi wangapi wakiona. Ujue haya yalifanyika miaka 10 au zaidi huko nyuma. Hakika Tanzania hii kuna walioneemaka mara Milioni na waliopigika mara milioni 2. 
Mungu amlinde Magufuli. Wasije mfanya asusa! 

From: 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, November 27, 2015 7:49 PM
Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

Msisahau kumuombea mnapopata nafasi au tenga muda kidogo kila siku kumuombea.
DR

On Thursday, November 26, 2015 2:34 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Toka Rais magufuli aingie madarakani amefanya mambo ambayo kama kawaida wabezaji hawakosi. Wanasema na wakati wa JK ilikuwa hivyo. Huenda wanadanganya au wamesahau. anayebisha atoe mfano tulinganishe. Heri angemtaja Mkapa alijaribu japo si kama Magufuli.

Tumechoka kusaidiwa jamani na pedngine misaada inatudhalilisha. Kuna misaada mingine iliyokataliwa na nchi jirani sisi tunasema leta tu.
Utasikia hata tangazo dogo la tahadhali linamalizia kwa : Imetolewa kwa msaada wa watu wa Marekani.
Nyerere aliwahi kusema 'Mtu kama anafikiri nje kuna mjomba wetu amlete. akinionyesha nitachekatu'. Sasa Tanzania yenye utajili wa ajabu namna hii lakini inaishia kuomba. Tanzania ina matumizi ya ajabu lakini huku inaomba misaada tu. hapana. hapana. hapana jamani. Tumefikia mahala tunaaibisha.
Sasa Ona: Kuvunja sherehe moja muhimbili hakuna mgonjwa analala chini.
Hela alizookoa Magufuli zikipelekwa kumaliza tatizo la madawati huenda tutaanza kutafuta madawati hayo baada ya miaka mitano. Inasaidia nini watu kufanya makongamano ambayo baadi wataondoka na ukimwi na makongamano hayo yanashughulikia kuzuia ukimwi. Kuuzuia si elimu kwa umma tu. lazima aje waziri kusherehesha?
Ni kweli tarehe 9 December ni siku ya uhuru wa tanganyika. Watanganyika wako huru kama bado wana njaa? Kama ni mazoezi ya kijeshi yanaendelea tu. Kama ni wananchi kuona ulinzi wa nchi yao ipo siku.
Hiki ni kipindi cha dharura. Kimedumu muda mrefu. Tulikuwa tutaona fedha zinatumika ovyo. hatukuwa na mtu wa kuliona hilo. Sasa tumempata.
Tunataka siku rais wa Tanzania akienda nje watu wakusanyike kumuona. Sio wanaulizana nani huyo Rais wa tanzania Ahaaa. halafu waendelee kana kwamba ni mtu mdogo anapita. Baba wa Taifa alifanya ziara za kiserikali mara mbili marekani katika myaka yake yote. Moja wakati wa Rais Kenedy na nyingine wakati wa Rais Jimy Cater. basi. nani hakumbuki jinsi watu walivyokusanyika toka majimbo yote kuja kumuona mtu huyu waliyemsikia siku nyingi?
lakini kiongozi anakwenda mahala inafika mahala unaambiwa 'subiri nakuja?'
Twaweza kujitegemea katika mambo mengi. Tukliomba msaada watajisikia fahari kutusaidia.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment