Monday 30 November 2015

Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

Nadhani hakuzuia mtu kutuma card za christmas bali zilitumika pesa nyingi sana miaka ya nyuma wakidai ni card zinatumwa alichosema fedha za umma zisinunue.

On Nov 29, 2015 8:35 AM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Hakika kazi imeanza. Lakini hao wezi wa makontena wakiyapitisha bure bila ya gharama au kuyaiba halafu serikali ilipie, hao vibaka mtu analeta gari yake na amejaza mizigo kutoka ulaya alikokuwa masomoni-anakuta mizigo yote ndani ya gari haimo na gari yenyewe wameichomoa vitu japo ni mpya au used. Hawa wana laan. Baadhi yao ndugu zao wanajua wafanyayo lakini wanafurahia kuendesha magari ya kisasa na kuishi katika maghorofa yaliyopatikana kwa mali ya wizi ya hao ndugu zao wafanyao kazi bandarini. Unategemea foleni itakwisha hata upanue barabara DSM kiasi gani pasipo control na kudi kubwa kwa gari iingiayo na kupark mjini? Wezi hao baba anakwenda posta anaendesha dude, mama yake, housegirl yake na mtoto yake! Haja ipo ya kuchunguza mali zao wamezipataje na mshahara wake ni milioni 4 kwa mewezi akikatwa kodi zinabaki 3. Hayo magari na mjumba katoa wapi?

Kumsalia Mh Mangufuli kumuombea Mungu amlinfe ni muhimu sana. lakini sala tu hazitoshi kama sisi sote hatutabadilika na kuwa wakweli kutoa siri za mali hizo za wizi na makontena ambayo sisi ndio wabebaji na wanunuzi wa mali zilizomo humo tunaweka madukani kwetu. Linapelekwa bandari ya Nchi Kavu kumbe linaingia uwani kwa mtu mwenye maduka ya vipodozi, spare parts, kiwanda etc. Watu watakaotoa siri majina yafichwe na wazawadiwe. Kwani hata security au police hutoa siri za nani ameleta taarifa hii mpaka kontena likaja kukamatwa kwangu ndugu? Nitakupa milioni 4 ukiniambia!! Police akiona mil 4 na mshahara wake ni laki 2 cash mkononi-anamweleza. Jamaa anaokotwa maiti. watu hawaelewi sababu ya kuuawa lakini ni mtegemewa wa kuficha siri amejali fedha kuliko ethics za kazi. Sali sana, Omba sana kwa Mungu lakini havishuki kama mvua-asiyefanyakazi asile, utakula kwa jasho lako. Hivyo ili tufanikiwe kuibadili TZ yetu iwe na ufanisi kazini, kisiaza lazima tukubali kuwa wakweli kwa kumuogopa Mungu, kuzingatia ethics za kazi, kujituma kwa maendeleo yetu. Unapotumwa kuiba faili litupwe-kataa. Unapotakiwa kutoa siri na mkosaji-kataa. Mahakimu na Mawakili wakatae kumtetea mwizi, muuaji na mbakaji wasijali matumbo yao tu.

 Kutokana na mapungufu yetu miaka toka J.K. Nyerere na juhudi zake, cultural and political indocrination bado tupo nyuma na kila siku tunarudia yale yale hatusongi mbele. Hata mijini na vijijini-wakisha kupitisha mifereji ya concrete ya kuondoa maji ya mvua-tunajaza taka na kuunganisha vyoo. Kijijini bomba la maji-handpump inang'olewa wanawake wanarudia kutembea mwendo mrefu kufuata maji na kubakwa. Lakini hatufungi viwanda vinavyotumia Chuma Chakavu kutengeneza nondo. Tufunge leseni za viwanda hivi kwani vinasababisha madhara. Unaona kituo cha Police kuna Bar ya vileo na music wa sauti-unajali kipato kinachoingia sio ethics na usalama wa kituo na nchi. Vituo vya video na maduka ya kupiga kelele yamezunguka shuile-unajali mradi huo wa shule kuingiza hela na hata hiyo hela inaliwa na wajanga haionyeshi maendeleo yoyote hapo shule. Unaona kama kiongozi zamani magereza yalikuwa na mashamba na viwanda pia JKT kambi na wafungwa walikima na kujilisha na akitoka huko anapata cheti cha ujasiriamali. Unaona kabisa nchi haina hela-mashamba ya magereza, JKT hayalimwi kama zamani na kujilisha. Kiongozi haoni. Hapa muombee lakini kitu kinachotakiwa-Mabadiliko ya wote tujitumbe kwa kuona yanayoonekana, kuzingatia policies, strategies na mahitaji halisi ya pale tulipo. Eti mpaka Rais aseme ndio tufagie na kusafisha mifereji? kampeni ikiisha tunarudia kama kawa. Gari ikipita matrafiki-inakimbia kama kawa na ukilalamika wenzako wanakuzomea au utashushwa pabaya utapewa na nauli yako yote na wanahakikisha hapo kuna vibaka wa kukupora. Abiria wenzako watakuzomea ukiwa unashushwa.

Kuna kazi kubwa sana ya kubadili mitazamo na matendo yetu ili tupate maendeleoo. Sali na kuomba sana lakinini fanyakazi kwa bidii na kwa haki ukizingatia ethics za kazi.


--------------------------------------------
On Fri, 27/11/15, 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Friday, 27 November, 2015, 20:52


 Hakika ni kiini  macho. Ma kontena
 300 yapotee bandarini. Containa zima moja mpaka 300 yanatoka
 yanapitia ma gate mangapi na wasimamizi wangapi wakiona.
 Ujue haya yalifanyika miaka 10 au zaidi huko nyuma. Hakika
 Tanzania hii kuna walioneemaka mara Milioni na waliopigika
 mara milioni 2. Mungu amlinde Magufuli. Wasije
 mfanya asusa! 


   From: 'Dominick
 Rukokelwa' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com>
  To:
 "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>
  Sent: Friday, November
 27, 2015 7:49 PM
  Subject: Re:
 [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU
 KURUDI

 Msisahau
 kumuombea mnapopata nafasi au tenga muda kidogo kila siku
 kumuombea.DR



     On Thursday, November 26, 2015 2:34
 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


  Toka
 Rais magufuli aingie madarakani amefanya mambo ambayo kama
 kawaida wabezaji hawakosi. Wanasema na wakati wa JK ilikuwa
 hivyo. Huenda wanadanganya au wamesahau. anayebisha atoe
 mfano tulinganishe. Heri angemtaja Mkapa alijaribu japo si
 kama Magufuli.

 Tumechoka
 kusaidiwa jamani na pedngine misaada inatudhalilisha. Kuna
 misaada mingine iliyokataliwa na nchi jirani sisi tunasema
 leta tu.
 Utasikia hata tangazo dogo la
 tahadhali linamalizia kwa : Imetolewa kwa msaada wa watu wa
 Marekani.
 Nyerere aliwahi kusema 'Mtu
 kama anafikiri nje kuna mjomba wetu amlete. akinionyesha
 nitachekatu'. Sasa Tanzania yenye utajili wa ajabu namna
 hii lakini inaishia kuomba. Tanzania ina matumizi ya ajabu
 lakini huku inaomba misaada tu. hapana. hapana. hapana
 jamani. Tumefikia mahala tunaaibisha.
 Sasa
 Ona: Kuvunja sherehe moja muhimbili hakuna mgonjwa analala
 chini.
 Hela alizookoa Magufuli zikipelekwa
 kumaliza tatizo la madawati huenda tutaanza kutafuta
 madawati hayo baada ya miaka mitano. Inasaidia nini watu
 kufanya makongamano ambayo baadi wataondoka na ukimwi na
 makongamano hayo yanashughulikia kuzuia ukimwi. Kuuzuia si
 elimu kwa umma tu. lazima aje waziri kusherehesha?
 Ni kweli tarehe 9 December ni siku ya uhuru wa
 tanganyika. Watanganyika wako huru kama bado wana njaa? Kama
 ni mazoezi ya kijeshi yanaendelea tu. Kama ni wananchi kuona
 ulinzi wa nchi yao ipo siku.
 Hiki ni kipindi
 cha dharura. Kimedumu muda mrefu. Tulikuwa tutaona fedha
 zinatumika ovyo. hatukuwa na mtu wa kuliona hilo. Sasa
 tumempata.
 Tunataka siku rais wa Tanzania
 akienda nje watu wakusanyike kumuona. Sio wanaulizana nani
 huyo Rais wa tanzania Ahaaa. halafu waendelee kana kwamba ni
 mtu mdogo anapita. Baba wa Taifa alifanya ziara za
 kiserikali mara mbili marekani katika myaka yake yote. Moja
 wakati wa Rais Kenedy na nyingine wakati wa Rais Jimy Cater.
 basi. nani hakumbuki jinsi watu walivyokusanyika toka
 majimbo yote kuja kumuona mtu huyu waliyemsikia siku
 nyingi?
 lakini kiongozi anakwenda mahala
 inafika mahala unaambiwa 'subiri nakuja?'
 Twaweza kujitegemea katika mambo mengi.
 Tukliomba msaada watajisikia fahari kutusaidia.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma

   

  Disclaimer:


 Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences
 of his or her postings, and hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
 to this
  disclaimer and pledge to abide by
 our Rules and Guidelines.


 ---

  You received this
 message because you are subscribed to the

 Google Groups "Wanabidii" group.


  To unsubscribe from this group and stop
 receiving emails
  from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to
 this Forum bears the sole responsibility for any legal
 consequences of his or her postings, and hence statements
 and facts must be presented responsibly. Your continued
 membership signifies that you agree to this disclaimer and
 pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message
 because you are subscribed to the Google Groups
 "Wanabidii" group.
 To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails from it, send an
 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.




 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment