Monday 31 July 2017

[wanabidii] Stori-SERIKALI, WADAU KUANDAA RIPOTI YA KWANZA YA KITAIFA YA UTEKELEZAJI WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU NCHINI

Habari wakuu
Kama mnavyojua Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania imesaini mikataba mbalimbali ya Utekelezaji wa Haki za Binadamu ikiwemo Mkataba wa Haki za Watu wenye Ulemavu ambapo nchi iliridhia mwaka 2009.
Kwa muktadha huo,kwa mara ya kwanza Serikali na wadau wanaandaa ripoti ya kitaifa na kwa sasa ipo katika hatua za awali.
Nimeambatisha stori kwa rejea na kusambaza kwa wengine ipasavyo.
Natanguliza shukrani
Asiatu Msuya- Afisa Mawasiliano Ofisi ya AG

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment