Tuesday, 2 July 2013

Re: [wanabidii] WATOTO WA MARAISI WETU TUNAWAJUA?

Ndugu yangu ukitaka kuwajua uliza tu , utapewa orodha .

Nakumbuka wakati rais kikwete anaapishwa mwaka 2005 watoto wake wote walikuwepo uwanja wa taifa .

On Tuesday, July 2, 2013 5:43:59 PM UTC+3, Bariki Mwasaga wrote:

Walikuwepo kwenye ziara ya Makumbusho ya Taifa

On Jul 2, 2013 5:21 PM, "Monica Malle" <moni...@hotmail.com> wrote:
Natamani kama maraisi wa Africa wangeiga mfano wa Raisi Obama wa kutembea na familia yake (mke na watoto) hii inapendeza sana. Sisi hata watoto wa raisi wetu hatuwafahamu na kama anafahamika labda awe amejiingiza kwenye siasa? Mfano watanzania wangapi wanawajua watoto wa Mkapa? Mwinyi? na wa Kikwete zaidi ya Ridhiwani?.
Nilifikiri kuwa watoto wa raisi  (Kikwete) wangejitokeza wawape kampani watoto wa Obama lakini sijui kama walikuwepo.
Big up Obama wewe ni mfano wa Mume na Baba bora duniani.

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment