Friday 28 July 2017

[wanabidii] NMB YATOA SHILINGI 25M/= KUSAIDIA DUKA LA DAWA KWA JAMII MSD

NMB YATOA SHILINGI 25M/= KUSAIDIA DUKA LA DAWA KWA JAMII MSD




[caption id="attachment_80623" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-80623" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/07/Handover-1.jpg" alt="" width="800" height="515" /> Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (wa kwanza kushoto) akimkabidhi mfano wa hudi ya shilingi milioni 25 Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Bw. Laurean Bwanakunu zilizotolewa na benki hiyo kusaidia uboreshaji na uendelezaji wa ujenzi wa maduka ya madawa kwa jamii ya MSD katika mikoa tofauti. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za MSD zilizopo jijini Dar es Salaam.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_80624" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-80624" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/07/Picture-004.jpg" alt="" width="800" height="464" /> Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (wa kwanza kushoto) akizungumza kabla ya kukabidhi mfano wa hudi ya shilingi milioni 25 zilizotolewa na benki hiyo kusaidia uboreshaji na uendelezaji wa ujenzi wa maduka ya madawa kwa jamii ya MSD katika mikoa tofauti. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Bw. Laurean Bwanakunu. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za MSD zilizopo jijini Dar es Salaam.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_80625" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-80625" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/07/Picture-021.jpg" alt="" width="800" height="534" /> Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Bw. Laurean Bwanakunu akitoa shukrani kwa Benki ya NMB baada ya kupokea mfano wa hudi ya shilingi milioni 25 zilizotolewa na Benki ya NMB kusaidia uboreshaji na uendelezaji wa ujenzi wa maduka ya madawa kwa jamii ya MSD katika mikoa tofauti. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa.[/caption]

<strong>BENKI</strong> ya NMB imekabidhi kiasi cha sh. Milioni 25 kusaidia Bohari Kuu ya Dawa (Medical Stores Department) katika kuboresha uendeshaji wa maduka na uendelezaji wa ujenzi wa maduka katika mikoa tofauti.
Hundi hiyo ilikabidhiwa katika ofisi za MSD zilizopo jijini Dar es Salaam, Afisa Mkuu wa wateja wakubwa  wa NMB Richard Makungwa, alisema msaasa huo ni muendelezo wa mahusiano yao na Bohari ya Dawa (MSD).
Ujenzi wa bohari hiyo ya dawa itasaidia kupunguza adha ya upatikanaji wa dawa hasa kwa wananchi wa Rukwa kwani kulikuwa na umbali mkubwa kufikia huduma hiyo. Sekta ya afya ni moja kati ya kipaumbele kikubwa sana kwa benki ya NMB ikiwa ni njia ya mojawapo ya kujali jamii inayotuzunguka.
Naye Mkurugenzi Mkuu wa (MSD) Laurean Bwanakunu ameishukuru benki ya NMB kwa kuwa karibu nao hasa katika suala zima la kusaidia maendeleo ya jamii.
Mpaka sasa kuna vituo saba ambavyo ni pamoja na kilichopo nje ya Hospitali ya Taifa (MNH), Sekoture Mwanza, Mount Meru Arusha, nje ya Hospitali ya Mkoa wa Mbeya, Katavi, Ruangwa iliyopo mkoa wa Lindi na Chato Geita.



KAWAIDA:--


Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (wa kwanza kushoto) akimkabidhi mfano wa hudi ya shilingi milioni 25 Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Bw. Laurean Bwanakunu zilizotolewa na benki hiyo kusaidia uboreshaji na uendelezaji wa ujenzi wa maduka ya madawa kwa jamii ya MSD katika mikoa tofauti. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za MSD zilizopo jijini Dar es Salaam.


Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (wa kwanza kushoto) akizungumza kabla ya kukabidhi mfano wa hudi ya shilingi milioni 25 zilizotolewa na benki hiyo kusaidia uboreshaji na uendelezaji wa ujenzi wa maduka ya madawa kwa jamii ya MSD katika mikoa tofauti. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Bw. Laurean Bwanakunu. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za MSD zilizopo jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Bw. Laurean Bwanakunu akitoa shukrani kwa Benki ya NMB baada ya kupokea mfano wa hudi ya shilingi milioni 25 zilizotolewa na Benki ya NMB kusaidia uboreshaji na uendelezaji wa ujenzi wa maduka ya madawa kwa jamii ya MSD katika mikoa tofauti. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa.

BENKI ya NMB imekabidhi kiasi cha sh. Milioni 25 kusaidia Bohari Kuu ya Dawa (Medical Stores Department) katika kuboresha uendeshaji wa maduka na uendelezaji wa ujenzi wa maduka katika mikoa tofauti.


Hundi hiyo ilikabidhiwa katika ofisi za MSD zilizopo jijini Dar es Salaam, Afisa Mkuu wa wateja wakubwa  wa NMB Richard Makungwa, alisema msaasa huo ni muendelezo wa mahusiano yao na Bohari ya Dawa (MSD).


Ujenzi wa bohari hiyo ya dawa itasaidia kupunguza adha ya upatikanaji wa dawa hasa kwa wananchi wa Rukwa kwani kulikuwa na umbali mkubwa kufikia huduma hiyo. Sekta ya afya ni moja kati ya kipaumbele kikubwa sana kwa benki ya NMB ikiwa ni njia ya mojawapo ya kujali jamii inayotuzunguka.


Naye Mkurugenzi Mkuu wa (MSD) Laurean Bwanakunu ameishukuru benki ya NMB kwa kuwa karibu nao hasa katika suala zima la kusaidia maendeleo ya jamii.


Mpaka sasa kuna vituo saba ambavyo ni pamoja na kilichopo nje ya Hospitali ya Taifa (MNH), Sekoture Mwanza, Mount Meru Arusha, nje ya Hospitali ya Mkoa wa Mbeya, Katavi, Ruangwa iliyopo mkoa wa Lindi na Chato Geita.

___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment