Tuesday, 8 September 2015

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] NANI ANAWAFADHILI CCM, UKAWA?

Taifa ni letu sote, muhimu kufikiri Ludo.

Fadhili,
Waswahili wanasema 'Kijuto msuto kisicho kito', yaani majuto mjukuu. Tunakimbilia raha ya mara moja tunaharibu maisha ya baadaye. Uzalendo umekwisha.

Nakumbuka sana wakati ule tulipokuwa tunafundishwa 'Siasa' kama somo kuanzia Shule za Msingi hadi Sekondari. Hii ilisaidia kutujenga kizalendo maana ukichanganya na historia - siyo hizi wanazofundishwa wanetu kwa sasa - mtu unatambua umuhimu wa kuwa mzalendo kwa taifa lako.

Leo hii wamebadili 'Siasa' imekuwa 'Uraia', lakini uraia wenyewe haufundishwi katika misingi ya kuwajenga watoto kizalendo.

Matokeo yake unaona mijadala mingi vijana wanakurupuka wakitoa matusi bila hata kusoma na kutafakari. hao ndio viongozi wa kesho.

Nasi wanahabari tumeiachaka kazi yetu ya kuwa 'Watch Dogs' sasa tumekuwa ama 'Lap Dogs' au 'Guard Dogs'. Ni hatari sana. Lakini Mungu atalisimamisha taifa lake kama tukithubutu.

Daniel

2015-09-08 15:27 GMT+03:00 'tumaini bakobi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
PESA YA ESCROW NDO ZINATUMIKA MAKE BIL203 SI MCHEZO
--------------------------------------------
On Tue, 8/9/15, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] NANI ANAWAFADHILI CCM, UKAWA?
 To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 Cc: Wanazuoni@yahoogroups.com, wanabidii@googlegroups.com
 Date: Tuesday, 8 September, 2015, 15:09

 Dan

 wewe afadhali bado unafikiri.  waandishi wengi wenziyo
 wamezolewa na mafuriko
 On Sep 8, 2015 2:29
 PM, "Daniel Mbega" <mbega.daniel@gmail.com>
 wrote:
 NANI ANAWAFADHILI CCM,
 UKAWA?


 Na Daniel Mbega
 KILIO cha muda mrefu cha Watanzania ni kudumaa kwa maendeleo
 na kukua kwa tabaka la maskini kunakochangiwa na mfumo usio
 rasmi wa ufisadi uliotamalaki kiasi cha kuua maadili ya
 utumishi wa umma.
 Misingi imara iliyowekwa na waasisi wa taifa hili imevunjwa
 kwa makusudi na wale waliopewa dhamana ya uongozi, jambo
 ambalo limefanya pengo kati ya walionacho na wasionacho liwe
 kubwa zaidi.
 Japokuwa ufisadi umekuwepo kwa miaka mingi nchini, lakini
 kashfa zimewekwa hadharani katika kipindi hiki cha awamu ya
 nne ya uongozi wa Jakaya Kikwete, ambaye pamoja na kushindwa
 kutoa maamuzi magumu katika baadhi ya mambo, lakini
 amethubutu kuweka uwazi na kuacha sheria ichukue mkondo wake
 kwa baadhi ya watu waliotuhumiwa kwa kashfa mbalimbali.
 Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 25 mwaka huu kuna
 maswali mengi ya kuwauliza wanasiasa, hususan wa CCM na wale
 wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwamba fedha
 wanazofanyia kampeni wamezitoa wapi.
 Pamoja na ukweli kwamba ipo Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya
 mwaka 2010 na Sheria Namba 1
 ya Uchaguzi ya mwaka 1985,
 lakini kwa hali inavyoonekana sheria hizi hazifuatwi kwani
 dhahiri gharama zinazotumiwa na vyama hivyo ni kubwa kuliko
 sheria inavyoelekeza.Sheria ya Gharama za Uchaguzi
 inaagiza, gharama za kampeni kwa Mbunge zinapaswa kuwa Shs.
 30 milioni na zisizidi Shs. 80 milioni kulingana na ukubwa
 wa jimbo husika, na kwa upande wa kampeni za urais,
 zinapaswa zisizidi Shs. 6 bilioni.Sheria ya Gharama za Uchaguzi
 madhumuni yake ni kujenga mazingira yatakayowezesha kuwapo
 kwa uwazi zaidi katika matumizi ya fedha zitakazotengwa kwa
 ajili ya kampeni, pamoja na kudhibiti vitendo vya rushwa
 ndani ya vyama vya siasa katika uteuzi wa mgombea na
 uchaguzi wenyewe kwa ujumla.Sheria hiyo inaelezea masharti
 kuhusu fedha zitakazotumika kwa ajili ya uchaguzi, maana ya
 gharama za uchaguzi, uchaguzi ndani ya Vyama vya Siasa,
 gharama ambazo vyama vya siasa vinapaswa kutumia wakati wa
 uchaguzi, masharti kwa Vyama vya Siasa na wagombea kutoa
 taarifa kuhusu gharama zitakazotumika wakati wa
 uchaguzi.Aidha, sheria hiyo
 inazungumzia kuhusu michango au misaada inayotolewa na
 kupokewa na vyama vya siasa, kuzuia fedha kutoka nje ya nchi
 kwa ajili ya kampeni za uchaguzi, matumizi ya gharama kwa
 vyama na taasisi za kiserikali wakati wa kutoa elimu ya
 Kampeni na chaguzi za kisiasa.Tumeshuhudia jinsi chaguzi za
 ndani za kura za maoni kwa CCM na Chadema zilivyogubikwa kwa
 rushwa na kuna baadhi ya wagombea ambao walidakwa na Taasisi
 ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), wengine
 wakaenguliwa na vyama vyao kwa matukio
 hayo.Sehemu ya tano ya sheria hii
 inahusu masharti yanayokataza baadhi ya matumizi ya fedha
 kama gharama za kampeni na uchaguzi. Matumizi hayo ni yale
 yanayohusu gharama kwa vitendo vinavyozuiwa au kuwa haramu
 wakati wa kampeni na uchaguzi.Sheria inasema kila chama cha
 siasa kitagharamia kampeni za uchaguzi kwa kutumia gharama
 za uchaguzi zinazotokana na vyanzo vyake, kwa mujibu wa
 kifungu cha 8(1) cha sheria hii. Na kifungu cha 8(2)
 kimezingatia kuwa mgombea anaweza kutumia gharama zake
 mwenyewe wakati wa kampeni pale inapobidi kulingana na
 mahitaji ya kampeni zake.Sheria hii inaweka sharti la
 uwazi katika mapato na matumizi ya vyama na wagombea kwa
 ajili ya uchaguzi kabla, wakati wa uchaguzi na baada ya
 uchaguzi na katika kifungu cha 9(1), inasema: "Mgombea
 atatakiwa kutoa taarifa ya fedha alizonazo na anazotarajia
 kupata na anakusudia kuzitumia kama gharama za uchaguzi
 ndani ya siku saba (7) baada ya siku ya uteuzi. Taarifa hizo
 zitawasiliskwa kwa Katibu Mkuu wa chama kwa mgombea wa
 nafasi ya Urais na kwa mgombea wa nafasi ya Ubunge na
 Udiwani taarifa zake ataziwasilisha kwa Katibu wa Chama
 wilaya."Kila chama cha siasa
 kinachoshiriki katika uchaguzi ni lazima ndani ya siku
 thelathini (30) baada ya siku ya uteuzi wa wagombea kufanywa
 na Tume ya Uchaguzi kitoe taarifa kwa Msajili juu ya fedha
 zote ambazo kinakusudia kutumia kama gharama za uchaguzi; na
 kutumia kwa kuwadhamini wagombea wa chama hicho zikiwa ni
 kama gharama za uchaguzi.Pamoja na maelekezo hayo ya
 Sheria, lakini bado hakuna atakayekuwa na uhakika zilikotoka
 fedha hizo, zina masharti gani na ni kiasi gani hasa, kwa
 sababu naamini hakuna anayeweza kueleza kiwango halisi cha
 bajeti yake – si kwa...http://www.brotherdanny.com/2015/09/nani-anawafadhili-ccm-ukawa.html



 --
 DANIEL MBEGA
 INVESTIGATIVE JOURNALIST, BLOGGER, RESEARCHER &
 PUBLISHER
 CELL: +255 767 939 319/ +255 715 070 109
 WHAT'S APP: +255 656 331 974
 BLOGS: www.kilimohai.wordpress.com
                www.brotherdanny5.blogspot.com

 "Kama
 hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?"
 ~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es
 Salaam, 1995




 --

 Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
 'Mabadiliko'.

 Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

  

  

 For more options, visit this group at:

 http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Mabadiliko Forum" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.

 To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.

 Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.

 To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAE93EM_8LrDcb79-%3Dv627TC9-FPmpr%2BOzBLHPXWqCmMD9a9AfQ%40mail.gmail.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



--
DANIEL MBEGA
INVESTIGATIVE JOURNALIST, BLOGGER, RESEARCHER & PUBLISHER
CELL: +255 767 939 319/ +255 715 070 109
WHAT'S APP: +255 656 331 974
BLOGS: www.kilimohai.wordpress.com
               www.brotherdanny5.blogspot.com

"Kama hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?" Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam, 1995

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment