Dada Nkya;
Hayo maneno mingi mingi inatoka wapi?
Mi sikutishi, ninachokuambia ni kwamba utakuwa na maelezo mengi ya kushawishi nikuamini kwamba ni yuleyule Nkya niliyemfahamu siku zote,sio kwamba nakutisha umeelewa tofauti.
Sorry for that kama nilikuwa nimeandika kwa kumaanisha ulichoelewa.
Reuben
On Wednesday, September 9, 2015 10:53 PM, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
WATANZANIA wengi hata humu hawana uanachama wa kadi toka chama chochote ,nilizani hiyo ni sifa tosha kusema hawafungamani na chama chochote.KUSHABIKIA chama fulani ooh yeah mtu anaweza kukunwa na mambo ya chama fulani na pengine mtu wa chama fulani na ndo hivyo msimlazimishe bi mkubwa kisa hoja zake haziendani na matakwa yenu.--On Sep 9, 2015 2:40 PM, "'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Reuben,
This is the same Ananilea Nkya you think to know but you do not know her very well. This is Ananilea Nkya , one of few Tanzanians with courage to talk and produce literature about political issues which elite and their cronies are not ready to pay attention to--the literature which shows why political elite and their cronies are stinking rich while majority citizens are languishing in poverty. You like it or not-- you will continue to see my posts in this forum. By the way for me writing is my hobby and profession. It costs me nothing. I feel so happy to share my knowledge because I am not a selfish person. So you better keep quiet or stop reading my posts rather than blaming me why I am writing because you are not forced to read my writings. By the way Tanzania does not belong to you alone; it belongs to all Tanzanians including me. Hence, as a citizen of our beautiful country, I have the right and obligation to
contribute as much as I can to the political debates during this year's election whether I belong to a political party or not.
Therefore, if you think you can stop me writing in here—you are just cheating yourself because I am very focused.
Muhimu watishe wanaotishika kwa kuwapakazia kuwa wana wagombea wanawashabikia au vyovyote vile lakini kwa Ananilea Nkya—umekwaa jiwe gumu— maana siyumbishwi na SIDANGANYIKI.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Wed, 9/9/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, September 9, 2015, 7:24 PM
Madam Nkya;
I told you recently that,this kengeuko will
cost you a lot of literature to free you out of the position
you are now keeping yourself.
It's not
easy to prove beyond us that,you are the same
Ananilea!!??
Sent from my
Huawei Mobile
fadhil fadhil
<fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiii mama nkya
unqnifurahisha sana unanikumbusha hadithi ya mbuni ya
kufunikia kichwa kwenye mchanga na kuuacha mwili wote wote
huru.
Kitendo cha kuhuburi mabadiliko na huku unaogopa kuweka
hisia zako wazi ingawa tunakufahamu tangu ukiwa Tamwa
unatuonyesha kuwa huna uhakika na mgombea wako kushinda
uchaguzi ndio maana unataradadi. Pole sana lkn ukweli
humuweka mtu huru.
On Sep 9, 2015 6:43 PM,
"'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Asante
Mahfudh kwa kusoma hoja zangu.
Ninarudia kusema sina chama cha siasa ninachofungamana nacho
na hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kunilazimisha kujiunga
na chama cha siasa.
Sihitaji kuwa mwanachama wa chama cha siasa ndipo niweze
kutimiza wajibu wangu wa kutetea maslahi ya mamilioni ya
Watanzania wakiwepo wana CCM wanaoteseka kwa umaskini huku
watu wachache wanaonufaika na mfumo wa utawala
uliotengenezwa na serikali ya CCM wakiwa matajiri wa kutupa
kwa kujigawia fedha na rasilimali za nchi yetu.
Raia makini wa Tanzania si lazima awe mwanachama wa
chama siasa ndipo aweze kuitumikia nchi yake kwa
kufanya uchambuzi wa masuala ya maendeleo yanayogusa
mamilioni ya wananchi w ataifa lake.
Mtanzania ambaye haijamuingia akilini kwamba mamilioni ya
Watanzania wamechoka na umaskini na hivyo wanataka
mabadiliko ya uongozi wa nchi yao, huyo atakuwa
anajidanganya na asubiri tarehe 25 Oktoba mwaka huu 2025,
kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki watasikia sauti ya
mamilioni ya watu maskini inasema nini.
Zaidi baadhi ya mamilioni ya Watanzania wanaotaka
mabadiliko wengi wao hawana vyama vya siasa wanavyofungamana
navyo maana hata fedha za kununua kadi ya chama cha siasa
hawana na hata hao baadhi waliobahatika kuwa wanachama wa
vyama vya siasa wamebaki kuwa mafukara wa kutupa pia maana
wanaonufaika na nchi ni watawala wachache.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Wed, 9/9/15, Mahfudh Mbeshezi <mnassor@live.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, September 9, 2015, 2:44 PM
Dada Ananilea, punguza
hasira kidogo, swala la kusema huna chama ni la kutia
shaka.
Sababu ni human nature kukiwa na pande mbili basi roho
yako
itapenda upande mmoja, nasi dhambi kufanya hivyo. Na
jinsi
unavyojibu hoja unaonyesha kabisa upande ulipo, hii si
vibaya hata kidogo.
Vilevile kusema
mabadiliko hayaepukiki uhakika huu wewe unautoa wapi?
Au
mwenzetu kuna research umefanya yenye uhakika wa
mabadiliko?
Au ndo by the ballot or the bullet changes must come?
(Mungu
pishia mbali haya) Punguza jazba dada
> On Sep 9, 2015, at 12:36
PM, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Fadhili
ninarudia kukueleza kuwa sina chama cha siasa
ninachofungamana nacho. Niko upande wa mamilioni ya
Watanzania wanaoteseka kwa umaskini ili hali watawala
wachache wa wakiwa matajiri wa kukufuru. Watanzania
hao
maskini hata kama baadhi yao ni wanachama wa CCM lakini
siyo
sehemu ya watawala wa CCM wanaonufaika na fedha na
rasilimali za nchi yetu. Kama huelewi huo uchambuzi
basi
ishia hapo endelea kung'ang'ania msimamo wako
mimi
nasonga mbele kuhamasisha mabadiliko ya kubadilisha
uongozi
wa nchi ili mfumo uliojengwa na CCM kutajirisha
watawala
wachache na kuwaacha mamilioni ya wananchi wakiwa
mafukara
ukomeshwe kwa kura ya wananchi kuikataa CCM hapo tarehe
25
Oktoba mwaka huu 2015. Mabadiliko hayaepukiki. Subiri.
>
> Ananilea Nkya
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>
--------------------------------------------
> On Wed, 9/9/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
>
> Subject:
Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
> To:
wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, September 9, 2015, 4:34
AM
>
> Mama nkya hata
kama
> hauna chama lkn maandiko yako
yanakuweka wazi umesimamia
> wapi.
Usiogope kusema wewe ni chadema au ukawa kama
> maandishi yako yanavyoonyesha utakuwa
unajiumiza bure na
> kujinyima uhuru
wakati ukweli humuweka mtu huru. Hakuna
>
atakayekulaum kwa kua upo chama fulani isipokuwa hapa
> tunashindana kwa kujenga hoja n si
vinginevyo.
> On Sep 8, 2015 4:24 PM,
> "'ananilea nkya' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> Mwalimu
> wangu Prof Kitila.
>
> Nimesoma hoja yako. Hata hivyo
nikusahihishe kwamba sina
> chama
chochote cha siasa ninachofungamana nacho. Kama
> umekuwa ukifuatilia vemakwenye hoja zangu
zimekuwa zikilenda
> kutetea maslahi ya
mamilioni ya Watanzania ambao siasa
>
zetu zimekuwa zikiwafanya maskikini ili hali watawala
> wachache wakitajirika kupindukia.
>
>
>
> Nimetoa hoja
kwamba hali hii inasababishwa na mfumo wa
> vyama vingi nchini kutofanya kazi kwa
sababu vyama vya
> upinzani vilipaswa
kuunganisha nguvu ili kuleta siasa zenye
> ushindani mkubwa.
>
>
>
> Ndipo nikauliza swali ni kwa nini
ACT-Wazalendo hawakujiunga
> na UKAWA
ili vyama vya upinzani viwe na nguvu kubwa zaidi?
> Wewe umenijibu kwa kebehi kwamba nikaulize
UKAWA. Sijui ni
> kwa nini unataka
nikaulize UKAWA swali ambalo linapaswa
> kujibiwa na ACT-Wazalendo. Mwalimu ni
kwa nini unataka
> swali linalohusu
chama chako lijibiwe na UKAWA?
>
>
>
>
>
> Ananilea Nkya
>
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>
>
>
--------------------------------------------
>
> On Tue, 9/8/15,
Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
> Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA
KAJICHAFUA
>
> To:
"wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date: Tuesday,
September 8, 2015, 9:05 AM
>
>
>
> Dada
>
> Ananelia,
>
> Waingereza
>
> wanasema 'seek truth from
facts'. Ni muhimu
> sana.
>
> Mambo mengi
unayoandika yamejaa hisia zisizoshabiana hata
> na
>
> chembe ya ukweli. Ni vizuri ukatafuta
ukweli wote kuhusu
> ACT
>
> na hata mazungumzo
yaliyofanyika kuhusu uwezekano wa
>
chama
>
> hiki kuwa
sehemu ya UKAWA na kitu gani hasa
>
> kilikwamisha-sababu za msingi na zisizo
za msingi. Ongea
> na
>
> makamanda wenzako
ndani ya UKAWA/CDM watakwambia ukweli.
>
Ni
>
> muhimu sana.
>
> Angalizo: kwa
mnaojiunga na vyama
>
> vya siasa vya upinzani ukubwani, kuwa
mwanachama wa
> chama
>
> cha siasa sio
lazima utetee kila kinachohusu chama
>
chako.
>
> Kuna
mengine unakaa kimya tu. Kwa maneno mengine, kuwa
>
> mwanachama wa
chama cha siasa hakukufanyi ukapoteza
>
uhalali
>
> wako wa
kufikiria bila kujipendekeza kwa chama. Uanachama
> wa
>
> chama cha siasa sio kama ulokole ambao
unakulazimisha
> kusema
>
> Bwana Asifiwe kwa
kila jambo lililopo katika Biblia.
>
> Nalisema hili kwa sababu naona wanachama
wapya katika
> vyama
>
> vya siasa vya upinzani wanatupa kwa
kasi misingi ya
>
>
kusimamia ukweli waliojijengea muda mrefu. Yaani hadi
>
> mnawazidi
'waliokoka' siku nyingi!
>
> Kitila.
>
> Kitila
>
>
>
> 2015-09-08 8:23 GMT+03:00
>
> De kleinson kim
<dekleinson@gmail.com>:
>
> Mama Kiwasila,
>
> Ni kweli tupu,
ukisema sana wahafidhina
>
> watakujalia hapa wamefunga kanga nusu,
na matarumbeta
> ati
>
> kukusuta.
>
> Kumbe maskini ya Mungu hawaelewi muda,
hawajui
>
> faida
ya uongozi, hawafikiri taifa la kesho,
>
hawafikirii
>
>
maendeleo ya wengi, wao huamini wao ndio bora! hata
>
> hawaelewi kwa nini
tunatakiwa kuendelea, hawajui kwa
>
nini
>
> sie ni
maskini?
>
> Na
kama wanajua hayo, si bure wameweka nafsi
>
> yao mbele,
UMIMI!!
>
>
Kinachotusumbua watu weusi ni kile kilichopo
>
> ndani ya elimu.
tunasoma kweli na kufaulu, lakini kama
>
hiyo
>
> elimu
haikupi akili ya kujiongeza, then still workdone
> =
>
> 0!!! umesoma utawala, sheria, IT, e.t.c
but still you
> cant
>
> do logic ques.. we ni msomi wa aina
gani sasa? labda wa
>
> mitihani!!
>
> Kama tutaendelea hivi, tutaishia kuuliza
na
>
> kusifiana
"umekuwa wa ngapi?" "ana GPA
>
> ngapi"
"Amepewa Honors" n.k. lakini suluhu
> ya
>
> matatizo ndani ya jamii yetu hakuna!!!
tunashangilia
>
>
qualification but not quality of it in return!!!
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma
Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> Utapata
Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the
sole
> responsibility
>
> for any legal
consequences of his or her postings, and
> hence
>
> statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>
> continued membership signifies that
you agree to this
>
> disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
>
>
Guidelines.
>
>
>
> ---
>
>
>
> You received this
message because you are subscribed to
>
the
>
Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
> To unsubscribe from this group and stop
receiving
> emails
>
> from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
> For more options,
visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma
Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
> Everyone posting
to this Forum bears the sole
>
responsibility
>
>
for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
>
> statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>
> continued membership signifies that
you agree to this
>
> disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
>
>
Guidelines.
>
>
>
> ---
>
>
>
> You received this
message because you are subscribed to
>
the
>
Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
> To unsubscribe from this group and stop
receiving
> emails
>
> from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
> For more options,
visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her
postings, and hence
> statements and
facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you
agree to this
> disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this
message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii"
group.
>
> To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
> kudhibitisha

Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility for any legal consequences of his or
her
postings, and hence statements and facts must be
presented
responsibly. Your continued membership signifies that
you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are
subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.
> To unsubscribe from this group
and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer
and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send
an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment