Wednesday, 9 September 2015

Re: [wanabidii] Gwajima ana shida gani?

Hata mm sikumwelewa baba askofu Gwajima maana ametoa siri ambayo ni ya kwake na familia ya Dokta Slaa. Sipendi kuchangia mada za kisiasa ila napata tatizo na nyie watu wenye uelewa kama ww mwandishi wa makala hii kajadili vitu sensitive kwa mrengo wa kisiasa. Ningependa ili kuwa objective tuanze na kumuomba Dokta Slaa awataje kwa majina maaskofu waliohongwa and then kina Gwajima waje na maelezo yao. Tusiokoteze vitu vidogo na kuviamplify sana na kuacha kujadili mambo muhimu.
Kwangu mm askofu Gwajima na Dokta Slaa wanatumiwa na wanasiasa wa pande zote mbili kwa faida ya hao wanasiasa na sio kwa faida ya Taifa.
Wanasahau kwamba kuna maisha baada ya Oktoba 25

Sent from My Ipad

On 9 Sep 2015 13:11, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Sikupata nafasi ya kumsililiza 'Askofu' Gwajima akijibu tuhuma zilizotolewa na Dr. Slaa. Badala yake nimesikia na kusoma kwenye vyombo mbalimbali kuhusu alichosema.
Dr Slaa alisema mambo makubwa mawili kuhusu Gwajma:
1)      Kuwa ndiye alikuwa mshenga wa Lowasa kuichumbia CHADEMA. Wote tulikuwa tumeaminishwa na Mwewenyekiti wa CHADEMA kuwa UKAWA ndio walimfuata Lowasa kumuomba agombee urais kupitia CHADEMA. Baada ya Slaa kusema Gwajima alikuwa kuwadi wa kuiomba CHADEMA imruhusu Lowasa apitie huko kugombea urais watu wulihitaji ufafanuzi na kutaka kujua Gwajima kama kiongozi wa dini anabakije salama akishiriki siasa kwa undani huo

2)      La pili tulilotarajia Gwajima ajibu ni kama kweli alimwambia Slaa kuwa makanisa yanamuunga Mkono Lowasa-Walutheri kwa kuwa yeye ni mLuteri na Wakatoliki kwa kuwaonga maaskofu 30 kati ya 34.

Majibu ya Gwajima tena baada ya kuwasubirisha watanzania yameishia kueleza kuwa Slaa hakuacha siasa kwa sababu ya Lowasa bali kalazimishwa na mkewe.
Kusingekuwa na agenda ya uchaguzi; Gwajima akasema haya, hii ingekuwa habari ya maana. Sasa watanzania tunahangaika kushawishiana namna ya kumpata rais bora. Mgombea mmoja ana historia ya kashfa za kupenda mali toka enzi za mwalimu Nyerere. Slaa amekuja na 'kuchafua hali ya hewa' kwa kuwaeleza watanzania ukweli wa mgombea huyu. Gwajima akatarajiwa kusema lolote la maana. Anaishia kueleza habari za raia wa kawaida (Slaa) kuwa alizuiwa na mkewe kuendelea na Siasa. Hii inamsaidiaje mtu anayetaka kuamua kati ya Magufuli na lowasa?

Mimi ninafikiri gwajima ana matatizo. Tena yameshika kichwani. Jumla ya mwenendo wa Gwajima unaashiria hayo. Josephina kumzuia Slaa kuendelea na siasa haimaanishi kuwa Gwajima hakumwambia Slaa kuwa maaskofu walihongwa. Kwa kutosemea hilo anaendelea kuwaweka pagumu viongozi hawa. Nimesikia maelezo ya mmoja wao kuwa kanisa linadumu kuchangisha. Mimi sijui sana lakini kama kanisa linadumu kuchangisha ni lazima lijielekeze kuchangisha watu waadilifu vinginevyo litapoteza maana halisi ya kanisa. Wako maskini wengi waadilifu wanatosha kuyachangia makanisa. Haiwezekani maaskofu 30 kumchangisha mtu mmoja wote bila kujua na bila kujua kuwA SI MUADILIFU.

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

    Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

   Everyone posting to this Forum bears the sole
  responsibility

   for any legal consequences of his or her postings, and
  hence

   statements and facts must be presented responsibly.
  Your

   continued membership signifies that you agree to this

   disclaimer and pledge to abide by our Rules and

   Guidelines.

   ---

   You received this message because you are subscribed to
  the

   Google Groups "Wanabidii" group.

   To unsubscribe from this group and stop receiving
  emails

   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

   For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

   --

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya

   kudhibitisha ukishatuma

  statements and facts must be presented responsibly. Your

  To unsubscribe from this group and stop receiving emails

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment