Abdul
Bila shaka ni mwenge wa uhuru wa bendera wa nchi ya Tanganyika na na nchi ya Zanzibar ( Hizi ni nchi mbili tofauti zilizopata uhuru wa bendera kwa wakati tofauti). Nafikiri siyo sahihi mtu akisema uhuru wa Tanzania ambayo haikuwepo na wala haikuwa na sababu ya kudai uhuru ambao ulikwishapatika katika nchi hizo mbili tofauti. 2014-05-03 1:01 GMT+03:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mwenge itafutiwe fungu lake,kiukweli inakua wkt mwingine mzigo kuAnza kuchangisha kila mahali inapopita sia sawa......nadhani katiba mpya iseme hili....mzigo huu sasa kwa watanzania wa hali ya chini mnaowaita eti wa kawaida
On Friday, May 2, 2014 4:13 PM, 'Eberi Manya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
----- Forwarded Message -----Tanzania hatuna uhuru ndugu. Hivyo hakuna kitu kinachoitwa Mwenge wa Uhuru.This message is eligible for Automatic Cleanup! (wanabidii@googlegroups.com) Add cleanup rule | More info
>>________________________________
'Nico Eatlawe' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Mwenge wa Uhuru gani? Uhuru wa kuabudu? Uhuru wa kutoa maoni? Uhuru wa kuwa na itikadi ya chama? Uhuru kinyume na rushwa na ufisadi? Uhuru wa kutoonewa? Uhuru wa kutonyonywa? Uhuru wa kuabudu sanamu? Uhuru wa kufanya ushirikina? Uhuru gani? Uhuru wa kuoa wake wengi kama Kenya? UHURU GANI?
>On Friday, 2 May 2014, 10:24, 'tkaijanante' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>Muchuruza
>>
>>
>>Asante kwa kutujuza hizo taarifa. Baadhi yetu tumekuwa kwenye TBC tunawaangalia.
>>
>>
>>Theodor Kaijanante
>>
>>
>>
>>
>>Sent from Samsung Mobile
>>
>>
>>-------- Original message --------
>>From: muchuruzay <muchuruzay@yahoo.com>
>>Date:
>>To: muchuruzay <muchuruzay@yahoo.com>,Bukoba@yahoogroups.ca,mabadilikotanzania@googlegroups.com,wanabidii@googlegroups.com
>>Subject: Re: [THE FRIENDS OF BUKOBA] Re: Mwenge wa Uhuru kuwashwa Mkoani Kagera
>>
>>
>>
>>
>>Wadau, ni kwa wale tu ambao no wadau wa mwenge. Mgeni rasmi amemaliza hotuba take. Amewasha mwenge tayari. Unakabidhiwa kwa kiongozi wa mbio za mwenge ili Naye aukabidhi kwa Mkuu wa Mkoa Kagera tayari kuanza kuukimbiza katika Manisipaa ya Bukoba.
>>Wapenda maendeleo twende kazini kuleta maendeleo ya taifa letu. Baba Askofu Kilaini, Mh. Mwijage na wanamtandao wengine, tuko pamoja hapa uwanjani. Hongera kwa kushuhudia tukio hili.
>>
>>Wenu,
>>
>>Mdau
>>
>>muchuruzay <muchuruzay@yahoo.com> wrote:
>>
>>Ndugu zangu,
>>
>>Mkuu wa Mkoa tayari ametoa utambulisho. Katibu Mkuu Wazara ya Habari, utamaduni na vijana toka. Zanzibar amemaliza hotuba take. Kakau band wanatumbuiza.
>>No Mdau
>>
>>muchuruzay <muchuruzay@yahoo.com> wrote:
>>
>>
>>Wadau,
>>
>>Alaiki inaendelea. Inachezwa na watoto wapatao 600. Imependeza Sana.
>>
>>Mdau
>>
>>muchuruzay <muchuruzay@yahoo.com> wrote:
>>
>>>Wandugu Wadau wa hili ninalowaletea.
>>>
>>>Nimepokea SMS nyingi nikiulizwa Kama Niko uwanja wa Kaitaba kwenye sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge.
>>> Nawajulisha kuwa Niko uwanjani tayari. Uwanja umefurika kweli kweli. Mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge, viongozi wa Halmashauri za Wilaya, Mabarozi wa nchi mbali mbali, viongozi wa madhehebu, Viongozi wa vyama vya siasa na wadau wengine wapo tayari jukwaani. Pia wapo wawakilishi toka Burundi, Rwanda na Uganda. Wote tunamsubiri Mgeni Rasmi ambaye ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
>>>Nitaendelea kwajuza.
>>>
>>>Ni Yusto Paradius Muchuruza
>>
>>Reply via web post • Reply to sender • Reply to group • Start a new topic •
>>__._,_.___
>>Reply via web post • Reply to sender • Reply to group • Start a new topic • Messages in this topic (6)
>>
>>
>>This group email service is the property of the Friends of Bukoba. Please use it carefully to advance the mission of the Friends of Bukoba and the wellbeing of the people of Bukoba.
>>Visit Your Group
>>>>• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
>>.
>>>>__,_._,___
>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment