Thursday, 1 May 2014

Re: [wanabidii] VIONGOZI WA CHADEMA MEATU WAHAMIA CCM

Wako  watu wasaliti katika vya  upinzani nchini. Wamepenyezwa kimkakati  na watawala na wanatumika kimkakati  wakati husika. Lengo ni kudhoofisa upinzani  ili ukose nguvu na hivyo kudhoofisha  sauti na nguvu ya umma katika kuwabana watawala kuwajibika kwa wananchi.

 Huyu  hakuwa  mpigania nchi  na wananchi bali afisa usalama wa maslahi ya watawala.  Ni bora kaondoka.  Eti aliingiza wanachama 600. Nina uhakika  CHADEMA ikimpata mpigania nchi na wananchi wa uhakika kuchukua nafasi yake, muda mfupi ujao chama hicho kinaweza kitapata wanachama elfu sita (6,000) na zaidi kutoka eneo hilo.

Tunahitaji upinzani imara kuharakisha maendeleo nchini  na joto  la upinzani wa kweli ni lazima liwaondoe wasaliti. Tusubiri  wasaliti wengi wataondoka katika vyama vyote makini vya upinzani na wapambanaji wa kweli msikate tamaa iwe mvua ya mawe au jua kali, maana hakuna kitu chema kinachopatikana kirahisi.

 Nawapongeza wote mnaopigania maslahi ya walio wengi katika nchi yetu. Juhudi zenu, uvumilivu wenu na kujitoa kwenu kwa ajili ya taifa hili hakutakuwa bure. Mungu awalinde na kuwabariki sana.
 
On Saturday, April 26, 2014 9:14 AM, "'ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Naiangali picha ya aliyekuwa katibu mwenezi wa chadema hapa. Cuption inasema 'narudusha vifaa vya CHADEMA'. Huyu mtu hana akili sawasawa. Angekuwa nazo vifaa vya CHADEMA 'asingevirudisha' CCM ila CHADEMA.

On Thursday, April 24, 2014 8:41 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Tunakusubiri na wewe Mabadiliko Chadema uhamie uko vile vile.
em

2014-04-24 11:48 GMT-04:00 MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com>:
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.
Mwenyekiti wa Vijana mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga alikabidhi kadi ya CCM kwa viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.
Mwenyekiti wa Vijana mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga alihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga kuendelea kuleta maendeleo ya nchini.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment