Mimi naongezea kwamba watanzania tuache kulala na kulalamika , hata kama ujio wa obama utakuwa na faida zaidi kwa marekani lakini hata sisi kwa nafasi zetu tuhakikishe tunatumia fursa hii ya ujio wa obama kuuza na kununua kama biashara nyingine zilivyo .
Nilisikia katika mazungumzo jana na leo kwamba kuna wafabiashara wamealikwa marekani mwaka 2014 kwa ajili ya kuangalia fulsa za biashara huko , obama pia ametangaza fursa za masomo kwa viongozi wajao wa afrika haswa Tanzania sasa tuchangamkie fursa hizi na kama wewe mwenzangu unazo unashare na wenzako ili wapate nao .
Pia Hizo sehemu wanazokuja kuwekeza kwa mfano kwenye miradi ya umeme kama symbion , mradi wa gesi na mafuta kama exmobile kote huku asilimia kubwa wanaoajiriwa au kufanya kazi ni watanzania , sasa kwanini leo hii tushangae .
Acheni hizo , changamkieni fursa zilizopo .
On Tuesday, July 2, 2013 12:04:17 PM UTC+3, Herment Mrema wrote:
-- On Tuesday, July 2, 2013 12:04:17 PM UTC+3, Herment Mrema wrote:
Phares kesha anza kampaign mapema. Kumfagilia JK namna hii kuna kitu tayari kishaona. Tunamtakia kila la heri.
Mimi nimekaa Marekani kwa muda mrefu kiasi kwenye miaka ya themanini na nilipata kutembelea white house. Ninajua kuwa Obama kafanya maajabu na mimi binafsi ninamhusudu mno kwani ameniongezea uwezo wa kujiamini kuwa kila kitu kinawezekana ali mradi unajitambua, unajiamini na kuthubutu.
Lakini hili la Obama kutembelea Tanzania tukubali ukweli kuwa ni kwa Maslahi ya Amerika na sio kwaTanzania. Tunaweza kuambulia makombo lakini yote hayo ni by the way na sio sababu kamili ya kuja kwao hapa. Kama kawaida yao watatupa dola 1 lakini wataambulia faida ya dola 4 na kama ilivyo ada tutaenedela kuwa donors kwa America na mataifa mengine. Hatukuanza kudonate leo na hatujaacha kudonate na wenye akili ya kufikiria hili wanatambua. Wao wanatupangia bei kwa rasimali zetu na chochote wanachotuuzia sio njia mojawapo ya kodonate?
Wanachotaka Wamerekani ni resources, usalama (jeshi), na urafiki wa mashaka. Wamaerikani wanasema wenyewe na wanatekeleza dhana ya kuwa There is no permanent friend and permanent enemy. In all aspects America's interest comes first and that is it.
Cheers
Herment
Date: Tue, 2 Jul 2013 10:28:36 +0200
Subject: Re: [wanabidii] African need United States and United States need Africa
From: esul...@gmail.com
To: wana...@googlegroups.comduh! Jina la Tanzania pia linasaidia wengine kupewa vyeo, hili amelisahau mwandishi! Tunakula pia kutokana na kazi za Mwalimu - the man who can speak his mind without fear!
On Tue, Jul 2, 2013 at 10:23 AM, paul lawala <pasamil...@gmail.com> wrote:Huyu jamaa atakuwa anashadidia ukada wake ili akumbukwe kwenye ufalmeOn Mon, Jul 1, 2013 at 10:13 PM, Lutgardk <lutg...@yahoo.com> wrote:
Phares,
Upewe ukuu wa mkoa!! Teh, teh, teh!! LKK
Sent from my iPad
On 1 Jul 2013, at 11:52 alasiri, "Phares Magesa " <mag...@hotmail.com> wrote:
> "African need United States and United States need Africa" President Jakaya Mrisho Kikwete at Press conference with President Obama at State House, Dar Es Salaam,Tanzania 1st July,2013.
>
> Let me take this opportunity to congratulate President Kikwete and his government and our people in general for making this visit possible. For the last few years Tanzania has been visited by every US sitting President, this is remarkable and commendable.
>
> No matter what others say but President Kikwete is one of the few African Heads of states that have done so much to the people in terms of improving democracy, media freedom, Health sector, education sector, infrastructure development, energy just to mention a few and he has also managed to elevate Tanzania image in the Global arena.
>
> President Obama is traveling to Tanzania with hundreds of business and media people.
>
> Let's look at President Obama's visit to Africa and Tanzania in particular as an opportunity for us and capitalize on it positively rather that wasting time on looking at the negative part of the visit as some writers have tried to do in the past few days.
>
> I am writing this message from outside Tanzania but from where I am I can follow what is happening, all media houses around the world are talking about Africa and Tanzania in particular, this has enormous positive effect to our economy.
>
> We have all seen the inside Africa program in CNN this week about Mt. Kilimanjaro many people didn't know that it is the tallest free standing maintain in the world, perhaps some didn't even know that the mountain is in Tanzania, this a very good positive story and promotion of our tourism sector.
>
> President Kikwete was the first African head of state invited and hosted at the White house by President Obama.
>
> No human being is perfect but It is true that President Kikwete is one of the few statesmen remaining in Africa, he is highly respected and that is why is was chosen by other African leaders as AU Chair in his first years of his Presidency.
>
> It goes without saying that all this is possible because of the conducive environment and enabling policies put in place by H.H President Kikwete and his government.
>
> Congratulations President Kikwete, Long live Tanzania and May Almighty God Bless the United Republic of Tanzania.
>
> Phares Magessa.
> 1st July, 2013.
>
> ----------------------------------------------------------
>
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
> --
> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out .
>
>
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out .

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment