Kuna gharama za kila jambo duniani.
Kama hakujua hili aelimishwe. Kuonesha mrengo wako kisiasa kama public figure kuna gharama zake mdio hizo ameanza kuziingia. Wasanii wajifunze hilo. Na sio yeye tu hata wale walioamua kwenda uoinzani natumaini wanajua gharama zake sio waliokwenda ccm tu.
Siasa na biashara zako ni vyema vikatenganishwa au uwe tayari kwa matokeo. Long time kipato ni bora kuliko short time kipato... despite how popular one is... jamii ikiamua kukususa ianakususa kweli kweli awe makini na ucghaguzi wake kupanga ni kuchagua...
Regards,
Mugittu, Zephaniah,
Cell: +255 784 769 481
Fax2Email: 0736605633
Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
"Poverty is a result of attitude ..."
On Tuesday, 22 September 2015, 11:00, "'BILLEGEYA, Mussa' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Nadhani hata Diamond AKISUSIWA ni sawa tu (kwa wale wanaosusa) na akiungwa mkono ni sawa tu (kwa wale watakaomuunga mkono).
Nadhani AKISUSIWA atakuwa ANALIPA GHARAMA ya kujiingiza kwenye SIASA za vyama (kwa kushabikia chama kimoja) bila kutaathimini madhara yake kwenye kazi yake ya sanaa (ambayo inawahitaji watu wa vyama tofauti).
Kama alijiingiza kwa ajili ya hicho kipato cha siku moja kama unavyomsemea, basi alipaswa kuelewa kuwa kazi yake ya sanaa haishii siku moja na kwa malipo ya chama kimoja. Alipaswa kuelewa kwamba kazi yake kuna siku atawahitaji watu wote bila kujali vyama vyao wampigie kura!
Kama aliona hela za CCM ni tamu na akadhani CCM wanampenda sana, basi ARUDI CCM, aende akawaombe WANA-CCM wampigie kura na yeye, kwa kuwa yeye aliwaombe kura! It is a simple logic, You can't eat your bread and have it...
Sidhani kama kumshabikia Diamond ni mojawapo ya vitendo vya kizalendo, na pia sidhani kama kukosa uzalendo ni tendo linamfanya mtu akamatwe na "Taasisi" za usalama. Na kama kukosa uzalendo ni kosa kisheria, basi nadhani walipaswa kuanza kukamatwa watu waliokuwa wanataka URAIA WA NCHI Mbili, maana nadhani hicho ndicho kitendo kibaya zaidi cha kukosa uzalendo (kuliko hata mapinduzi).
KWA KUWA DIAMOND ALIWAOMBEA KURA CCM KWA WANANCHI, BASI NA YEYE ARUDI CCM WAKAMUOMBEE KURA ANAZOHITAJI (kama alidhani wanampenda kiasi hicho)!!!
Wana-CHADEMA/UKAWA/ACT n.k. watakuwa WAPUMBAVU iwapo watampigia kura Diamond... Yeye "amewakataza" watu wasiipigie kura CHADEMA halafu wana-CHADEMA wampigie kura yeye!!!????????????...
BILLEGEYA, Mussa,
Twitter: @MBillegeya
Le Samedi 19 septembre 2015 21h45, jones konga <lufj.24@gmail.com> a écrit :
Kama sehemu kubwa ya jamii inapinga japo fulania au mtu fulani basi
kuna uwalakini na ni vizuri kuielewa jamii inataka nini
On 9/18/15, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> MWANAMUZIKI DIAMOND NI MWANADAMU TENA MTANZANIA , MWANA AFRIKA MASHARIKI
> KAMA SISI . MAFANIKIO YAKE NI MAFANIKIO YETU SOTE KAMA JAMII . KAMA MICHAEL
> JACKSON ALIVYOPATA MAFANIKIO NI USA ILIFAIDI NA INAENDELEA KUFAIDI ( MFALME
> WA POP ) .
>
> SUALA LA KUANZISHA KAMPENI YA KUMKATAA , KUAMBIA WENZAKO WASIMPIGIE KURA
> KISA TU AMEONEKANA KWENYE MKUTANO WA KISIASA WA CHAMA USICHOKIKUBALI SIO
> UZALENDO , SIO UTU NA SIO UMOJA NA AMANI TUNAYOIPIGANIA .
>
> KITU AMBACHO DIAMOND NA WASANII WENGINE WANAFANYA NI BIASHARA AMEUZA BIDHAA
> YAKE YA KUIMBA NA KUJIINGIZIA KIPATO KWA AJILI YA MAISHA YAKE , FAMILIA NA
> TAIFA KWA UJUMLA . TUHESHIMU KAZI ZA WATU .
>
> MBONA WEWE NI DAKTARI LAKINI UNATIBU WATU WA IMANI , CHAMA AU RANGI TOFAUTI
> , JE UNATAKA TUSIJE KWAKO KWA SABABU YA CHAMA AU IMANI YAKO ?
>
> MBONA BABAKO NI MWANAMUZIKI , JE UNATAKA TUSIENDE KWENYE SHOW ZAKE WALA
> KUNUNUA KAZI ZAKE KWASABABU TU AMEIMBA KIONJO KWENYE NYIMBO ZA HAMASA ZA
> CHAMA CHAKO ?
>
> MBONA MAMAKO NI MKULIMA JE UNATAKA TUSINUNUE VYAKULA VYAKE KWASABABU AMEVAA
> FULANA YA CHAMA FULANI ?
>
> TAASISI ZA ULINZI NA USALAMA ZIKAMATE WATU HAWA KWASABABU WANAHARIBU JINA
> LA MTU , WANADIDIMIZA UZALENDO NA KUJENGA UTENGAMANO KATIKA JAMII AMBAYO
> SIKU ZOTE UKO MOJA KWA SHIDA NA RAHA .
>
> HALI HII ISIACHWE IENDELEE ITASABABISHA MADHARA KWA JAMII , WATU WATAACHA
> KUFANYA SHUGULI ZAO NCHINI , UZALISHAJI UTAPUNGUA , UWEKEZAJI UTAPUNGUA NA
> MASLAHI MAPANA YA NCHI YANAVURUGWA .
>
> YONA FARES MARO
> 0786 806028
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment