Thursday, 3 September 2015

Re: [wanabidii] GWAJIMA 'MSHENGA' NI MTUMISHI WA MUNGU KWELI?

Naomba niulize swali

Kwani hayo mambo kayafanyia kanisani au nyumbani kwake?

Kama ni masuala yake private sioni kama kuna ubaya wowote bali kama ameyafanya kanisani hapo ndio tatizo
Suala la pili kipindi cha Rais Kikwete maaskofu walitoa tamko kuwa lilikuwa chaguo la Mungu mbona hakukuwa na hoja hapo?
Kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba kama sheria imewaruhusu kupiga kura basi wawe huru kumshabikia mgombea wanaemtaka bila kulazimisha wafuasi wao

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: "'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 3 Sep 2015 14:03:12 +0000 (UTC)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] GWAJIMA 'MSHENGA' NI MTUMISHI WA MUNGU KWELI?

Flano;
Bila shaka hapa tunaelimishana ili tuwe sahihi.
Nionavyo mimi ni kwamba, hazuiwi kushiriki shughuli za Kijamii lakini zisiwe na makundi.
Kwa maana hiyo wafuasi wake sio wote CDM,hivyo lazima mtafaruku utahamia kanisani.
Na akijaribu kuwa influence waingie aliko yeye haitakuwa rahisi labda kama wote ni mbulula anaweza kuwaburuza apendavyo.
 
Reuben




On Wednesday, September 2, 2015 11:05 PM, 'Flano' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Hapana Reuben simtetei. nilikua najaribu kutoa mawazo yangukuwa Gwajima ni raia wa Tz ambaye anahaki zote za kushiriki shuguli za kiraia.

Na mm sijaona mahala kwenye biblia inamzuia mtu kushiriki shughuli za kiraia za nchi yake maadam ni halali hakiuki sheria na si dhambi. labda mweye kujua angalizo na katazo hilo kwenye neno la Mungu nami nitajifunza.

Hapa kwani shida iko kwenye tendo gani hasa alilofanya/kushiriki Gwajima? je ni kuwa mtu wa kati kati ya CDM na EL? au ni kusema maaskofu wamehongwa au kufanyaje?



'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Flano;
Hapo hujajibu hoja,unamtenganishaje Gwajima na uchungaji katika vipindi tofauti?
Kwa mana hiyo anakuwa mchungaji akiwa Kanisani tu?Baada ya hapo anaweza kuwa Jambazi au mhuni tu?Kama nimekuelewa vizuri Flano.
Tumwachie Kaizari yaliyo yake, hivi vitu havichanganyiki.
Usimtetee amekosea yeye pamoja na wengine wanaojihusisha na siasa ilhali maadili ya utume wao hayawaruhusu.
 
Reuben



On Wednesday, September 2, 2015 9:50 PM, Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com> wrote:


Wewe je
On Sep 3, 2015 6:12 AM, "'Paschal Leon' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
unapenda malumbano sana wewe?



On Thursday, September 3, 2015 2:36 AM, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Mama rwakatare ni nanii,'jibu
Lesian

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mtumishi wa Mungu hachanganyi siasa na dini. Hata Bw. Yesu aliishi kipindi cha utawala mbaya sana wa Rumi, lakini hakuingilia mambo ya siasa. Mtu wa Mungu ufalme wake ni wa Mbinguni, hapa duniani ni mgeni na mpitaji. Ni kama balozi, anayewakilisha Serikali ya Mungu hapa duniani. Balozi wa Kristo hatakiwi kuingilia mambo ya ndani ya nchi. Kazi yake ni kupatanisha Serikali ya Dunia na Serikali ya Mungu kwa:
1. Kutubu kwa ajili ya maovu yanayofanywa katika dini, siasa na serikali na kuwaonya watu wote watubu na kuacha maovu.
2. Kuwa kielelezo, mfano wa jinsi Mungu anavyotala watu wake kuishi katika maisha ya toba na kuacha uovu.
3. Kuonyesha kiwango cha Mungu cha utakatibu, bila kuwa mtu wa kulaumiwa
4. Kuwa kama barua ya Kristo inayosomwa na watu wote
5. Kuwa kioo kinachomwonyesha Kristo
6. Kuwa nuru ya ulimwengu, au taa ili kuwatoa watu katika giza la dhambi
7. Kuwa chumvi ya ulimwengu, maneno yao yakikolea munyu, kuweza kumjibu kw
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment