Wednesday, 9 September 2015

Re: [wanabidii] Siyo lazima kubadilisha chama ili kuleta mabadiliko ya Maendeleo

Na Zambia, Nigeria na South Africa vipi? Endelea kutujuza!

SB

On Sep 9, 2015 4:49 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Ulichosema kiko wazi ndugu. KANU bado inaongoza Kenya. Wamarekani walijaribu kuiondoa kwa kumsaidia laira wakakwama. Zimbabwe waingereza walijaribu kuiondoa ZANU-PF na kumbambikiza TSvangilay wakakwama. Ni hivyo hivyo kwa Tanzania mafisadi papa wanajaribu kumbambikiza Lowasa. Wengine wamemfuata tunaona wanavyotpkwa jasho kujaribu kusema hili na hili. Wamekimbia baada ya kugungua kuwa magufuli hawezi kuwaachia ardhi waliyowanyang'anya wananchi huko Mvomera au kuwaacha waendelee kumiliki ng'ombe walizokwapua Kitengure na kwingineko. Wamejikusanya wanajairbu kujifanya wanamabadiliko
> Wameshindwa tarehe 23 October siku mbili kabla ya uchaguzi.
> Elisa
> --------------------------------------------
> On Sun, 9/6/15, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Siyo lazima kubadilisha chama ili kuleta mabadiliko ya Maendeleo
> To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Sunday, September 6, 2015, 10:28 PM
>
>
>
>  Siyo
> lazima kubadilisha chama ili kuleta
> mabadiliko ya Maendeleo
>
>
>
> Dhana ya
> baadhi ya sisi Wantania ya kwamba kuondoa Mfumo wa utawala
> wa nchi ni lazima
> kubadilisha chama ili kuleta mabadiliko ya Maendeleo ya
> Kiuchumi na maisha bora
> kwa kila mwanachi siyo sahihi. Dhana hii imekuwa ikitolewa
> mfano wa Kenya na
> kwamba imeondoa tabaka la uongozi wa KANU.
>
>
>
> Kiuhalisia Kenya haijawahi kubadilisha mfumo wa Utawala ulio
> nje ya KANU. MWAI
> KIBAKI amekuwa ndani ya KANU tangu Kenya ilipopata uhuru
> mpaka mwaka 2002
> alipogombea Urais kupitia National Alliance Rainbon
> Coalition NARC. Kabla ya
> hapo alikuwa Makamu wa Rais wa serikali ya KANU ya Rais
> mstaafu DANIEL ARAP MOI.
> Rais mstaafu MWAI KIBAKI alidumu na NARC hadi 2005 ambapo
> alipokuwa akigombea
> kiti hichocha Urais 2007 alipolazimika kupitia chama cha
> PNU( Party of National
> Unity).
>
>  Pia ikumbukwe kwamba wakati MWAI
> KIBAKI akiwa
> Rais UHURU KENYATTA alikuwa mmoja wa viongozi ndani ya
> serikali hiyo. Aidha
> viongozi wengine tofauti tofauti ambao ni KANU kiundakindaki
> walikuwemo RAILA
> ODINGA . ODINGA ambaye hajawahi kuwa KANU.
>
>
>
> Mwaka 2013 UHURU KENYATTA alishinda uchaguzi kupitia chama
> cha The National
> Alliance (TNA). Hivyo mlolongo huu wa uongozi hauonyeshi
> moja kwa moja ya
> kwamba mfumo huo wa uongozi ulibadilika kutoka ule wa KANU
> kwenda kwa ambao
> walikuwa hawajapitia KANU.
>
>  Hivi sasa inaonyesha dhahiri kwamba
> KANU
> katika muonekano wa Kimataifa imerejea rasmi .Soma daily
> Nation Toleo No18384
> Pg la tarehe 11/08/2015.Uhuru's Political Party Catches up
> with him as Uganda
> army band plays him "KANU YAJENGA NCHI".
>
> Katika
> serikali hizo za mpito wakenya hawakuwahi kushawishika
> kumpata Rais aliye nje
> ya safu ya KANU pamoja na kubadilisha badilisha vyama na
> msukumo wa kutoka nje
> ya nchi bado walishikamana na kuwa wamoja katika kupata safu
> za viongozi.
>
>  RAILA ODINGA ambaye ni mpinzani wa
> kweli pale
> alipoona viongozi ambao asili yao ni wa KANU wamefanya
> vizuri alisimamia mazuri
> hayo kama raia wa KENYA haijawahi kusikika fununu yoyote
> wala uvumi wa kwamba
> alitoa fedha interms of billions ili kuupata uongozi wa
> kulazimisha,KAMA
> AFANYAVYO EDWAR LOWASA HIVI SASA HAPA TANZANIA.
>
>
>
> Ninachojifunza ni kwa,mba viongozi bora mpaka sasa, hivi ni
> wa kutoka chama
> tawala ingawaje pia wapo kwenye vyama vingine vya siasa
> .Lakini kiongozi yeyote
> aliyeonolewa na chama husika kwa kukiuka maadili ya chama
> hicho yaliyo wazi
> alafu akakimbilia chama kingine kwa lengo la kutaka kupata
> uongozi siyo kama
> mlezi wa chama hicho huyo ni MROHO WA MADARAKA.
>
>
> Nasema hivyo
> kwa sababu misingi iliyo muondoa yeye alikuwa miongoni mwa
> watu walio iandaa
> tena tena akiwa kwenye nafasi ya juu na Mkongwe.
>
>
>
> La msingi la kujifunza kutoka kwa wenzetu KENYA ni kuchukia
> RUSHWA kutumika kama
> njia ya kutupelekea kiongozi IKULU Pia atapata nini
> mwendesha bodaboda
> anayepewa mafuta na token ya Tsh elfu kumi na kuendelea , Je
> akipata ajali
> atampa pesa za matibabu ? Mimi nisiye kuwa na elimu ajira
> ninayoambiwa kuwa
> nitaipata katika ulimwengu huu wa wasomi waliojaa hadi
> kijijini kwangu kule
> Mbwinde, ajira hii nitaipataje?
>
>  Kwa wenzangu waliosoma ni dhahiri
> kwamba
> tulipofika kwa sasa ni mahali pa kudanganyana cha msingi
> tuungane pamoja kwa
> nguvu zetu zote kukemea wazi wazi viongozi wanaotumia RUSHWA
> ya fedha nyingi
> kama barabara ya kwenda IKULU. Pia tuwachukie wafadhili
> wanaotoa michango ya
> hali na mali Mabilion ya pesa kuhakikisha mlengwa wao
> anaingia ikulu.
>
>  Hawa ndiyo watakaotufanya tishe maisha
> ya
> SURVIVAL FOR FITEST, No Fit no Survive . Turudi tujitazame
> ili tugundue wapi
> tulipojikwaa tuparekebishe ili tuweze kufufua na kuendeleza
> nyayo za MWALIMU
> JULIUS K NYERERE.
>
>
>
> JOHN POMBE MAGUFULI atatufaa kwani hakutumia RUSHWA hata
> senti moja , let's
> support him ,tu

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment