Thursday 27 July 2017

[wanabidii] Waziri Prof Magembe awataka wanahabari kuendelea kutangaza Utalii

Waziri Prof Magembe awataka wanahabari kuendelea kutangaza Utalii


[caption id="attachment_80586" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-80586" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/07/IMG_3392.jpg" alt="" width="800" height="533" /> Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Magembe akizungumza na Wahariri na Wanahabari waandamizi (hawapo pichani) kutoka vyombo mbalimbali vya habari katika semina ya mwaka 2017 iliyoandaliwa na TANAPA kwa wanatasinia hiyo ya habari. Mkutano huo unafanyika jijini Tanga.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_80585" align="aligncenter" width="719"]<img class="size-full wp-image-80585" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/07/IMG_3379.jpg" alt="" width="719" height="600" /> Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Magembe akizungumza na Wahariri na Wanahabari waandamizi (hawapo pichani) kutoka vyombo mbalimbali vya habari katika semina ya mwaka 2017 iliyoandaliwa na TANAPA kwa wanatasinia hiyo ya habari. Mkutano huo unafanyika jijini Tanga.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_80588" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-80588" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/07/IMG_3415.jpg" alt="" width="800" height="574" /> Mmoja wa wahariri, Absalom Kibanda akitoa neno la shukrani mara baada ya semina hiyo kufunguliwa.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_80583" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-80583" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/07/IMG_3351.jpg" alt="" width="800" height="482" /> Sehemu ya washiriki wa Semina ya Wahariri na Wanahabari waandamizi kwa mwaka 2017 iliyoandaliwa na TANAPA.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_80584" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-80584" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/07/IMG_3354.jpg" alt="" width="800" height="553" /> Sehemu ya washiriki wa Semina ya Wahariri na Wanahabari waandamizi kwa mwaka 2017 iliyoandaliwa na TANAPA.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_80587" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-80587" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/07/IMG_3406.jpg" alt="" width="800" height="573" /> Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Pascal Shelutete akitoa maelezo kwa Wahariri na Wanahabari waandamizi (hawapo pichani) kutoka vyombo mbalimbali vya habari katika semina ya mwaka 2017 iliyoandaliwa na TANAPA kwa wanatasinia hiyo ya habari.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_80589" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-80589" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/07/IMG_3421.jpg" alt="" width="800" height="566" /> Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA, Allan Kijazi (kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo), na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbas (kulia) nje ya ukumbi mara baada ya kufunzuliwa kwa semina ya mwaka 2017 kwa wahariri na wanahabari waandamizi iliyoandaliwa na TANAPA.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_80590" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-80590" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/07/IMG_3427.jpg" alt="" width="800" height="463" /> Picha ya pamoja ya mgeni rasmi na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari.[/caption]

&nbsp;

<strong>WAZIRI</strong> wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe amewapongeza waandishi wa habari kwa mchango wao kuendelea kutangaza utalii nchinikupitia vyombo vyao, na kuwaomba waendelee na uzalendo huo kwani kitendo hicho ni faida kwa taifa zima. Pongezi hiyo ameitoa leo jijini Tanga alipokuwa akifungua semina ya mwaka kwa wahariri na wanahabari waandamizi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA).

Waziri Magembe amesema matokeo ya wanahabari kutumia kalamu zao kutangaza utalii yanajionesha wazi kwa ongezeko la idadi ya watalii kutoka nchi mbalimbali kutembelea hifadhi zetu.

Aidha ameitaka TANAPA kuendelea kushirikiana na wanahabari kwa kufanya semina hizo kila mwaka ili kupata mrejesho juu ya kazi wanayoifanya, kwani vyombo vya habari ni fursa nzuri ya kutoa elimu kwa umma na kutangaza shughuli mbalimbali zinazofanywa na mamlaka hiyo.

Mkutano huo wa siku tatu ulioanza leo Julai 26 unatarajia kumalizika Julai 29, ambapo wanahabari watajifunza na kujadiliana masuala mbalimbali ya utalii na uhifadhi.

--
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment