Majuzi nilisoma habari iliyosema al shabab waweka ngome yao Tanzania...nikajiuliza maswali mengi sana ni pamoja na sababu kwa nini waweke ngome yao Tanzania?Hatari za usalama wetu kutokana na uwepo wa kundi hilo. Lkn pia tukumbuke jamii yetu tayari imegawanyika katika misingi ya kidini...uwepo wa watu hawa ni lazima utakuwa una manufaa kwa watu fulani na mwanya huu ndio maana umekuwepo. Tumeshuhudia vurugu na mauaji muda si mrefu uliopita kwa msingi tu wa tofauti za kiimani katika nanj anastahili kuchinja kwa misingi ya imani yake. Watu hawa wakiendelea kuwepo ni lazima watakuwa na madhara kwetu kama ilivyo sasa kwa taifa la kenya..tutafakari...
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment