Tuesday, 8 September 2015

Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA

Mwalimu wangu Prof Kitila.
Nimesoma hoja yako. Hata hivyo nikusahihishe kwamba sina chama chochote cha siasa ninachofungamana nacho. Kama umekuwa ukifuatilia vemakwenye hoja zangu zimekuwa zikilenda kutetea maslahi ya mamilioni ya Watanzania ambao siasa zetu zimekuwa zikiwafanya maskikini ili hali watawala wachache wakitajirika kupindukia.

Nimetoa hoja kwamba hali hii inasababishwa na mfumo wa vyama vingi nchini kutofanya kazi kwa sababu vyama vya upinzani vilipaswa kuunganisha nguvu ili kuleta siasa zenye ushindani mkubwa.

Ndipo nikauliza swali ni kwa nini ACT-Wazalendo hawakujiunga na UKAWA ili vyama vya upinzani viwe na nguvu kubwa zaidi? Wewe umenijibu kwa kebehi kwamba nikaulize UKAWA. Sijui ni kwa nini unataka nikaulize UKAWA swali ambalo linapaswa kujibiwa na ACT-Wazalendo. Mwalimu ni kwa nini unataka swali linalohusu chama chako lijibiwe na UKAWA?


Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Tue, 9/8/15, Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, September 8, 2015, 9:05 AM

Dada
Ananelia,
Waingereza
wanasema 'seek truth from facts'.  Ni muhimu sana.
Mambo mengi unayoandika yamejaa hisia zisizoshabiana hata na
chembe ya ukweli. Ni vizuri ukatafuta ukweli wote kuhusu ACT
na hata mazungumzo yaliyofanyika kuhusu uwezekano wa chama
hiki kuwa sehemu ya UKAWA na kitu gani hasa
kilikwamisha-sababu za msingi na zisizo za msingi. Ongea na
makamanda wenzako ndani ya UKAWA/CDM watakwambia ukweli. Ni
muhimu sana. 
Angalizo: kwa mnaojiunga na vyama
vya siasa vya upinzani ukubwani, kuwa mwanachama wa chama
cha siasa sio lazima utetee kila kinachohusu chama chako.
Kuna mengine unakaa kimya tu. Kwa maneno mengine, kuwa
mwanachama wa chama cha siasa hakukufanyi ukapoteza uhalali
wako wa kufikiria bila kujipendekeza kwa chama. Uanachama wa
chama cha siasa sio kama ulokole ambao unakulazimisha kusema
Bwana Asifiwe kwa kila jambo lililopo katika Biblia.
Nalisema hili kwa sababu naona wanachama wapya katika vyama
vya siasa vya upinzani wanatupa kwa kasi misingi ya
kusimamia ukweli waliojijengea muda mrefu. Yaani hadi
mnawazidi 'waliokoka' siku nyingi! 
Kitila. 
Kitila

2015-09-08 8:23 GMT+03:00
De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>:
Mama Kiwasila,
Ni kweli tupu, ukisema sana wahafidhina
watakujalia hapa wamefunga kanga nusu, na matarumbeta ati
kukusuta.
Kumbe maskini ya Mungu hawaelewi muda, hawajui
faida ya uongozi, hawafikiri taifa la kesho, hawafikirii
maendeleo ya wengi, wao huamini wao ndio bora! hata
hawaelewi kwa nini tunatakiwa kuendelea, hawajui kwa nini
sie ni maskini?
Na kama wanajua hayo, si bure wameweka nafsi
yao mbele, UMIMI!!
Kinachotusumbua watu weusi ni kile kilichopo
ndani ya elimu. tunasoma kweli na kufaulu, lakini kama hiyo
elimu haikupi akili ya kujiongeza, then still workdone =
0!!! umesoma utawala, sheria, IT, e.t.c but still you cant
do logic ques.. we ni msomi wa aina gani sasa? labda wa
mitihani!!
Kama tutaendelea hivi, tutaishia kuuliza na
kusifiana "umekuwa wa ngapi?" "ana GPA
ngapi" "Amepewa Honors" n.k. lakini suluhu ya
matatizo ndani ya jamii yetu hakuna!!! tunashangilia
qualification but not quality of it in return!!!



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment