Wednesday 26 July 2017

[wanabidii] Tiba moja magonjwa yote


Baada ya kutafuta tiba muda mrefu na katika kuimarisha afya yangu, nilikuwa nasumbuliwa na shinikizo la damu na mwili kupata ganzi nimegundua tiba moja ya mazoezi maalum ambayo imeniwezesha mwili wangu kupambanna magonjwa haya pamoja na mengine, ya kawaida na magonjwa sugu, sasa hivi baada ya kupata tiba hii kwa siku 10 najisikia vizuri na afya yangu imeimarika. Tiba hii inaweza kupambana na magonjwa kama vile; shinikizo la damu la juu na chini,kisukari,vidonda vya tumbo, viungo kama miguu mikono kufa ganzi pamoja na kukuongezea kinga ya mwili. Tiba hii asili yake ni China.Nawakaribisha wote wenye matatizo niliyoyataja hapa njooni kupata tiba hii kwa bei nafuu. Pia kuna fursa ya kupata mafunzo ya kujitibu mwenyewe na kuwatibu wengine. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0755394701.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment