Monday, 1 April 2013

Re: [wanabidii] Nimerejea Nyumbani Iringa Kutoka Mapumziko Ya Pasaka Ruaha!

Inawezekana tunafikiri kidogo ya uwezo wetu kwasababu hatuendi holidays!
Nawaza kwanguvu tu!

From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Monday, April 1, 2013 10:49 PM
Subject: [wanabidii] Nimerejea Nyumbani Iringa Kutoka Mapumziko Ya Pasaka Ruaha!

Nimerejea Nyumbani kutoka Mapumziko Ya Pasaka Ruaha!
Ndugu zangu,

Wakati mwingine mwili na akili vinahitaji kupumzika. Pasaka hii mimi na familia yangu tulikuwa mapumzikoni kule Ruaha National Park.

Kuna Mtanzania Mzalendo aliyetambua mchango wangu katika jamii na hata kunipa 'ofa' ya kutembelea Ruaha na kukaa kwenye Lodge anayoimiliki; Ruaha Hilltop Lodge.

Hapo tumekuwa na wakati mzuri mimi na familia yangu. Tangu Ijumaa Kuu hadi Jumatatu hii ya Pasaka tumekuwa mahali hapo. Nimepata muda wa kupumzika na ' kuchaji betri' ya ubongo wangu! Maana, nikiwa huko nimekuwa mbali na yanayoendelea duniani ikiwamo kwenye mitandao.

Na kiti hicho pichani nimematani nirudi nacho nyumbani Iringa!
Usiku Mwema.
Maggid,
Iringa.
http://mjengwablog.co.tz
--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment