Malosha
Binafsi naona watanzania hata hizo siasa hatuwezi pia, kama watu wanaodai tuliwachagua kutuwakilisha ndo hao wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambalo mwanabidii mmoja kaliita BMM (Bunge Maalumu la Matusi). Tukubali hata siasa hatujui. Shame on them, ingekuwa ni mimi ningeogopa hata kuitwa mjumbe wa bunge hilo. Kama ni historia mbaya wameitengeza na siku zote iko nyuma yao. Walioamua kutimka wamejijengea heshima fulani.2014-05-03 9:22 GMT+03:00 'malosha zephania edward' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
--Tatizo la wengi siasa tunajua sana kuijadili lakini linapokuja suala tofauti na siasa huwa tunalipua mjadala.
Katika dini tumeambiwa tukazae na uzae baada ya kuoa au kuolewa. Hivyo kinachofuata baada ya kuoa ni kuzaa. Kama mtatafuta mtoto na msipate hilo ni suala lingine. Mimi nina mifano miwili tu kwa leo
1. Yupo jamaa yangu kwa sasa anafundisha chuo kikuu(Lecture) alioa nesi na wakasema hatuzai hadi tujenge na tununue gari. Kweli walikaa hivyo wakikamilisha malengo yao kwa kutumia vizuia mimba. Baada ya miaka mitano waka anza kutafuta mtoto cha kushaangaa kumbe hapakuwa na uwezo wa kuzaa hadi miaka kumi na mbili jumlisha ya mitano ya kujenga na kununua gari 17. Waliamua kwenda kwa waganga(wa kienyeji) kupatafuta dawa ya kuzaa sasa walikuwa wanazuia nini kuzaa. Bora wangegundua mapema wakalishugulikia. wamekuja kupata mtoto baada ya miaka 30 ya ndoa.
2. Ndoa nyingine nao walikuwa na mawazo hayo hayo ya kujiandaa kwanza (kwa maana ya kujenga, gari na mambo mengine mazuri) ndipo wazae. wamekaa ndani ya ndoa miaka kumi maisha hayabadiliki hawajengi wala hakuna gari. Mwaka wa 12 wakapata mtoto ambaye walikuwa wansema kuwa ni bahati mbaya kwani malengo yao yalikuwa bado. Baada ya miaka mitatu ya huyo mtoto jamaa akapata ufadhiri wa masomo nje ya nchi kuchua MBA. Aliporudi akapata kazi nzuri zaidi ya ile ya kwanza yenye visent vingi na ufisadi na mke naye akaaanza kupata tenda kubwa kubwa za kupika maisha yakawa safi. Hawakukumbuka tena kama mtoto alikuja kwa bahati mbaya wakaanza kusema mtoto huyu kazaliwa na baraka.
Hivyo kuna mambo mengine yako juu ya uwezo wetu wa kuwaza na kutafari mambo.
Tufanye yaliyo ndani ya uwezo wetu na tunayoyaweza na mengine tuombe ushari kama hatuyawezi.
Nahitimisha kwa kuzema ukioa kinachofuata ni watoto kama hakun tatizo la uzazi kwa mmoja wa wanandoasasasOn Saturday, 3 May 2014, 2:09, 'JPM' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
vipi inapotokea gari inapopata ajali na kuwa nyan'ganyan'ga au nyumba kuungua, maisha yanakoma kuwa maisha au inakuwaje? Materials possesion can not be used as a measure of life success or be a determinant for starting family. All these materials possession they do come and disappear but life will still go on
Sent from my iPhonewrong......mijadala hii ni muhimu sana, tatizo mmekremu...ni siasa tuuuuu kila day....hivi uoni kua ni elimu nzuri ya ndoa......na acha zako ndoa nzuri yenye amani lazima iwe na mtoto kaka, nahis huna uzoefu...uoe miaka 4 ago halafu mkeo muendee kufait kweli, huyo mama yeye atakua wa namna gani aendeelee kutumia kondom au asietaka mtoto kisa hamjajenga au mnajenga....mtoto anasababisha nini ktk ujenzi.....ongea vitu kwa uhalisia mzee, unaongea kishule sana bro? are u married>? lete experience. michango kama hii ni muhimu sana kwani hajatjwa mtu na ukweli ni kwamba itasaidia kutoa somo kwa wengine wanaoogopa maisha kiasi kwamba amalize kujenga kwamza au anunue gari kwanza ndi azae.....na mama huyo mvumilivu sanaaaaa--
On Thursday, May 1, 2014 8:58 PM, Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com> wrote:
Mollel, Amour, Makwega et al.Mie nafikiri kuwa hamtendei haki huyu jamaa. Kwani nani kasema kuwa ndoa lazima iwe na watoto? Hata hivyo yeye kasha seam kuwa wanamipango yao na ikikamilika watatafuta watoto sasa ndugu Mollel kwanini unsigned subiri halafu ikienda vinginevyo ndo uulize swali lako. Jamani acheni kuiingilia mipango ya watu na zaidi hayo hayana tofauti na majungu ya kijiweni ambako wasiokuwa na kazi za kufanya wanajadili watu. Nafikiri mijadala kama huu hakuna nafasi katika jukwaa hili, hapa tunahitaji kujadili maendeleo na mustakabali wa Taifa letu.Ken
Sent from my iPadamour--
Hata mie nikahisi hilo ikabidi nianze kumfanyia ushauri kua kuzaa hakuna uhusiano na kununua gari ama kujenga,haizuiii hata kidogo, jamaa akakomaa ooh hapana nowdays akasema we educated men should plan b4 we get in, ndio maana wengi eti wanafail its bse hawana plans......nikachoka
Huenda ana tatizo kaka nini? au ndio westernization taking place, sisi kwetu masAINI WANGESHAMKALISHA KIKAO MARA 8 THEN watamualiaanyway sjui lakini
On Thursday, May 1, 2014 2:06 AM, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:
Isije kuwa ana matatizo na sasa kapata kisingizio.
Walewale.--On May 1, 2014 2:01 AM, "'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--nilikua naongea jana na mshkaji wangu mmoja anaeish mkoani huko, basi bana baada ya kuulizana hili na lile nikamwuliza kama kashamwoa rfk yake wa kike mmoja akanambia yes tena sasa wana mwaka wa 3 hivi ktk ndoa yao.Swali la pili kama ilivyo desturi ni mna watoto wangapi, akacheka akasema bado hawajaamua kuzaaa, wako ktk ujenzi ndipo wazae labda kuanzia mwakaniAh, nikaanza kuuliza kwanini, mikaambiwa na mshkaji ni mipango, ktk kumshauuri sana ikaonekana hapana lazima wamalize mipango yao ndio waamue kuzaaa, nikashtuka, nikajiuliza inakuajeniambieni wataalam kupitia hii scenario jamaa yupo sahihi, ndivyo inavyotakikana jamani, watu wa saikolojia ya mapenzi na masuala ya saikolojia mnasemaje hapo banduguNaomba kuwasilisha kwa heshma na taadhima
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

0 comments:
Post a Comment