Monday, 1 April 2013

[wanabidii] Re: Nimerejea Nyumbani Iringa Kutoka Mapumziko Ya Pasaka Ruaha!

Safi sana kaka Mjengwa!Neno moja ambalo limenigusa ni kuwa...UMEKUWA MBALI NA YANAYOENDELEA DUNIA,IKIWAMO MITANDAO"Good.Mara nyingine "kujifungia ndani mwako"na kufanya tafakari na familia yako bila KUINGILIWA na mawazo ya watu ni jambo jema,tena jema sana.Unakomaza ROHO kwa maamuzi binafsi,Unakuwa na AFYA YA ROHO isiyo na chembe za ushawishi.
Pili,Mambo ya afya yanategemezana sana...Hivyo pata hii...HEALTHY SOUL,leads to HEALTHY BODY and MIND!!!
Uko juu,sasa rudi UPAMBANE!!!

On Monday, April 1, 2013 3:49:39 PM UTC-5, maggid mjengwa wrote:
Nimerejea Nyumbani kutoka Mapumziko Ya Pasaka Ruaha!
Ndugu zangu,

Wakati mwingine mwili na akili vinahitaji kupumzika. Pasaka hii mimi na familia yangu tulikuwa mapumzikoni kule Ruaha National Park.

Kuna Mtanzania Mzalendo aliyetambua mchango wangu katika jamii na hata kunipa 'ofa' ya kutembelea Ruaha na kukaa kwenye Lodge anayoimiliki; Ruaha Hilltop Lodge.

Hapo tumekuwa na wakati mzuri mimi na familia yangu. Tangu Ijumaa Kuu hadi Jumatatu hii ya Pasaka tumekuwa mahali hapo. Nimepata muda wa kupumzika na ' kuchaji betri' ya ubongo wangu! Maana, nikiwa huko nimekuwa mbali na yanayoendelea duniani ikiwamo kwenye mitandao.

Na kiti hicho pichani nimematani nirudi nacho nyumbani Iringa!
Usiku Mwema.
Maggid,
Iringa.
http://mjengwablog.co.tz

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment