Slaa akae kimya tu afanye yake kwani ukibishana na kichaa nawe utaonekana kichaa au mwenda wazimu. Kwanza-Heri ya kichaa kuliko mwenda wazimu.
Ufike wakati sasa Nchi za Kiafrika zikubali kuaibisha viongozi wao mafisadi au wauaji kwa kuwashitaki na kuwafunga pale wanapokosea.Tusitumie uafrika wetu kuoneana huruma na kufichiana siri. Hii ndio inayotokea. Kumuomba ajiudhuru au akatae ashitakiwe. Anakubali kujiudhuru na kusamehewa makosa lakini hafirisiwi mali. Hili ni kosa kubwa. Matokeo yake ya kulindanaism disease ndio haya kibaka au fisadi (aliyetuhumiwa) kusema-kama aliiba wana vidhibiti vya Richmond, Escrow etc mbona hawakunishitaki, wavitoe sasa etc. Wanainchi nao njaa tupu akitoka kwenye cheo na kujiuzuru au kutoka mahakamani wanajaa na kumpokea kwa shangwe (Fisadi) kwa maandamano. Leo nao wanatetea-kama fisadi mbona hawakumshitaki; wengine Fisadi hatumchagui. wasomi na wasio wasomi wote nduma kuwili. Leo unamuandika gazetini, vitabuni suala la Richmond, Escrow, Meremeta etc kama ni aina za ufisadi unapofundisha Uchumi na Political Science kesho-unamkumbatia unakuwa nae katika chama hicho
kama mgombea mwenza au kiongozi mwenza.
Kichekesho cha Siasa- Hata kama alikumwagia tindikali, alikutukana enzi hizo au ulimtukana kutokana na ufisadi-unamsaheme kama chama tawala kilivyomsamehe kwa sababu kibao alipoiba mali ya umma (kulinda hadhi, tusiaibishe chama, kulinda kura jimbo lake tutazikosa tukimfunga). Ndio haya yanayoacha uchumi unaangamia. Unaona kabisa aliyepewa kiwanda cha urafiki kuzalisha nguo ameweka eneo la kiwanda kuwa yard ya magari, mahala pa kukodisha frame za maduka hakuna kinachozalishwa karne. hakuna linalofanywa. Tunataka Rais ajae atume tume ya wasomi hawahawa wanaolalama wapite kuangalia viwanda vyote vilivyobinafsishwa, na mashamba waone kulikoni. wafanye auditing ya kuona mapatto au kama hakuna mashambwa hayalimwi au kiwanda kitupu-kungeingia hela kiasi gani baada ya grace period ambayo ingekuwa kodi serikali ingepata? Basi wamtoze kodi, wamfirisi mali kufidia mapato yale kisha wamnyang'anye. Bora kumpa mchina mwekezaji mgeni azalishe kwa kuzingatia sheria
zote husika (sio auze nyama ya punda kinyesi atoiririshe barabarani) ili nchi ipate income. Watanzania waliopewa maeneo ya viwanda hawaajjenga wanahati walichukua mikopo ya uwekezaji nao ngoma hiyo hiyo. Waliohamia majumba ya kota za mamlaka mbali mbali wakajenga nyumba nzuri wamekaa na wanalima mashamba waamue waunde kikundi cha wajasiriamali walime mazao ya kuingiza kipato au waondoke wapewe wawekezaji.
Serikali inapoteza pesa nyingi hata za kulipa fidia kwani-imewaachia watu wamekaa karne na kujenga makazi ya kudumu, kupanda mazao ya kudumu katika estate farms (NARCO, NAFCO, Mamlaka ya katani, pamba, Korosho, kahawa, Minazi, Uvuvi; vyuo vilivyokufa etc) na wavamizi wa barabara na maeneo wazi yaliyopimwa for public use na majengo ya DDC zamani. Sheria ya fidia ya World Bank na IMF watoao mikopo na donor wengine kwa uzembe wako-UTAMLIPA. Uzembe wako ndio umefanya akae pale alete matatizo hayo mwekezaji ajae halipi yeye ni wewe serikali -UTAMLIPA. Hivyo ramani yako inaonyesha una mashamba kadhaa na beacons zilipo na siku hizi kuweka GPS yake. lakini hufiki unakuta majengo, mazao na mwekezaji umeshampata anaingia na matreka alime-unalipa fidia, hawaondoki karne hubomoi nao wanauza kuwapa wengine (utapeli) unalipa. Mwekezahi akitaka waondoke-wanamchomea magari na nyumba-ugomvi na siasa za pumba zinaanza kuwa wananchi tunaonewa. Haya yote yanarudhisha nyuma
nchi tupo pale pale penye kulalama na umasikini lakini hatuzingatii sheria. Kakosea, onyo, kaendelea kamata funga, lipisha. Mbona nchi nyingine Rais anaachia ngazi na anafungwa? Hapa waziri, mbunge anaendelea kula keki na ulinzi anapewa na anahama chama anatukana-analindwa na posho ya GVT anapewa. Tumelogwa?
Viongozi wastahafu na wahamahama vyama na wagombea kwa sasa wanajiaibisha wenyewe kwa kulumbana kwa misuto. Tumechoka na pumba zao, utoto na ujinga. Tunachotaka ni masuala ya hoja tekelezeka-utafanya nini ukizingatia pia uhalisia wa sera za maendeleo sekta zote nchini na za nchi za nje (donors wetu) na mikataba ya kimataifa tuliyotia sahii. Utaboresha sera, mikakati na sheria zipi? Sio huyu akisema elimu bure mpaka form four wewe unakuja-bure mpaka university eti nchi ina raslimali nyingiMbona nchi zilizoendelea hakuna bure mashine ya kutoa risiti mpaka kwa muuza mchicha mtaani? Wewe wawekezaji wazara kampuni zao ajira tatizo na salaries zipo chini ya zile za serikali. uwekezaji ni soda za rangi na mitumba na vyumba chakavu vinavyomaliza vyuma vya madaraja, mifuniko ya sewerage system na mabomba ya maji (handpumps) ndio utafanya kila kitu bure? Pumba na ujinga kuacha hawa wagombea waendelee kulumbana wakiendelea na ahadi za kitoto wananchi wahame
mkutanoni waondoke labda akili itawajia ya kuacha utoto wao. Ukitaka mpumbavu aache upumbavu-usijibizane nae mwishoni atajitambua kuwa hana audience ataacha ujinga. Ni bora Slaa nae akae kimya tu.
--------------------------------------------
On Mon, 7/9/15, Samuel Wangwe <swangwe@repoa.or.tz> wrote:
Subject: RE: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, 7 September, 2015, 21:58
Hivi ule ushahidi ambao chadema
ilisema inao kuhusu ufisadi wa Lowasa ulienda wapi?
Walimtuhumu wakasema kama anaona anasingiziwa aende
mahakamani. Hakwenda. Ule ushahidi waliokuwa nao nani
anaweza kuutoa?
________________________________________
From: wanabidii@googlegroups.com
[wanabidii@googlegroups.com]
Sent: 07 September 2015 21:45
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
Ndugu Mbaga jiulize kama Lowassa ni fisadi wa Richmond
ni kwa nini serikali ya CCM haijampeleka mahakamani?
Lakini hoja muhimu zaidi kwa sasa ni kwamba ni
rahisi kumdhibiti fisadi mmoja kuliko Chama ambacho
serikali yake ikiingia madarakani inakumbatia mifumo
inayoasisi ufisadi unaotajirisha watawala wachache
huku mamilioni ya wananchi wakibaki masikini.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Mon, 9/7/15, emmbaga <emmbaga@hotmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, September 7, 2015, 6:37 PM
Waliotajirika na hicho unachoita sera za Ccm ndio hao
wamehamia Chadema baada ya kushtukiwa Ccm na ku fyekwa!!!
sasa kama baada ya kuhamia Cdm sakakafu ya moyo wako
inakuelekeza kua wamegeuka malaika. do!!! Mama
unahitaji
kuombewa!!!
ernest
Sent from Samsung
mobile
'ananilea nkya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mike nakubali hoja yako.
Tukirudi nyuma na kuangalia historia --jinsi
ACT-Wazalendo
ilivyoanzishwa--na nini kilikuwa kimetokea nchini ndipo
chama hiki kikaanzishwa--utaona kuna maswali mwengi
yanayohitaji majibu kwa watu makini ambao
wanaweka mbele maslahi ya mamilioni ya Watanzania
wanaoteseka kwa umaskini . Nilimuuliza maswali kibao
humu
jukwaani mwalimu Prof Kitila hadi leo hajanijibu.
Bila kumumunya maneno, ingawa uhuru wa demokrasia ni haki,
ninaona ni kosa kubwa tena la kusaliti wananchi kama
yupo
mwanasiasa anayejinasibu kuwa ni mpinzani lakini
hakubali
kuwa bilMike nakubali hoja yako. Tukirudi
nyuma na
kuangalia historia --jinsi
ACT-Wazalendo ilivyoanzishwa--na nini kilikuwa
kimetokea
nchini ndipo chama hiki kikaanzishwa--utaona kuna
maswali
mwengi yanayohitaji majibu kwa watu makini ambao
wanaweka
mbele maslahi ya mamilioni ya Watanzania wanaoteseka kwa
umaskini . Nilimuuliza maswali
kibao humu jukwaani mwalimu Prof Kitila
hadi leo
hajanijibu.
Bila kumumunya maneno, ingawa uhuru wa demokrasia ni haki,
ninaona ni kosa kubwa tena la kusaliti wananchi kama
yupo
mwanasiasa anayejinasibu kuwa ni mpinzani lakini
hakubali
kuwa bila nguvu kubwa
ya pamoja ya vyama vya
upinzani, CCM itaendelea kubaki
madarakani kuendelea na sera zake za
kutajirisha watawala
wachache huku mamilioni ya Watanzania wakibaki masikini wa
kutupa.
Binafsi kwa ukweli kutoka uvungu wa moyo wangu, ninaona
ACT-Wazalendo kwa kukataa kuungana na UKAWA, kama
alivyosema
Mwalimu Lwaitama, ni kwamba wamekubali kuiunga mkono
CCM--wananchi wateseke watawala waendelee kuwa
matajiri wa
kutisha kwa kutumia mali za
umma.
a nguvu kubwa ya pamoja ya vyama vya
upinzani, CCM
itaendelea kubaki madarakani kuendelea na sera zake za
kutajirisha watawala wachache huku mamilioni ya Watanzania
wakibaki masikini wa kutupa.
Binafsi kwa ukweli kutoka uvungu wa moyo wangu, ninaona
ACT-Wazalendo kwa kukataa kuungana na UKAWA, kama
alivyosema
Mwalimu Lwaitama, ni kwamba wamekubali kuiunga mkono
CCM--wananchi wateseke watawala waendelee kuwa
matajiri wa
kutisha kwa kutumia mali za
umma.
Aidha matendo ya wanaojitambulisha kuwa ni wanachama
wa
ACT -Wazalendo mfano Ludo yanatia mashaka makubwa
maana
CCM ikiguswa kidogo tu utadhani Ludo ni nani sijui huko
CCM
anakuwa kama vile kaumwa na siafu vile.
Wenye akili zao wanaona mkakati wa kuzuia wananchi
wasifanye mabadiliko ya uongozi hapo tarehe 25 Oktoba 2015
siyo tu unatumia watu kama Dr Slaa bali pia
vyama
ambavyo viko nje ya UKAWA. Tusubiri hadi siku ya uchaguzi
tutaona na kusikia mengi.
Lakini la msingi ni kwamba mabadiliko ni
lazima.
Hayazuiliki tena.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Mon, 9/7/15, 'Mike Zunzu' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, September 7, 2015, 12:20 PM
Hatua ya
kuunda ukawa iko sahihi , na itakuwa sahihi daima,
kadiuri
muda unavyokwenda watu watazidi kuingiwa na ufahamu
kuwa
kwenye vyama vingi vidogo vidogo havina manufaa,
bali
ni
kuwatengenezea njia waliopo madarakini, maana, mara
hata
kupata mubunge mmoja wakati mwingine inatokea. Hebu
ona
uchaguzi uliopota kuna vya vilipata 0.0x%, maana
yake
nini,
si afadhali hata hivyo vyama vidogo vingeliungana na
kupata
chama cha size ya kati.Ni hivyo hivyo hata vyama kama
ACT,
ni
muujiza gani utaotokea washinde urais, heri hata nao
wangelifanya juhudi kuvutia vyama vingine ili japo
wasogee
mbele, yaani kuwe angalau na vyama vitatu vinavyo
sound.
Natambua
uhuru wako wa kutoa maoni yako, lakini vipi mbona
jicho
latizama CHADEMA na wenzao walioungana tu? Niliuliza
suali,
je vyama vilivyo jiunga vikifa, kwai tatizo? Tena
ukiwa
msomi kama wew hilo wala siyo la kuambiwa na mtu ni
lakuliona wewe mwenyewe.
On Monday, 7
September 2015, 11:12, Magora Hassan
<magorah15@gmail.com>
wrote:
Hakika huu ni ulofa
mbaya sana kuwahi kutokea katika historia ya
demokrasia
ya
vyama vingiTanzania
2015-09-07 12:25 GMT+03:00
Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>:
Mike: Namchonganisha nani na nani? Mie natoa maoni
yangu na wala silazimisha wewe ukubaliane nayo kama
ambavyo
mie sitaki unilazimishe nikubaliane nawe.
Ninachopinga
kwa
nguvu zangu zote ni ulofa ulioibuka hivi karibuni
kwamba
eti
ili uonekana unapigania mabadiliko na mkombozi wa
taifa
lazima uwe UKAWA. Eti ukiwa chama A ni shetani,
lakini
ghafla ukihamia UKAWA unakuwa malaika. Kwenye huu
ulofa
mie
simo!
Ninapinga watu
kujivisha ngozi ya upambanaji ghafla wakati tunajua
miaka
yote wamekuwa wakipinga na kukebehi juhudi za
mageuzi.
Ninapinga ulofa wa kuwatoa wapambanaji
waliojipambanua
miaka
na miaka kuwapisha wasaka vyeo ambao tunajua kwamba
mara
watakapokosa hivyo vyeo watarudi walikotoka. Siwezi
kuudandia huu ujinga wa kimantiki na tafadhali
tusilazimishane kuwa malofa!!
Kitila
2015-09-07 11:18 GMT+03:00
'Mike Zunzu' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>:
Wewe tembeza tu hizo chuki
za uchonganishaji, naamini zitagonga mwamba, mpango
waliofya
UKAWA ulitakiwa uwe umeshafanyika miaka mingi. Kama
unakumbuka hata Baba Taifa aliwashauri wapinzani
waungane
na
angeliwasaidia kuwapigia kampeni wabunge wao ili
wawe
na
wabunge wengi bungeni. Unamuona mpuuzi?
Sasa hivi kilichotokea, viongozi wa vyama
hivyo wamerudiwa na ufahamu wa hekima. Kwanza
nikuulize,
hata kama vyama hivyo vimekufa kwa mtizamo wako wa
kuona
mwisho tu wa pua kipi lichopungua? Unashabikia
utitiri
wa vyama, ili wakati wa upigaji kura kura nyingi
zisiwe
na
thamani, na za CCM zibaki kuwa nyingi? Pengine
usingelipoteza muda wako mwingi kujadili
UKAWA wanafanya nini, ungelielekeza akili
zakmsikiliza
mwakilishi wa CCM anakuahidi nini ili moyo wako
ukosheke. Hebu waone hao akina ACT na
akina
Labour Pary, unaamini wapo pale kwa maslhi ya
wananchi
au
kwa masilahi yao wenyewe lakini jicho na masikio
yako
ni
CHADEMA, kama unaona hawafanyi unavyotaka si ujiunge
ili
ukabadilishe wanachokifanya?.
Kitendo cha UKAWA
kuunganisha nguvu ni kitu kisichokaribihwa na
uongozi
wa
CCM, wametumia kila njama umoja huo ufe, lakini,
hebu
wakae
na kuwaza tena, kuwa suala hilo halitafanyika, na
usishangae
hapo baadaye chama kipya kabisa kiweza kikazaliwa,
ikawa
si
CHDEMA, CUF, NCR Mageuzi na wala si NDL tena, bali
chama chenye jina tofauti, na chenye viongozi
wapambanaji, wapigania haatanzania kwa
dhata.
On Monday, 7
September 2015, 7:52, fadhil fadhil
<fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
Kaka kitilya
Kama sikosei Mpombe alishaletaga hoja humu ndani
kabla
hata lowasa hajajiunga na UKAWA na ukwa kuwa chadema
wanafanya ujanja licha ya kuwa UKawa kuiachia
asilimia 70
ya
majimbo yote nchini lkn wa wanagombea wengine
asilimia
ktk
zile 30 za Cuf nccr na nld leo yanaonekana.
Naitabiria
Act
kuwa kimbilio la wanyonge baada ya uchaguzi huu na
itafanya
vizuri zaidi mwaka 2020 ingawa wengi humu hawapendi
kusikia
hivyo.
On Sep 7, 2015 8:00 AM, "De kleinson kim"
<dekleinson@gmail.com>
wrote:
Dr Kitila,
Nimependa hii " Ni uzembe wa kifikra
kudhani kwamba 'wakombozi' wote wa nchi
watajiunga
na UKAWA."
Hapo tu.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email
ya
kudhibitisha ukishatuma

Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
This message has been scanned for viruses and
dangerous content by MailScanner, and is
believed to be clean.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment