Natamani kama maraisi wa Africa wangeiga mfano wa Raisi Obama wa kutembea na familia yake (mke na watoto) hii inapendeza sana. Sisi hata watoto wa raisi wetu hatuwafahamu na kama anafahamika labda awe amejiingiza kwenye siasa? Mfano watanzania wangapi wanawajua watoto wa Mkapa? Mwinyi? na wa Kikwete zaidi ya Ridhiwani?.
Nilifikiri kuwa watoto wa raisi (Kikwete) wangejitokeza wawape kampani watoto wa Obama lakini sijui kama walikuwepo.
Big up Obama wewe ni mfano wa Mume na Baba bora duniani.
Nilifikiri kuwa watoto wa raisi (Kikwete) wangejitokeza wawape kampani watoto wa Obama lakini sijui kama walikuwepo.
Big up Obama wewe ni mfano wa Mume na Baba bora duniani.
0 comments:
Post a Comment