Mwita. Dr Slaa hana majina hayo. majina hayo anayo Gwajima. kama ulimsikiliza Dr Slaa alieleza kuwa ameambiwa na Gwajima (katika harakati za gwajima kumshawishi Slaa amkubali Lowasa) kuwa Lowasa amewahonga maaskofu 30 kati ya 34. Kwa maana hiyo kwa kuwa gwajima hakukana kumwambia Slaa maneno hayo bai orodha anayo Gwajima. Hili jambo linasaidia sana watanzania kuamua nani anawafaa kuwaongoza kama Rais na nani hafai Wanaweza kuwa wanatumiwa. Slaa anaweza kuwa hatumiwi. Baada ya kuwa hasikiki alinukuliwa akisema usalama wake ukiimarika atasema. kwa hiyo alipojitokeza wanaweza kumshangaa wasio na kumbukumbu Alikuwa anadaiwa na jamii kueleza alipo. Kumbuka mwenyekiti wake alisema amepumzika kwa muda atajitokeza tu. Kumbuka iliwahi kusemwa atajitokeza wakati wa uzinduzi. Huenda hapo Gwajima ndio alikuwa anampa ukweli wa maaskofu. Tulitarajia kitu cha kwanza Gwajima kuwastahi maaskofu angalau kwa kujibaraguza kuwa hakusema. kama alisemea nyumbani kwa Dr. Slaa
huenda hajui kama hakurekodiwa.
--------------------------------------------
On Wed, 9/9/15, Victor Mwita <victormwita@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Gwajima ana shida gani?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, September 9, 2015, 1:25 PM
Hata mm
sikumwelewa baba askofu Gwajima maana ametoa siri ambayo ni
ya kwake na familia ya Dokta Slaa. Sipendi kuchangia mada za
kisiasa ila napata tatizo na nyie watu wenye uelewa kama ww
mwandishi wa makala hii kajadili vitu sensitive kwa mrengo
wa kisiasa. Ningependa ili kuwa objective tuanze na kumuomba
Dokta Slaa awataje kwa majina maaskofu waliohongwa and then
kina Gwajima waje na maelezo yao. Tusiokoteze vitu vidogo na
kuviamplify sana na kuacha kujadili mambo muhimu.
Kwangu mm askofu Gwajima na Dokta Slaa wanatumiwa na
wanasiasa wa pande zote mbili kwa faida ya hao wanasiasa na
sio kwa faida ya Taifa.
Wanasahau kwamba kuna maisha baada ya Oktoba 25
Sent from My Ipad
On 9 Sep 2015 13:11,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Sikupata
nafasi ya kumsililiza 'Askofu' Gwajima akijibu tuhuma
zilizotolewa na Dr. Slaa. Badala yake nimesikia na kusoma
kwenye vyombo mbalimbali kuhusu alichosema.
Dr Slaa alisema mambo makubwa mawili kuhusu Gwajma:
1) Kuwa ndiye alikuwa mshenga wa Lowasa kuichumbia
CHADEMA. Wote tulikuwa tumeaminishwa na Mwewenyekiti wa
CHADEMA kuwa UKAWA ndio walimfuata Lowasa kumuomba agombee
urais kupitia CHADEMA. Baada ya Slaa kusema Gwajima alikuwa
kuwadi wa kuiomba CHADEMA imruhusu Lowasa apitie huko
kugombea urais watu wulihitaji ufafanuzi na kutaka kujua
Gwajima kama kiongozi wa dini anabakije salama akishiriki
siasa kwa undani huo
2) La pili tulilotarajia Gwajima ajibu ni kama kweli
alimwambia Slaa kuwa makanisa yanamuunga Mkono
Lowasa-Walutheri kwa kuwa yeye ni mLuteri na Wakatoliki kwa
kuwaonga maaskofu 30 kati ya 34.
Majibu ya Gwajima tena baada ya kuwasubirisha watanzania
yameishia kueleza kuwa Slaa hakuacha siasa kwa sababu ya
Lowasa bali kalazimishwa na mkewe.
Kusingekuwa na agenda ya uchaguzi; Gwajima akasema haya, hii
ingekuwa habari ya maana. Sasa watanzania tunahangaika
kushawishiana namna ya kumpata rais bora. Mgombea mmoja ana
historia ya kashfa za kupenda mali toka enzi za mwalimu
Nyerere. Slaa amekuja na 'kuchafua hali ya hewa' kwa
kuwaeleza watanzania ukweli wa mgombea huyu. Gwajima
akatarajiwa kusema lolote la maana. Anaishia kueleza habari
za raia wa kawaida (Slaa) kuwa alizuiwa na mkewe kuendelea
na Siasa. Hii inamsaidiaje mtu anayetaka kuamua kati ya
Magufuli na lowasa?
Mimi ninafikiri gwajima ana matatizo. Tena yameshika
kichwani. Jumla ya mwenendo wa Gwajima unaashiria hayo.
Josephina kumzuia Slaa kuendelea na siasa haimaanishi kuwa
Gwajima hakumwambia Slaa kuwa maaskofu walihongwa. Kwa
kutosemea hilo anaendelea kuwaweka pagumu viongozi hawa.
Nimesikia maelezo ya mmoja wao kuwa kanisa linadumu
kuchangisha. Mimi sijui sana lakini kama kanisa linadumu
kuchangisha ni lazima lijielekeze kuchangisha watu waadilifu
vinginevyo litapoteza maana halisi ya kanisa. Wako maskini
wengi waadilifu wanatosha kuyachangia makanisa. Haiwezekani
maaskofu 30 kumchangisha mtu mmoja wote bila kujua na bila
kujua kuwA SI MUADILIFU.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment