Ngupula, hakuna jambo linalomshinda Mungu. Akisema utavuna magunia 200 na una ekari 2 inawezekana. Marko 8:1-10 Yesu aliwalisha watu 4,000 kwa mikate 7 na visamaki vichache na kubaki vipande vya mikate vikapu 7. Mungu akishasema, amesema. Hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu. Mungu gani akisema anahitaji umsaidie ili litimie alilosema? Frank
On Wednesday, October 29, 2014 8:32 PM, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Frank,Mungu anaweza akakuambia kuwa mwaka huu utavuna sana na utapata gunia 200 lkn wakati huo unaekari 2 usipojiongeza kwa kujiuliza ili uvune gunia 200 unahitaji kuwa na ekari ngapi na utunzaje shamba,utajikuta unaishia kuvuna gunia 20 na kumuona Mungu muongo. Sisi wengine tukishamuomba Mungu tunaingia kazini na Mungu kufanya kazi..na kama mtu akitaka kunielewa nasimama na mtu kwa characters zake na sio sura yake.....mimi najua kila mamlaka imeamriwa na Mungu na mamlaka ni lazima itende kazi kwa mapenzi ya Mungu. Najua kila anachotaka kufanya shetani katika siasa,na tupo kuhakikisha hafanikiwi. Usijali,usiponielewa sasa,utanielewa baadae..Lkn kwa habari ya uongozi wa tz 2015,kwa mabadiliko na maendeleo,matendo na maamuzi ndio msingi....oohh,so varieties of prophetic msgs God can give to people....but the truth is..God cant give a msg to the people,the msg of which yourself you dont understand.....frank,truely believe I understand what am doing..and indeed am content for what God gives me as my daily bread....but ukifir tumehongwa ili tuandike hapa,that is your Theme....a theme is an outcome of what fills some ones heart.
'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
From: 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, October 6, 2014 5:46 PM
Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
Frank,Bwana hafanyi jambo duniani bila kuwajulisha watu wake...nilimwomba Mungu kwa habari ya majira yajayo,nikajihudhurisha mbele zake kwa kufunga na kuomba..nikimuuliza Bwana mwenye nguvu,yeye aliye na amri na watawala,nikisema,Bwana Mungu mkuu ni nani sasa atayetufaa baada ya huyu Jk?watanzania wana uchungu mwingi kweli,nao wanajuta kuwa hawatachagua tena kwa akili zao,tusaidie...Bwana akanijibu Lowassa atawafaa.....nikasema,Bwana,je si huyu wanayemtaja kama mwizi na kibaka mpk akajiudhuru na uwaziri mkuu,si atatufilisi huyu.?Bwana akajibu,atakula kiasi lkn atawafanyia watz kazi nzuri....nikamuuliza tena,na kuhusu afya yake?..akajibu,atamaliza kipindi chake cha miaka 10...lkn nitaitumia afya yake kama fimbo ya kumnyenyekesha pale asiponisikia....nikasema,baba,kwa kuwa leo umeshuka kumjulisha mjoli wako mambo yajayo,na Membe itakuwaje?atakuwa mwenye huzuni,kwa kuwa atatumia gharama nyingi bila mafanikio...na isitoshe ,Membe hawezi kulisimamia jina langu kati ya watu,ni chukizo kwangu...nikasema Bwana,mi najua wewe ni Mungu ambaye yaliyotukuka kwa wanadamu ni chukizo kwako,fanya upendavyo kwa maana watuwazia mema...ngupula

Ngupula,
Uliwahi kusema hapa jamvini kuwa ulimwomba Mungu kwa kufunga na kuomba juu ya ni nani atakayemrithi JK. Mungu akakuambia ni Lowasa. Sasa kila mara naona unatangatanga. Mara Mwigulu mara Lowasa, unawapa sifa za uwongo za wacha Mungu na huna msimamo. Nashawishika kuwa inawezekana hakuwa Mungu wengi wetu tunayemjua. Au yamkini kuna aliyekuahidi dau kubwa zaidi. Au wewe inawezekana ni mojawapo wa manabii wa uwongo. Lakini ni kwanini unamdhihaki Mungu? Na paste jinsi ulivyopost hapa jamvini.
From: 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, October 6, 2014 5:46 PM
Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
Frank,Bwana hafanyi jambo duniani bila kuwajulisha watu wake...nilimwomba Mungu kwa habari ya majira yajayo,nikajihudhurisha mbele zake kwa kufunga na kuomba..nikimuuliza Bwana mwenye nguvu,yeye aliye na amri na watawala,nikisema,Bwana Mungu mkuu ni nani sasa atayetufaa baada ya huyu Jk?watanzania wana uchungu mwingi kweli,nao wanajuta kuwa hawatachagua tena kwa akili zao,tusaidie...Bwana akanijibu Lowassa atawafaa.....nikasema,Bwana,je si huyu wanayemtaja kama mwizi na kibaka mpk akajiudhuru na uwaziri mkuu,si atatufilisi huyu.?Bwana akajibu,atakula kiasi lkn atawafanyia watz kazi nzuri....nikamuuliza tena,na kuhusu afya yake?..akajibu,atamaliza kipindi chake cha miaka 10...lkn nitaitumia afya yake kama fimbo ya kumnyenyekesha pale asiponisikia....nikasema,baba,kwa kuwa leo umeshuka kumjulisha mjoli wako mambo yajayo,na Membe itakuwaje?atakuwa mwenye huzuni,kwa kuwa atatumia gharama nyingi bila mafanikio...na isitoshe ,Membe hawezi kulisimamia jina langu kati ya watu,ni chukizo kwangu...nikasema Bwana,mi najua wewe ni Mungu ambaye yaliyotukuka kwa wanadamu ni chukizo kwako,fanya upendavyo kwa maana watuwazia mema...ngupula
On Wednesday, October 29, 2014 7:00 PM, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ili jambo lifanyike wakati wote huitaji mtu. Mungu hata kama yuko kimya,lkn ni Mungu mwenye huruma,huwahurumia watu. Ni wajibu wetu kama wanadamu kuyatambua majira ya Mungu kutuhurumia. Lowassa na Mwigulu ni wacha Mungu,na mambo mema na ya historia hupitia kwa wacha Mungu kama walivyokuwa Nyerere na Sokoine.
'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Je, kuna kitu chochote kilichokuwa kimezuia uwajibikaji wakati wa nyongo --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment