Dada Ananilea, hicho kitidhp, si uaply sheria ya mitandao tu.Unamuones hurums wa nini huyo? Mtu anaingiliaje Uhuru wa mtu?
SB
On Sep 9, 2015 6:43 PM, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Asante Mahfudh kwa kusoma hoja zangu.
>
> Ninarudia kusema sina chama cha siasa ninachofungamana nacho na hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kunilazimisha kujiunga na chama cha siasa.
>
> Sihitaji kuwa mwanachama wa chama cha siasa ndipo niweze kutimiza wajibu wangu wa kutetea maslahi ya mamilioni ya Watanzania wakiwepo wana CCM wanaoteseka kwa umaskini huku watu wachache wanaonufaika na mfumo wa utawala uliotengenezwa na serikali ya CCM wakiwa matajiri wa kutupa kwa kujigawia fedha na rasilimali za nchi yetu.
>
> Raia makini wa Tanzania si lazima awe mwanachama wa chama siasa ndipo aweze kuitumikia nchi yake kwa kufanya uchambuzi wa masuala ya maendeleo yanayogusa mamilioni ya wananchi w ataifa lake.
>
> Mtanzania ambaye haijamuingia akilini kwamba mamilioni ya Watanzania wamechoka na umaskini na hivyo wanataka mabadiliko ya uongozi wa nchi yao, huyo atakuwa anajidanganya na asubiri tarehe 25 Oktoba mwaka huu 2025, kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki watasikia sauti ya mamilioni ya watu maskini inasema nini.
>
> Zaidi baadhi ya mamilioni ya Watanzania wanaotaka mabadiliko wengi wao hawana vyama vya siasa wanavyofungamana navyo maana hata fedha za kununua kadi ya chama cha siasa hawana na hata hao baadhi waliobahatika kuwa wanachama wa vyama vya siasa wamebaki kuwa mafukara wa kutupa pia maana wanaonufaika na nchi ni watawala wachache.
>
>
>
>
> Ananilea Nkya
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
> --------------------------------------------
> On Wed, 9/9/15, Mahfudh Mbeshezi <mnassor@live.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, September 9, 2015, 2:44 PM
>
> Dada Ananilea, punguza
> hasira kidogo, swala la kusema huna chama ni la kutia shaka.
> Sababu ni human nature kukiwa na pande mbili basi roho yako
> itapenda upande mmoja, nasi dhambi kufanya hivyo. Na jinsi
> unavyojibu hoja unaonyesha kabisa upande ulipo, hii si
> vibaya hata kidogo.
> Vilevile kusema
> mabadiliko hayaepukiki uhakika huu wewe unautoa wapi? Au
> mwenzetu kuna research umefanya yenye uhakika wa mabadiliko?
> Au ndo by the ballot or the bullet changes must come? (Mungu
> pishia mbali haya) Punguza jazba dada
>
>
> > On Sep 9, 2015, at 12:36
> PM, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> >
> > Fadhili
> ninarudia kukueleza kuwa sina chama cha siasa
> ninachofungamana nacho. Niko upande wa mamilioni ya
> Watanzania wanaoteseka kwa umaskini ili hali watawala
> wachache wa wakiwa matajiri wa kukufuru. Watanzania hao
> maskini hata kama baadhi yao ni wanachama wa CCM lakini siyo
> sehemu ya watawala wa CCM wanaonufaika na fedha na
> rasilimali za nchi yetu. Kama huelewi huo uchambuzi basi
> ishia hapo endelea kung'ang'ania msimamo wako mimi
> nasonga mbele kuhamasisha mabadiliko ya kubadilisha uongozi
> wa nchi ili mfumo uliojengwa na CCM kutajirisha watawala
> wachache na kuwaacha mamilioni ya wananchi wakiwa mafukara
> ukomeshwe kwa kura ya wananchi kuikataa CCM hapo tarehe 25
> Oktoba mwaka huu 2015. Mabadiliko hayaepukiki. Subiri.
> >
> > Ananilea Nkya
> > E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
> >
> >
> --------------------------------------------
> > On Wed, 9/9/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
> wrote:
> >
> > Subject:
> Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
> > To:
> wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Wednesday, September 9, 2015, 4:34
> AM
> >
> > Mama nkya hata
> kama
> > hauna chama lkn maandiko yako
> yanakuweka wazi umesimamia
> > wapi.
> Usiogope kusema wewe ni chadema au ukawa kama
> > maandishi yako yanavyoonyesha utakuwa
> unajiumiza bure na
> > kujinyima uhuru
> wakati ukweli humuweka mtu huru. Hakuna
> >
> atakayekulaum kwa kua upo chama fulani isipokuwa hapa
> > tunashindana kwa kujenga hoja n si
> vinginevyo.
> > On Sep 8, 2015 4:24 PM,
> > "'ananilea nkya' via
> Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> > wrote:
> > Mwalimu
> > wangu Prof Kitila.
> >
>
> > Nimesoma hoja yako. Hata hivyo
> nikusahihishe kwamba sina
> > chama
> chochote cha siasa ninachofungamana nacho. Kama
> > umekuwa ukifuatilia vemakwenye hoja zangu
> zimekuwa zikilenda
> > kutetea maslahi ya
> mamilioni ya Watanzania ambao siasa
> >
> zetu zimekuwa zikiwafanya maskikini ili hali watawala
> > wachache wakitajirika kupindukia.
> >
> >
> >
> > Nimetoa hoja
> kwamba hali hii inasababishwa na mfumo wa
> > vyama vingi nchini kutofanya kazi kwa
> sababu vyama vya
> > upinzani vilipaswa
> kuunganisha nguvu ili kuleta siasa zenye
> > ushindani mkubwa.
> >
>
> >
> >
> > Ndipo nikauliza swali ni kwa nini
> ACT-Wazalendo hawakujiunga
> > na UKAWA
> ili vyama vya upinzani viwe na nguvu kubwa zaidi?
> > Wewe umenijibu kwa kebehi kwamba nikaulize
> UKAWA. Sijui ni
> > kwa nini unataka
> nikaulize UKAWA swali ambalo linapaswa
> > kujibiwa na ACT-Wazalendo. Mwalimu ni
> kwa nini unataka
> > swali linalohusu
> chama chako lijibiwe na UKAWA?
> >
> >
> >
> >
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment