Wednesday, 29 October 2014

Re: [wanabidii] RE:Atayenirithi atakuwa bora zaidi yangu

Don't be foolish to generalist your opinion to be every one's opinion, say, "me" I mean you  Ngupula, I trust Lowasa and Mwigulu Nchemba, and give reasons as you did, that they are faithful.


On Wednesday, 29 October 2014, 19:02, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Frank,Mungu ni mpana na mara nyingi utavyomwelezea ni vile ulivyojifunza kwake.Najua uweza wa Mungu katika miujiza upo na ninaamini...lkn miujiza ni kwa ajili ya watoto wa changa haswa katika imani.sis wengine hatuihitaji miujiza lkn tunaijua siri ya uweza wa Mungu. Mungu halazimiki kufanya kaz na mtu kutenda anayotaka..lkn hupenda kufanya hivyo. Kila mtu anao wito alioitiwa na Mungu kwa wakati maalumu,usipoelewa kaombe. Askar apiganapo vita hata aliyebaki nyumbani kupika yupo vitani naye. Kila mmoja afanye majukumu yake kwa uwezo wake. Ukimchukua aliyebaki kupika ukamuweka mstari wa mbele na silaha,anaweza shindwa hata kuangalia maiti..any further comments you are welcome to my personal mail or otherwise i guess we might be boring people here

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula, hakuna jambo linalomshinda Mungu. Akisema utavuna magunia 200 na una ekari 2 inawezekana. Marko 8:1-10 Yesu aliwalisha watu 4,000 kwa mikate 7 na visamaki vichache na kubaki vipande vya mikate vikapu 7. Mungu akishasema, amesema. Hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu. Mungu gani akisema anahitaji umsaidie ili litimie alilosema? Frank


On Wednesday, October 29, 2014 8:32 PM, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Frank,Mungu anaweza akakuambia kuwa mwaka huu utavuna sana na utapata gunia 200 lkn wakati huo unaekari 2 usipojiongeza kwa kujiuliza ili uvune gunia 200 unahitaji kuwa na ekari ngapi na utunzaje shamba,utajikuta unaishia kuvuna gunia 20 na kumuona Mungu muongo. Sisi wengine tukishamuomba Mungu tunaingia kazini na Mungu kufanya kazi..na kama mtu akitaka kunielewa nasimama na mtu kwa characters zake na sio sura yake.....mimi najua kila mamlaka imeamriwa na Mungu na mamlaka ni lazima itende kazi kwa mapenzi ya Mungu. Najua kila anachotaka kufanya shetani katika siasa,na tupo kuhakikisha hafanikiwi. Usijali,usiponielewa sasa,utanielewa baadae..Lkn kwa habari ya uongozi wa tz 2015,kwa mabadiliko na maendeleo,matendo na maamuzi ndio msingi....oohh,so varieties of prophetic msgs God can give to people....but the truth is..God cant give a msg to the people,the msg of which yourself you dont understand.....frank,truely believe I understand what am doing..and indeed am content for what God gives me as my daily bread....but ukifir tumehongwa ili tuandike hapa,that is your Theme....a theme is an outcome of what fills some ones heart.

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula,
Uliwahi kusema hapa jamvini kuwa ulimwomba Mungu kwa kufunga na kuomba juu ya ni nani atakayemrithi JK. Mungu akakuambia ni Lowasa. Sasa kila mara naona unatangatanga. Mara Mwigulu mara Lowasa, unawapa sifa za uwongo za wacha Mungu na huna msimamo. Nashawishika kuwa inawezekana hakuwa Mungu wengi wetu tunayemjua. Au yamkini kuna aliyekuahidi dau kubwa zaidi. Au wewe inawezekana ni mojawapo wa manabii wa uwongo. Lakini  ni kwanini unamdhihaki Mungu?  Na paste jinsi ulivyopost hapa jamvini.

From: 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, October 6, 2014 5:46 PM
Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

Frank,Bwana hafanyi jambo duniani bila kuwajulisha watu wake...nilimwomba Mungu kwa habari ya majira yajayo,nikajihudhurisha mbele za --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment