Sunday, 12 October 2014

Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo

Wewe ndugu yangu,uraisi ni misimamo na mipango...urais ni imani na kutendea kaz unayoyaamini....tatizo lenu mkishajibizana na watu wawili watatu hapa mtandaoni,tayari mnadhani huo ndio urais...tunaposema membe hawezi,tunajua tunachokisema..muulize membe kuhusu tanzania na oic,hatakupa jibu kwa kuwa hata haelewi anaamini nini....muulize tanzania kuna tatizo la vita vya chini kwa chini vya kidini,na haswa ndio chanzo cha makanisa kushambuliwa na ugaidi unaokua...je hilo linamuuma moyoni na yuko tayari kulingoa kwa gharama zozote zile?muulize tanzania idad ya watu inaongezeka zaid kuliko uchumi unavyokua. Je yuko tayari kudhibiti idadi ya watu kwa mbinu zozote hata kama mbinu hizo zinaathiri maslahi ya dini?...itisheni mdahalo huo...nitahudhuria,na swali la kwanza litakuwa,ulifukuzwa na maaskofu mwanza ulipokuwa unawatapeli kuhusu mahakama ya kadhi na OIC,,vipi msimamo wako kwa sasa?.
.......maandiko yanasema,ukimchukua mpumbavu na ngano,wote ukawatwanga kwenye kinu,mpumbavu atatoka na upumbavu wake lkn ngano itaiva...ninawaambia,kama lowassa hatoshei bas mwigulu anafaa..
.urais wa 2015 ni misimamo...

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Watu wengi wenye nia njema wanaelewa kuwa Membe anaweza. Na wanaompinga utaona wanavyohangaika. Tumesema waitwe kwenye mdahalo kwa kujua Edward hawezi wanasema tunataka utendaji. Namna hii utakuta watu wanaacha kunwa mirind na kunwa coka kisa Advatisement.
>--------------------------------------------
>On Sun, 10/12/14, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Sunday, October 12, 2014, 9:38 AM
>
> Ngupula,Niliwahi
> kukuuliza kama una maslahi yoyotena mgombea unayemuuza sana
> ukasema huna, sasa kwa nini unamshambulia sana Membe kuliko
> wote waliojitangaza kuutaka huo urais dhidi ya tu wako? Au
> Benard anawatia hofu sana kuliko kina Kigwa na
> wenzake?Naanza
> kuona Membe anaweza kuwa na kitu cha maana dhidi ya mgombea
> wako ndiyo maana mnatumia muda mwingi kumpaka matope. Kama
> alivyosema Diamond mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe,
> inabidi tumuangalie vizuri BM aweza kuwa mti wa matunda
> ndiyo sababu za kumpiga mawe
>
>
> On Saturday, October
> 11, 2014 1:52 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
> Kweli kabisa ndugu yangu
> Mollel,kumpambanisha lowassa na membe ni kumuonea
> Membe...ndio maana Jk hawezi kumpa wizara zaidi ya hiyo
> aliyompa ambapo anajua ndio wizara ya kupumzikia. ,yupo mtu
> wanayemuita sokoine wa pili (Mwigulu
> Nchemba)huyo ndio angalau unaweza ukasema
> unawapambanisha..lowassa na membe ni sawa na profesa wa chuo
> kikuu na msanii,halafu unatafuta mwalimu wa
> university...ngupula
>
> 'lesian mollel' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> ofcourse
> yesUtendaji
> wa hawa mabwana wawili ni sawa na kuwapambanisha samba na
> pundamlia, kwahy lowasa na Membe? Lowasa jembe hata mh Jk
> alishatamka jamani mbona hamkumbuki records zake za uwazir
> mkuu wa 3 years tu, Mh membe na uwazir wake huo hadi leo
> ubalozi wa Italy tu umemshinda, jimbo lake na mtama kilio
> daily? Nendeni mondoli maji kuwa
> jangwani ni maajabu, wafugaji kule wanasema hivi
> ukimsimamisha jiwe uliite Lowasa na mtu mkubwa mwenye jina
> kubwa pale jimboni wako tayar kulipia jiwe kura than huyo
> mtu, hili ni jiwe na burudoza la kazMsijaribu
> kuwapambanish , MANENO SI MATENDO
>
> On Friday, October
> 10, 2014 11:59 AM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
> ndupula nakuunga mkono,
> tumeshachoka na porojo tunataka mchapa kazi.
> On Oct 10, 2014 8:04
> PM, "'Ngupula GW' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> Hayo ni
> mawazo yako msee,kuna tofauti ya usanii wa kujieleza,na
> uwezo wa kiutendaji..uwezo wa kiutendaji ni record ya
> mtu...sisi wengine huwezi ukatuambia utamnyang'anya
> simba kitoweo wakati ukimuona panya unakimbia...tatizo la
> uongoz wa tz sio sera wala mipango,ni usimamizi wa
> utekelezaji wa mipango mizuri iliyopo ili kuleta tija...na
> ukweli ni kuwa,kama lowassa ni mzee basi mbadala wake hawezi
> kuwa Membe bali ni Mwigulu Nchemba...kumbukeni ni record ya
> utendaji katika kuleta tija...ngupula...
>
>
>
>  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
> >Dawa ni kuwapambanisha kwenye Mdahalo. Hapo ndipo
> atakayeonekana mwenye sera za maana na ambaye amepitwa na
> wakati.
>
> >Ukimtaja humu utashambuliwa na nyigu Lakini mdaahalo
> utaonyesha usee wa ndani ambao unaonekana na nje sasa
>
> >--------------------------------------------
>
> >On Fri, 10/10/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
> wrote:
>
> >
>
> > Subject: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni
> za kimtazamo
>
> > To: wanabidii@googlegroups.com
>
> > Date: Friday, October 10, 2014, 8:46 AM
>
> >
>
> > Raia Mwema: Kuna mazungumzo miongoni mwa viongozi
> wa CCM na
>
> > serikalini kwamba Membe anatajwa na Edward Lowassa
> kuwa
>
> > ndiye adui yake mkubwa au kwa lugha nyingine, ndiye
> mchawi
>
> > wake kisiasa. Madai haya unayazungumziaje? Ni
>
> > kweli? 
>
> >
>
> >
>
> > Membe: Unajua katika masuala haya ya siasa, wapo
> wanaoamini
>
> > kwamba ni lazima uwe na maadui wa kisiasa. Inawezekana
>
> > kujitokeza misimamo ikatofuatiana kuhusu masuala fulani
> ya
>
> > msingi katika mambo haya ya uongozi wa nchi na hasa
> nchi
>
> > ambayo bado iko kiwango fulani cha umasikini kama
>
> > Tanzania.
>
> > Mimi nimekuwa nikiamini katika kuongoza kwa misingi
>
> > ya ulinzi wa raslimali za nchi, maadili yanayojenga
> uongozi
>
> > bora na imara pamoja na kulinda, kutetea na kupigania
> hadhi
>
> > ya nchi yetu popote duniani. 
>
> > Mtu ambaye pengine haamini katika misimamo hiyo kama
>
> > yangu, si ajabu akatajwa kuwa ni adui yangu kisiasa,
> kwa
>
> > sababu viongozi wenzangu wengi wanajua ninachokiamini
> na
>
> > hata Rais Kikwete naye anajua ninachokiamini
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment