Thursday, 10 September 2015

Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU

Tumelogwa Kim na kama ukilogwa aliyekuloga kafa huwezi kuagulika. Hatuoni hata kama tuna macho. Mtu ambae hafiki kutembea mjini na vijijini, kusoma sera za nchi na sheria na kuangalia matendo yetu wenyewe-utailaumu tu serikali au chama tawala wewe muhusika utakaa mbembeni na hata kipindupindu utalaumu serikali utailaumu serikali na halmshauri lakini bado unakula kwa mama ntilie kwenye uchafu, inzi unawaona katika chips na mchuzi wazi lakini utataka serikali ihusike kuondoa kipindupindu ili mle chips hapo na uchafu huo unamwagwa na hao wapikao chakula na nyumba zao jirani kutiririsha maji machafu. Mabomba-wanakata wao ili wasilipie maji na uzoaji taka hawachangii. Serikali iondoe kipindupindu ama sivyo tutafanya maamuzi magumu kuinyima kura!!

--------------------------------------------
On Thu, 10/9/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 10 September, 2015, 16:45

Kwanza
MABADILIKO ni nini?
Tukisema TUNATAKA MABADILIKO, maana yake ni
nini? ya wapi? kwenye nini? yatamgusa nani? yatatuchukua
muda gani? yatatokea tokeaje?
Mabadiliko yaweza kuwa baya kwenda zuri au zuri
kwenda baya, dogo kuwa kubwa au kubwa kuwa dogo, nyembamba
kuwa pana au....

Its all about "different" "utofauti wa hiki
kilichopo". nikikosea nisahihishwe. mie sio mtaalam wa
lugha!!
Mnazi awaye yeyote iwe wa Chama au mtu, aandike
akituelezea vizuuri na kwa ufasaha jinsi watakavyoleta
MABADILIKO nchini. i mean ameshawishikaje kuwa mnazi wa
flani/chama flani kuamini watafanya MABADILIKO ndani ya kila
mmoja wetu ili tukuamini na kukufuata popote ulipo!! Wanazi
wote hapa mkae mkijua nyie ni mawakala wa HAO mnaowasemea!!
kwa sababu sie hatumjui yule/wale vizur zaidi yako, umeamua
kuwa agent wake/wao ina maana unayajua ya kwake/kwao! Latin
proverb "if you host a guest, host his dog"
Tukibaki kuainisha MAHITAJI YA NCHI na
MTU/CHAMA chenye SULUHU yake bila kuijadili, kuchambua na
kuitafakari SULUHU yenyewe kwa kina, hatuna tofauti na mtu
anaeajiri bila vyeti na interview. Akiulizwa kwa nini? ati
" ameahidi ataongezea kampuni faida ndani ya miaka
5" ****!!! Its the question of HOW not WHO!!! WHO will
come later to filter HOW!!
Watanzania tumelogewa wapi??? tunashindwa na
hesabu ndogo ambazo tunazifanya kwenye maisha ya kila
siku!!!!!????? Mpaka inakera.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment